Salamu kwa wote.
Kutokana na kuporomoka kwa dollar, wafanyabiashara ya utalii wamejikuta wakipata hasara kubwa kutokana na exchange rate ya Tanapa kubaki kuwa 2609 Tzs huku thamani ya dollar sokoni ni 2300$.
Pamoja na serikali kusisitiza matumizi ya shillingi bado kwenye biashara ya utalii...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Godfrey Chongolo ameongoza Mkutano wa Nane wa Baraza la Biashara la Mkoa huo.
Mkutano huo umefanyika Jumanne Disemba 11, 2024 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Nselewa Wilayani Mbozi.
Katika Mkutano huo Wakuu wa Wilaya za Mkoa wa...
Nini nifanye niwe mfanya biashara mkubwa kama moo dewji, Bakhressa n.k, niwe na kiwanda kinachozalisha products zangu zenye brand yangu barani Afrika ambazo zitafanya vizuri sokoni, at the end niwe tajiri kupitia biashara?
Kipande cha barabara inayopita kwenye Soko la Ilala Boma Jijini Dar es Salaam, Mtaa wa Tabora hakipitiki kipo kwenye hali mbaya kutokana na kuwa na mashimo makubwa huku maji huku pia majitaka kwenye mashimo hayo.
Lakini katika hali ya kushangaza katika eneo hilo biashara ya vyakula hususani...
Nisipoteze muda naomba niingie ndani ya lengo .
Ndugu zangu nina mpango wa kumfungulia shemeji yangu wakike biashara ili na yeye awe anajipatia mahitaji yake madogo madogo kuliko kuwa anashindia ndani akifatilia tamthilia na kunipiga vizinga vya hapa na pale.
Na biashara nilio iona haitampa...
Masheikh na vijana wa kiislam walioingia kichwa kichwa wakidhan maeneo mbali mbali ni vita ya dini ila ukweli.
Leo ni ajabu neno jihad na friendly linawekwa kwenye sentence moja
Wito wangu kwa vijana wa kiislam,
1. Fanya ibada zako.
2. Tenda haki, usidhulumu wala kudhulumiwa
3. Jiimalishe...
Kuna utaratibu mpya wamekuja nao binafsi naona kwa sisi wananchi wengi wa kitanzania 70% ambao tuna uchumi mdogo naona hawatufanyii fair kwa kutokutusikiliza tunakuwa kama tupo ugenini kumbe ni nchini mwetu..
Hii ishu ya LESENI wameigawanya
1: Leseni ya Vileo hii ni elfu 40 mara 2 kwa mwaka...
👉Biashara inayomilikiwa na muajiriwa Ina possibility kubwa ya kusurvive kuliko ya aliyejiajiri pekee sababu zifuatazo
👉 Mikopo kwa waajiriwa ni rahisi kuicover Bila kuathiri asset zao ambazo hazihamishiki
👉 Biashara za walioajiriwa unaweza Pata wa kukushika mkono na kukuwekea safety wenye D2...
Nilifika katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli, Mbezi, Dar es Salaam, nikapata nafasi ya kuzungumza na Wanawake wajasiriamali wanaofanya kazi katika eneo hilo.
Wanawake hawa, wanaojishughulisha kama mamalishe, Wabeba mizigo, makarani na wauzaji wa vinywaji, walinishirikisha changamoto nyingi...
Mimi ni mkazi wa Dodoma mjini,nina camera cannon mark 3 nina kamtaji kadogo ninataka kufungua kabiashara kadogo ka studio.
Ni vifaa vipi vichache vya muhimu naweza kuanza navyo au kama kuna mtu anauza used naweza kuelekezwa kwa ajili ya kubana bajeti. Cont. Call/whatsapp +255 743 796 975
Habari za Kazi ndugu wadau..?
Niko mbele zenu kuomba ujuzi wa namna ya kuendesha biashara ya Kuuza Daftari Kwa bei za jumla..
Naomba nisaidie kujua hatua za kufanya ili kufanya kazi hiyo. Pia naomba kujua Nini changamoto kubwa hasa katika biashara hiyo.
Tunasema ili uweze kufanyikiwa kwenye kitu chochote kile ni lazima uwe na
“Model ya kujirudia inayokupa MATOKEO wanayoyataka walengwa wako kila mara”
Yaani…
Lazima uwe na kitu, bidhaa, huduma au mfumo flani ambao kila ukiutumia unakupa matokeo yale ambayo walengwa wako wanayahitaji.
Mfano…...
Habari katika Jamvi hili?
Ni kweli tunatambua Watanzania wengi wanasumbuliwa na magonjwa mbalimbali, yanayoanzia uzazi, unene ulipitiliza, misuli, nyonga, vidonda vya tumbe, BP, sukari, cancer, tezi dume.
Sasa kutokana na matatizo ya watanzania na wananchi kuwa na uelewa finyu juu ya Afya zao...
QR Code inaweza kumrahisishia mteja wako kupata taarifa za biashara yako kwa haraka zaidi ukilinganisha na kutafuta kawaida.
Mfano; Unaduka lako, na umechapisha karatasi yenye jina lako la instagram ya biashara kisha ukabandika ili mteja aone, kuna wakati mteja anaweza kukosea herufi moja tu...
1 👉Usiweke ndugu kwenye biashara ndugu wanaweza kuwa chanzo cha kukumaliza na kama utaweka ndugu basi fungua kampuni in form(active partnership) Kila mtu awajibike kwa loss za kampuni Kila mtu awe na share zake il nidhamu iwepo maana mtu ukimuajiri hawezi kujua uchungu wa wewe Kula hasara au...
Habari zenu wadau naimani mungu Bado anatueka salama
Leo nimekuja naombeni ushauri kuhusu biashara ya kuuza nguo minadani Kwa kufungua baloo kabisa je itanilipa nimepanga kumuajiri mtu awe anatembea na mnadani Ani Kwa wiki aweze kwenda minada ata mi4 je hii itanilipa wadau tupo apa kusaidiana...
Kama ilivyo kariakoo wafanya biashara wengi wanafanya biashara ya B2B yaani Busness to bussness ( mtu ununua bidhaa na kuiuza hio bidhaa iliapate faida/profit.
Wa China na watu wenye viwanda wao ufanya B2C yaani Busness to consumption ( uunda bidhaa kiwandani kisha kuiuza kwa mlaji, ndo...
Biashara ya kukata na kuchongesha funguo ni shughuli muhimu katika maisha ya kila siku, hususani katika miji mikubwa ya Afrika. Hata hivyo, biashara hii, kama nyingine yoyote, inaweza kutumiwa vibaya na watu wenye nia mbaya. Ni muhimu kufahamu jinsi biashara hii inavyofanya kazi na hatari pamoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.