Habari wanaJF,
Leo nimemaliza rasmi kazi yangu hapa Dar naelekea Moro. Mambo hayakuenda nlivyotarajia, lakini Inshallah, riziki ni ya Mwenyezi Mungu.
Baada ya kuachwa na treni miezi miwili ilopita, niliamua kuwa nkiwa natoka dar, nachukua treni ya mwisho. Inanipa muda wa eventualities na...