Inafahamika, kupeleka vitu vyetu tulivyovitengeza sisi wenyewe katika masoko ya nje, vitatuingizia fedha za kigeni, pamoja na kuimarisha uchumi.
Tuna baadhi ya viwanda hapa nchini, ila sijajua ni bidhaa zipi wanazozalisha na kuzipeleka kwenye masoko ya nje, kama; Ulaya, Urusi, Marekani, China...