Upande wa Jamhuri katika kesi ya Uhujumu uchumi umesema unakusudia kutumia mashahidi 24 katika kesi hiyo akiwemo mfanyakazi wa Mtandao wa Airtel na Tigo.Pia utatumia vielelezo vya nyaraka 19 na vielelezo halisia.
Ni banda la chuma ambalo lina ukubwa wa futi 8 kwa 6.
Unaweza kuendelea kufanya biashara hapohapo au uhamishe, kwasasa ni duka/kibanda cha bidhaa za nyumbani pamoja na genge(meza za genge zipo)
Mali zilipo ndani
Mizani
Bidhaa
Kreti za soda
Location: Ubungo Tanesco
Bei 1.65mil
WhatsApp/Call...
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewajengea uwezo Wasindikaji na Wajasiriamali Mtwara kuhusu viwango katika bidhaa zao
Na Mwandishi wetu Mtwara
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limetoa mafunzo kwa Wajasiriamali na Wasindikaji wa korosho mkoani Mtwara ili kuwajengea uelewa kuhusu viwango...
TBS: WAFANYABIASHARA NA WAJASIRIAMALI JITOKEZENI KUTHIBITISHA UBORA WA BIDHAA MNAZOZALISHA
Na Mwandishi Mwanza
WAFANYABIASHARA na wajasiriamali wa mikoa ya kanda ya ziwa wametakiwa kujitokeza kwa wingi kupata huduma katika Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa ajili ya kuthibitisha ubora wa...
Tunaponunua bidhaa, huwa tunatupa kifungashio na kubakiza bidhaa.
Itakuwaje kama mtu atatupa bidhaa na kubakiza kifungashio?
......
Inawezekana hilo nalo linatokea!
......
Mwaka 2010, Rockefeller foundation walitoa document waliyoita Scenarios for the Future of Technology and International...
Kitendo cha mtu kuanza kuagiza bidhaa. Kwa kupitia tovuti mbali mbali zinazofanya biashara online. Ni kitendo ambacho kinatakiwa kiwe cha urahisi na uhakika. Bidhaa zinazouzwa kwa kupitia mitandao kama. Mitandao ya kijamii, Application za simu, na tovuti. Huwa zina pendwa Zaidi kutokana na kuwa...
Waziri wa Fedha amewaonya wafanyabiashara wanaowafundisha Watanzania kukwepa kodi kwa kuwapa bei mbili za bidhaa, bei yenye risiti na bei isiyo na risiti. Amesema kuna wafanyabiashara wakidaiwa risiti wanajivuta, mara wanafuta mashine vumbi, hadi anayedai risiti akate tamaa.
Waziri wa Fedha...
TBS INA JUMLA YA MAABARA 9 AMBAZO ZINATUMIKA KUCHUNGUZI BIDHAA KISASA
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) lina jumla ya maabara tisa ambazo zinatumika katika uchunguzi wa bidhaa mbalimbali ambazo ni bora na kuna vifaa vya kisasa vya uchunguzi pamoja na wataalamu waliobobea katika uchunguzi...
Wakaguzi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wakikagua baadhi ya maduka ya vyakula na vipodozi pamoja na viwanda vya wajasiriamali wilayani Liwale mkoani Lindi.
TBS imeanza kampeni ya kutoa elimu kwa wajasiriamali na wenye viwanda juu ya umuhimu wa kupata alama ya ubora sambamba na kukagua na...
1. Umbali
Kutokana na umbali ulipo kati ya mataifa mbali mbali. Ni vigumu kupata na kuanzisha mawasiliano na wasafirishaji kwa haraka na ukaribu. Wanunuaji na wauzaji huwa mara nyingi hawapati mda wa kukutana na mawasiliano binafsi huwa sa nyingine ni vigumu.
Umbali pia husababisha...
Habari zenu wakuu,
Ninatamani kuanza kutumia bidhaa ya Oriflame inayoitwa Novage advance breakout defence emulsion. Nimeambiwa kwa sasa hazipatikani kwa kuwa Oriflame hawa-operate nchini na hizo bidhaa labda ziagizwe nje.
Je, nini kilifanya Oriflame waondoke Tanzania? Kama kuna mwenye msaada...
Kuna mjadala unaendelea space pale twitter aisee kama haya maazimio ya kususia bidhaa na huduma yatafanikiwa hakika itakuwa hatari kwa uchumi.
Ushauri, Serikali wakutane na wapinzani haraka maana hata mishahara ya mapolisi inaweza kukosa huko mbeleni.
Ni ushauri tu mnaweza kuufanyia kazi au...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naulizia kwa wale wazoefu au anayefahamu site nzuri ya kununulia bidhaa za uturuki, kama ilivyo Alibaba, Amazon na eBay.
Natanguliza shukrani
Ndugu zangu wananchi wabunge hawalipi Kodi kwenye mishahara yao na ni mikubwa kwelikweli Sasa swali linakuja kwanini upande Basi lake? Kwanini ulale kwenye hoteli yake? Kwanini ununue chochote kwenye duka lake au hardware yake?
Tena Bora lingekuwa lile bunge lililochaguliwa na wananchi la kina...
Kama kichwa cha bandiko hili kinavyojieleza kwamba.
"Ningeweza kupandisha uchumi wa Tanzania kwa kuwekeza katika bidhaa mpya zenye thamani kwa sasa duniani".
Ndugu zangu,
Naomba nianze kwa kueleza sababu moja inayofanya Gross Domestic Product per capital yetu kuwa ndogo.
Gross Domestic...
Hizi kesi zimekuwa nyingi sana siku hizi. Tumekuwa tukiona malalamiko kutoka kwa watu mbalimbali kupoteza mizigo yao bandarini. Inawezekanaje?
Imebidi tuje tuulize ili kusikia experience kutoka kwa wengine ambao washawahi kukutana na changamoto za mizigo yao bandarini.
Hivi kwanini baadhi ya...
MBUNGE ARUDI JIMBONI,AULIZWA KWANINI WAMESHUSHA BEI YA BIA?
"Naipongeza bajeti ya serikali japo kuna mahali imeteleza yaani serikali inaongeza bei za mafuta na mabati lakini inashusha bei ya bia kwa nini"Joseph Haule mkazi wa Iwela mbele ya mbunge wa Ludewa,Njombe Joseph Kamonga.
Kwa Tanzania ukiwa na Biashara ya huduma unaonekana kuwa Huna Biashara. Mpaka Uwe na Bidhaa za Kushika mkononi kama nguo,Kalamu,majembe,nk..Hapo Ndo unaonekana kuwa MFANYABIASHARA. Hiki kitu Siyo Sahihi hata Kidogo. Kwa sababu huduma ni sehemu ya biashara pia.
Na Nchi Tajiri zaidi kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.