Habari WanaJF,
Kuna orodha ndefu ya bidhaa ambazo ni marufuku kusafirishwa kuja Tanzania kwa mujibu wa sheria za nchi na sheria za kimataifa.
Hivyo, tunashauri kabla hujaagiza bidhaa yoyote ni vyema ukafahamu sheria hizo vizuri kuepuka usumbufu, hasara na matatizo na mamlaka.
1. SANAMU ZA...
Cement 50kg
Dar 15000
Nairobi 10000
Kampala 11000
Kigali 11000
Bujumbula 12000
Sukari 1kg
Dar 2800
Nairobi 1600
Kampala 1500
Kigali 1500
Bujumbula 1800
Petrol 1 litre
Dar 2400
Nairobi 1800
Kampala 1900
Kigali 1850
Bujumbula 2050
Bei ya umeme kwa unit
Tanzania 290
Kenya 185
Uganda 140
Rwanda...
Maumivu ya ongezeko la bei ya wese yameshaanza kusikika kidogokidogo hasa kwa upande wa bei za bidhaa japo haijawa rasmi bado.
Sina hakika sana kama uchumi unapaa, unadumaa au unashuka ila nilicho na uhakika nacho wamiliki wa vyombo vya usafiri wameanza kuongeza bei kimtindo.
Nawasalimu kwa...
Imekuwa ni shida sana kwa watanzania wengi kununua bidhaaa katika masoko haya ya mtandaoni kwani mengi huwa hayakupi fursa ya kutumiwa mzigo wako moja kwa moja Tanzania. Baadhi ya thread zilianzishwa na zimeelezea mengi sana kuhusiana na manunuzi haya ya mtandaoni, ila tulipata ufumbuzi mdogo...
Habari ya leo wakuu,kwa muda sasa imekuwa changamoto kubwa kupata kazi hata kama una uzoefu kiasi gani bado watu kukupa ajira ni mtihani.
Kwa upande wangu mimi nna uzoefu wa kutosha Katika usafi hasa ule uchafu sugu mfano kung'arisha masink na Tiles zilizo fubaa ama kuwa na uchafu sugu pamoja...
Hivi karibuni kulikuwa na habari kutoka kwenye baadhi ya vyombo vya habari vya nchi za magharibi, inayosema usafirishaji nje wa bidhaa kutoka China uko kwenye hatihati, na makontena yamekwama kwenye bandari za mkoa wa Guangdong (Shekou, Chiwan na Nansha) kutokana changamoto ya virusi vya Corona...
Mwanzoni mwa mwaka huu katika kusherehekea kutimiza kwangu miaka 20 tangu nizaliwe, nilipata zawadi ya mkoba kutoka katika viwanda vya hapa kwetu. Mkoba ni nadhifu sana, bidhaa za ngozi huwa zinadumu kwa muda mrefu. Kasoro kubwa ilikua kwenye kumalizia, hadhi ya zipu hailingani na ubora ya...
Binafsi naamini ukosefu wa ajira unasababishwa na kujilemaza na kuruhusu nchi iagize nje kila aina ya takataka, kuna aina za bidhaa iwapo zitakosekeana Vijana automatically watajifunza namna ya kutengeneza na kujipatia ajira na kipato, na wala sio bidhaa za ulazima kwamba zikikosekana nchi...
Habari wadau wa JamiiForums,
Salamu kutoka WLC.
Tuliomba nafasi kwa uongozi tuje kutoa elimu kwenu kuhusiana na uagizaji wa bidhaa au huduma ndani na nje ya nchi. Tumekuja rasmi.
Mzigo wako umekwama bandarini? Uwanja wa Ndege au sehemu yoyote? Tuulize tukupe ushauri wa kitu gani cha kufanya...
Ishu ipo ivi katika pita pita zangu na kuchungulia ile app ya Ali express, ambayo ninayo kwenye simu hua naangalia kuna bidhaa gani mpya ambayo naweza nunua kwa matumuzi yangu binafsi?
Bana nikakutana na bidhaa mpya ambayo ni flash drive ya ((2tb)),
tala bite mbili ambazo sawa na gb elfu 2...
1. Fanya biashara unayo ielewa vizuri zaidi, usiige tu kwa kuona mwingine anafanikiwa. Hakikisha wewe mwenyewe una ujuzi nayo.
2. Hakikisha umeyasoma mahitaji ya wateja wako watarajiwa. Hakikisha umeyaelewa kiundani zaidi mahitaji yao na unaweza kuwatimizia ipasavyo.
3. Amua kujenga mahusiano...
1. Kisado -- Bidhaa ni rangi ya nyumba, ya kampuni ya Sadolin. Walikuwa wakiweka kwenye makopo ya ukubwa fulani yaliyopachikwa jina la "visadolini" au "visado".
2. Kimbweta - Kiti na meza cha zege, mara nyingi huwapo kwenye taasisi za elimu ya juu. Vilibuniwa na Prof. Mbwette. Wengine huviita...
Ama kwa hakika huyu mama atakua suluhu. Najua hizi habari zitwatibua nyongo wale hupenda kuendekeza chuki lakini ndio hivyo. Tupige biashara na kuboresha chumi zetu.
========
Kenya President Uhuru Kenyatta (right) and his Tanzania counterpart President Samia Suluhu Hassan having a word during...
1. Kumpoteza mteja
Kuna usemi usemao kumkopesha mteja ni kumfukuza. Nimesikia mara kadhaa wafanyabiashara wakisema tangu ni mkopeshe haji tena dukani kwangu, au tangu nimkopeshe anapita mbali tu. Mara nyingi mteja akishakopeshwa pesa au bidhaa haji tena kwenye biashara husika ili kukwepa kulipa...
Siku hizi imekuwa kama sifa kumsikia Mtu akijinadi kuwa yeye ni bingwa wa kuagiza bidhaa kutoka China au sehemu nyingine ya Dunia.
Kwa vyovyote Mtu kama huyu hawezi kufurahi akisikia mipango yoyote ya Nchi kutengeneza bidhaa zake yenyewe, na atafanya kila linalowezekana kuhujumu juhudi kama...
Kwema wapambanaji?
Napenda anayefahamu mahali wanapozalisha hizi ice cream cone biscuit pekee na kuziuza kwa bei ya jumla kwa hapa Dodoma Mjini.
Nitafurahi kama nitapata msaada .
Niende moja kwa moja kwenye mada hapo juu kama kichwa cha habari kinavyosema, serikali ya nchi yetu inajitahidi sana kufikia malengo yaliyojiwekea kwenye ukusanyaji wa mapato,kupitia bidhaa zinazolishwa viwandani, na hata pia kwa watoa huduma yani ( service product) TRA wameweka mfumo fulani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.