bidhaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. fasiliteta

    Tafakuri: Tupo tayari kununua bidhaa na kupata risiti?

    Ni wazi mpaka sasa wengi hasa waliopata/walio na kazi Rasmi pamoja na wenye vipato vya uhakika wanafurahia sana zoezi linaloendelea la wamachinga kuondolewa kufanya biashara zao barabarani ambazo kiukweli walisaidia kwa kiasi kikubwa watu kujipatia bidhaa/vitu kwa bei nafuu zaidi. Ok tuseme...
  2. Anna Nkya

    Tusinunue bidhaa za machinga kwenye maeneo yasiyoruhusiwa

    Tuachane na wale wanaotaka jambo la kuwapnag machinga liende vibaya kwa maelngo yao ya kisiasa. Ni lazima miji yetu ipangike, kila mtu afanye biashara kwa ustaarabu. Tuisaidie serikali ya Rais Samia kufanikisha jambo hili kwa kuacha kununua bidhaa za machinga wanaokaa kwenye maeneo ambayo...
  3. L

    Biashara ya ku-deliver bidhaa Kibaha

    Nafikiria kuanzisha local delivery company ya bidhaa za nyumbani, kwa kutumia baiskel za umeme especially eneo la Kibaha. Nakaribisha mwenye mawazo kama haya awekeze knowledge na muda namna gani inaweza kufanyika kwa ufanisi.
  4. J

    TBS yaendelea kutoa elimu kwa viwango vya ubora wa bidhaa wilayani Lushoto, mkoani Tanga

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kutoa elimu ya viwango vya ubora wa bidhaa katika wilaya ya Lushoto ambapo imeweza kukutana na wafanyabiashara mbalimbali pamoja na wanafunzi na kuwahimiza kutumia bidhaa zenye ubora ili kuweza kumlinda mlaji. Akizungumza mara baada ya kutembelewa...
  5. beth

    Rais Samia aagiza kushushwa tozo kwenye bidhaa za mafuta

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza tozo zinazotozwa na Taasisi mbalimbali kwenye bidhaa za mafuta kupunguzwa ili kuwapa unafuu wananchi Baadhi ya Taasisi zinazoguswa na maelekezo hayo ni Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Tozo ya udhibiti), Mamlaka ya Bandari (Tozo...
  6. beth

    Sudan hatarini kukosa bidhaa muhimu kutokana na maandamano

    Sudan huenda ikaishiwa na dawa, mafuta na ngano baada ya maandamano ya kisiasa kulazimisha kufungwa kwa bandari kuu iliyopo mashariki mwa nchi, baraza la mawaziri limesema Jumapili. Watu wa kabila la Beja ambao wanaishi mashariki mwa Sudan, walifunga barabara na kusababisha bandari za bahari ya...
  7. Time Traveller

    Ni muda wa Kiswahili kutumika katika maelezo ya bidhaa na mabango elekezi

    Zaidi ya asilimia 95 ya watanzania wanazungumza kwa ufasaha lugha ya kiswahili, huku watanzania wanaozungumza kwa ufasaha lugha ya kiingereza ikiwa ni chini ya asilimia 20 tu.Sasa fikiria hii, umewahi kujiuliza kwa nini kuna utitiri wa mabango elekezi na mabango biashara yaliyoandikwa kwa...
  8. A

    Umuhimu wa kuwa na 'government brand' kwenye bidhaa za kilimo

    Habarini JF! Sijui kama hili wazo lishawahi kufanyika kwingine duniani. Ningependa Tanzania sababu tuna eneo kubwa sana lenye rutuba (arable land), Kufanyike mapinduzi/movement ya kilimo, Wananchi tulime, Serikali itafute masoko. I just think serikali ikiwa na brand yake ikajinadi huko nje...
  9. Call me GHOST

    Makosa 7 ya kuepuka unapouza bidhaa kwenye WhatsApp status yako

    ....Kama Umekuwa ukipost bidhaa kwenye WhatsApp status yako kisha watu wakaishia Kuview Tu bila Kununua basi kuna uwezekano unafanya kosa mojawapo kati ya haya 7 Kabla sijakwambia hayo makosa ngoja nikusanue kwanza kuhusu huu mchongo mpya wa kutumia WhatsApp Status yako kupiga hela badala ya...
  10. B

    Je, unatafuta Investors au Masoko Kuuza Bidhaa nje?

    Kama wewe ni mjasiriamali au mfanyabiashara na unatafuta wawekezaji wa ndani au nje ya nchi, karibu tukupatie ushauri na fursa ya kuuza wazo lako kwa wawekezaji. Pia ikiwa unatafuta masoko ya nje kwa bidhaa zako, pia tutakupa ushauri, muongozo na kukutafutia wanunuzi wa nje kwa bidhaa...
  11. Mr Q

    Ewe machinga, Ewe mmiliki wa duka uliye wakabidhi machinga bidhaa, usingoje siku 30 ziishe Ondoka haraka.

    Kilicho tokea kwa wenzenu kinakuja kwenu hakuna atakaye jali •umekopa shilingi ngapi •una bidhaa nzuri kiasi gani •bidhaa ulizo nazo mmiliki wake ni nani •umedumu hapo kwa muda gani •wala una unyonge kiasi gani •unalipa ushuru/kodi/kitambulisho cha mjasiria mali •wala mbunge Msukuma atakutetea...
  12. World Logistics Company

    Kwanini ufuate bidhaa au mzigo nje ya nchi?

    Huu ni ujumbe mahsusi kwa wawakilishi wa makampuni, viwanda na biashara zote wakiwemo wajasiriamali. Hakuna sababu ya kuhangaika na safari za nje ya nchi kufuata bidhaa au huduma. Ni upotevu wa muda, gharama na kujiingiza kwenye hatari ya kupata maambukizi ya ugonjwa hatari wa Uviko19...
  13. J

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) yapania kuongeza thamani ya ubora wa viwango vya korosho na bidhaa zitokanazo na korosho wilayani Nachingwea

    SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) YAPANIA KUONGEZA THAMANI YA UBORA WA VIWANGO VYA KOROSHO NA BIDHAA ZITOKANAZO NA KOROSHO WILAYANI NACHINGWEA Na Mwandishi wetu Nachingwea Shirika la Viwango Tanzania (TBS) leo Tarehe 16 Septemba, 2021 wanatoa mafunzo kwa Wajasiriamali na Wasindikaji na...
  14. J

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limefanya zoezi la ukaguzi wa ubora wa bidhaa mbalimbali wilayani Kasulu-Kigoma

    SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) LIMEFANYA ZOEZI LA UKAGUZI WA UBORA WA BIDHAA MBALIMBALI WILAYANI KASULU-KIGOMA Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea na mpango wa ukaguzi wa kushtukiza sokoni kwa wasambazaji na wauzaji wa bidhaa mbalimbali zikiwemo za chakula katika wilaya ya Kasulu...
  15. B

    Nafasi nne (4) za ajira kwa Wauzaji wa Bidhaa na Electronics/Computers

    Nafasi za kazi kwa watakaopenda kuwa wauzaji wa bidhaa za Computer/ Electronics. 1. Muajiri angependa wauzaji ambao ni wanawake. 2. Elimu kuanzia kidato cha nne. 3. Mahali ni Dar es Salaam. 4. Uzoefu kuanzia miezi 6. 5. Mshahara ni mzuri. 6. Awe anaweza kuongea Kingereza na Kiswahili. 7...
  16. J

    TBS yatoa mafunzo kwa wajasiriamali wa bidhaa za korosho (wasindikaji na wafungashaji) - Mkoani Lindi

    TBS YATOA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI WA BIDHAA ZA KOROSHO (WASINDIKAJI NA WAFUNGASHAJI) - MKOANI LINDI Na Mwandishi wetu Mkoani Lindi; Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kushirikiana na Taasisi zingine za serikali leo Tarehe 13 Septemba, 2021 wanatoa mafunzo kwa Wajasiriamali wapatao 40 ni...
  17. Linguistic

    Vitambulisho vya machinga vimezikwa na hayati Rais Dkt John Magufuli huko Chato?

    Wakuu Wamachinga wa soko la Samunge maarufu kama NMC jijini Arusha wameieleza kilio chao kwa mbunge Mrisho Gambo cha kulipa ushuru wa shilingi 50 kila siku huku wanaowatoza wakiambiwa kuwa vitambulisho vya machinga vimezikwa na hayati Rais Dkt John Magufuli huko Chato. Machinga wa soko hilo...
  18. Just Distinctions

    SoC01 Expiry date: Kitu muhimu kwenye bidhaa kisichozingatiwa na watumiaji wengi

    Bidhaa zinazotengenezwa viwandani huwa na viambata mbalimbali ambavyo huzifanya kuwa na ubora na kudumu kwa muda ambao umekusudiwa bila kuharibika. Pindi ule muda uliokusudiwa utakapovuka, bidhaa kama vinywaji, vyakula, dawa au vipodozi na nyinginezo nyingi huwa hazifai tena kwa matumizi ya...
  19. Rcrusso Jr

    Bidhaa adimu zaidi na Adhimu Duniani

    Habarini wapendwa wana Jf, natumai mu wazima wote na mwaendelea vyema.Nisipoteze muda wenu mwingi hebu niwajuze bidhaa adimu duniani. Katika dunia wengi wetu tunaishi na kununua bidhaa mbalimbali na nyingi tunazinunua kwa kupenda au zingine kwa kutokupenda ila zatuhitaji tununue, lakini pia zipo...
  20. K

    Bidhaa za viwandani zinapanda bei kwa kasi, mazao ya wakulima yanashuka Bei, hujuma hizi

    Mfuko wa cement unauzwa 1900 na 23000 kutoka 12000-14000 mwaka 2015, hujuma Sukari haishuki 26000 Mafuta ya kula lita tano ya Alzeti 30,000 kutoka 14000 mwaka 2015 Mafuta ya magari nayo yanakimbilia huko juu sijui Kuna Nini Vifaa vya ujenzi vimepanda zaidi ya nusu Bei kuanzia mwaka Jana...
Back
Top Bottom