Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamepitisha Muswada wa Bima ya Afya kwa wote huku Serikali ikiahidi kuhakikisha mfuko huo unakwenda kutekeleza malengo yake ya kuwapatia Wananchi huduma za Afya kikamilifu kwa makundi yote.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Fedha na Mipango, Dkt. Saada Mkuya alisema...