Mwanamke mmoja nchini Australia amekutwa na mnyoo akiwa hai, mwenye urefu wa sentimeta 8, kwenye ubongo wake wa mbele.
Mnyoo huyo aina ya Ophidascaris robertsi mwenye umbo la kamba, kwa kawaida hupatikana kwenye nyoka wasio na sumu, wanaopatikana zaidi Australia, huku ikidhaniwa kuwa huenda...