binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Papa Francis aonya Mapadri, Watawa kuangalia video za ngono

    Papa Francis amekiri kwamba pornography ni tatizo kubwa kwani hata Mapadri na Sisters ni wapenzi wakubwa sana wa kuangalia hizo video. Papa amesihi viongozi hao wa dini kuacha kuangalia ngono za mitandaoni kwani hapo ndio njia ya shetani kuwaingia. =====/ Pope Francis has warned priests and...
  2. Ikiwa binadamu hana uwezo wa kutambua kinachoenda kumtokea dakika zijazo kwanini binadamu huyu huyu amekuwa mtu wa chuki sana?

    Mfano Leo tupo hai twachukiana Sana. Usoni twacheka hila ni rohoni vita vikali Sana. Nasema hivi kwanini mwaka 2013 mtoto wa Mama Mdogo ambaye alitabiriwa kuja kuwa Mwangaza wa Maisha na aliyeonekana Kama Nyota ya Familiya, na aliyekuwa anaweka bidii kwa masomo na kuipambania future yake...
  3. Ripoti UNDP: Tanzania imepanda viwango Maendeleo ya Binadamu

    Tanzania imepanda katika viwango vya kimataifa vya maendeleo ya binadamu, imeeleza ripoti mpya ya Maendeleo ya Watu 2021/2022. Imepanda kutoka nafasi ya 163 (alama 0.529) mwaka 2020 hadi 160 (alama 0.549) mwaka jana kati ya mataifa 191 huku ikiwa juu ya majirani zake sita wa ukanda wa Afrika...
  4. Mwaka Mpya: Mawazo ya viongozi wa dini yaliyonajisiwa kwa binadamu, nani mkweli?

    Happy New Year!. Hiyo ☝🏾 ndiyo salamu inayotolewa na kila mmoja kutakiana amani, furaha na shangwe kwa kuingia mwaka namba mwingine. Ilikuwa kama jambo la kawaida tu kupitia pitia misahafu na zamu ya mwezi huu unaopita ilikuwa ni Bibilia na nilibahatika kusoma kitabu cha Mwanzo eneo hili hapa...
  5. Wasifu: Kabla ya kufunga mwaka Binadamu Mtakatifu

    No content
  6. Binadamu wana majaribu sana Wema umeniponza

    Kwema wadau? Ipo hivi Rafiki yangu alinipigia simu Baba yake anaumwa nikaenda kumjulia hali Baba yake nilimkuta anahali nzuri anatembea ila dhaifu kutokana na ugonjwa basi nikampatie Baba yake Laki moja kwa ajili ya kumsapoti kipindi hichi anachoumwa. Baada ya kuondoka zimepita siku tatu...
  7. M

    Jakaya Mrisho Kikwete, Wafanyakazi wa Tanzania wanakumiss sana. Pumzika baba, jipe raha, wewe ni binadamu!

    Wafanyakazi wa Tanzania wanakukumbuka kwa nyongeza zako nzuri za mishahara kila mwaka kwa miaka yako yote uliyotumika kama Mwajiri mkuu!! Jipe raha, pumzika kwa raha zako, kazi uliifanya! Tunajisikia raha tunapokuona unazidi kuwa kijana kila leo! Yaani hapo una miaka 72 lakini ni kama una miaka...
  8. Watanzania ndio Binadamu wenye akili za ajabu kuwahi kutokea

    .
  9. Ubaya wa kuwa na dhana mbaya kwa Binadamu wenzako

    Dhana Mbaya ni Ile hali ya kuwafikiria wenzako vibaya juu ya Tabia zao au Matendo Yao Fulani pasina kuwa na ushahidi wowote ule. Hii ni dhambi miongoni mwa madhambi ambayo Kwa Mwenyezi Mungu ni makubwa mno, kibinadamu tunaweza kuchukulia ni jambo dogo lakini Kwa Mola wetu ni kubwa mno...
  10. L

    “Mbinu za Jadi za Kichina za Kutengeneza Chai” zaorodheshwa kuwa Urithi wa Utamaduni Usioshikika wa Binadamu

    "Mbinu za Jadi za Kichina za Kutengeneza Chai na Desturi Zinazohusiana” zilizowasilishwa na China tarehe 29 Novemba, zilipitishwa kwenye Mkutano wa 17 wa Kamati ya Kiserikali ya UNESCO ya Kulinda Urithi wa Utamaduni Usioshikika uliofanyika huko Rabat, Morocco, na kuorodeshwa kuwa Urithi wa...
  11. R

    Binadamu anapokufa roho yake humrudia Mungu au huenda mbinguni au jehanamu?

    Kitabu cha Mhubiri, moja ya vitabu vya biblia, sura ya 12 aya ya 7 inasema baada ya kufa roho ( nguvu/kani ya uzima iliyo ndani ya mwanadamu) humrudia Mungu aliyeitoa. Mafundisho ya roho ya mwanadamu kwenda Mbinguni/paradiso au jehenamu baada ya kufa yametoka wapi?
  12. L

    Msisimko ndani ya mto Jiuqu ni somo la uhusiano wa binadamu na mazingira ya asili

    Na Gianna Amani Ukiachilia mbali neno wananchi huenda neno lingine lililotajwa na Rais Xi Jinping mara nyingi zaidi katika siku za hivi karibuni ni mazingira, na mara kadhaa ametoa msisitizo juu ya uimarishaji wa uhusiano mpya kati ya binadamu na mazingira ya asili. Mara nyingi Rais Xi Jinping...
  13. 90% ya 'Antibiotic' zinatumika kutibu wanyama badala ya Chanjo Tanzania

    Serikali imetahadharisha matumizi mabaya ya dawa za antibiotiki ambazo zinasababisha usugu wa vimelea dhidi ya dawa, ikionya hatari ya kutokea madhara makubwa hasa kifo kwa watumiaji. Mganga Mkuu wa Serikali Profesa Tumaini Nagu amesema jijini Dar es Salaam kuwa takwimu zinaonesha asilimia 92...
  14. R

    Pamoja na kufeli kwa awamu ya sita kuendesha Serikali kwa manufaa ya walalahoi , sijutii kufa kwa Magufuli kwa vile alikiuka haki za msingi za watu!

    Kuna mambo mengi Magufuli aliyacontain na kuwa na matokea chanya. But as long as alipoteza uhai wa watu, ALIKIUKA KWA KIWANGO CHA KUTISHA HAKI ZA BINADAMU WA TANZANIA katika kuyatekeleza hayo, IN CAPITAL LETTERS, I DO NOT REGRET HIS DEATH! LET HIM GO!
  15. Chanzo halisi cha binadamu (Origins of mankind)

    Tsup! Leo tuzamishe kidole gumba kwenye bahari -bahari ambayo ni hii mada ihusuyo chanzo halisi cha binadamu. Hii story (History😅) ni very complicated na ndefu ila nataka niandike kwa ufupi sana nisije nikajaza page 200, so without further'a do, let's dive into it. Creation theory Kabla ya...
  16. Kama taifa ni muda wa kuangalia vipaumbele vyetu, policies za emergencies preparedness na uthamini wa maisha ya binadamu

    Wakuu, najua ni mapema sana kuanza kulizungumzia hili jambo kufuatia ajali ya leo ya ndege huko Bukoba bila kuwa na majibu kamili lakini ni wazi kama taifa kuna mahali tunakosea na tunahitaji kujitathmini upya. Katika swala zima la uokozi muda wa majanga watanzania tumefeli na tunaendelea...
  17. L

    China yajizatiti katika kujenga jumuiya ya binadamu yenye hatma ya pamoja

    Mkutano Mkuu wa 20 wa Wajumbe Wote wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) umemalizika hivi karibuni. Mkutano huu una umuhimu mkubwa kwa Wachina na hata jamii ya kimataifa. Akitoa ripoti katika ufunguzi wa mkutano huo, Xi Jinping alisema, China daima imeshikilia malengo ya sera yake ya kigeni...
  18. Dar: Mfanyabiashara kutoka Tabata afikishwa Mahakamani kwa kusafirisha binadamu

    Mfanyabiashara na mkazi wa Tabata Mawenzi, Mohamed Masoli (34) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisitu, akikabiliwa na shtaka moja la usafirishaji haramu wa binadamu. Masoli amefikishwa mahakamani leo, Oktoba 31, 2022 na kusomewa shitaka lake na wakili wa Serikali, Caroline Materu...
  19. Binadamu ambaye hajaoga kwa miaka 50 afariki akiwa na miaka 94

    Amou Haji aliyetajwa na vyombo vya habari kuwa "mtu mchafu zaidi duniani" amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 94, ikiwa ni miezi michache tu baada ya kunawa kwa mara ya kwanza katika miongo kadhaa. Amou alikuwa amekataa kutumia sabuni na maji kwa zaidi ya nusu karne, akihofia ingemfanya...
  20. Binadamu mnashindwaje hata na jogoo?

    Jamani ndiyo tunamalizia wikiendi natumai mko poa. Basi wikiendi ilivyoanza nikaona ni busara kwenda mtembelea bibi huko kijijini kwake Mwanzo Mgumu, nikapokelewa kwa kishindo. Basi bwana, bibi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji, nilipokuwa napumzika chini ya mwembe nikagundua jambo la kipekee...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…