Kwako nyonga mkalia ini,mwenye mapenzi yasiyo kifani!
Usoni yanijia sura yako nzuri yenye tabasamu la mtoto mchanga!,Naam hakika umezaliwa wa huba!.
Ningependa nikutakie heri ya siku yako yakuzaliwa nikufunike kwa namba yako kumi na moja katika mwezi huu wa kumi na moja na mwaka huu wa...