Boda bodas are bicycle and motorcycle taxis commonly found in East Africa. While motorcycle taxis like boda bodas are present throughout Africa and beyond, the term boda boda is specific to East Africa. In Kenya, they are more frequently called piki pikis. Their ubiquitous presence in East African cities is the result of a number of factors including an increasing demand for public transit, the ability to purchase motorcycles on credit, and an influx of cheap imports from Indian manufacturers like Bajaj. In the countries where they are present, boda bodas can provide transportation options to riders and job opportunities to drivers while at the same time resulting in an increase in road hazards and collisions and unnecessary injuries and deaths.
Kwa hali isiyo ya kawaida, Askari aitwae NANGU amepigwa risasi na kujeruhiwa vibaya na askari mwenzie kwenye harakati za kukamata bodaboda, tunaendelea kulifuatilia swala hili kwa ukaribu kwa maelezo ya kina.
Nimawazo tu,
Kama uholanzi Mawaziri wanafanya ziara kwa kutumia baiskeli kwa sababu wanabana matumizi ya pesa za walipa kodi.
Zanzibar nayo iige mfano kama huo walau mawaziri watumie boda boda na wakuu wa mikoa, wilaya, wawakilishi na masheha ndio waamua watumie boda boda au baiskeli.
Hii...
Asilimia 70 ya wagonjwa wanaofikishwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) wanatokana na ajali za barabarani, huku ajali zinazohusisha bodaboda zikiongoza kwa idadi.
Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt Respicious Boniface ametoa takwimu hizo Jijini Dodoma amesema wengi wao wanakfikishwa...
Kuna malalamiko makubwa kutoka kwa waendesha Bodaboda na Bajaji walioshiriki kikao baina ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Antony Mtaka kuhusiana na hamasa ya sensa lakini awali wakati wanajiandisha asubuhi waliahidiwa kupewa lita 2 za mafuta.
Baada ya kumaliza mkutano baada ya Mkuu wa Mkoa wa...
Ndani ya kipindi cha miaka kumi (10), usafiri wa kutumia pikipiki ulionekana kama mkombozi wa maisha ya vijana katika kuisaka ridhiki. Lakini kadri siku zinavyozidi kusogea mbele usafiri huu umegeuka kuwa tishio kwa usalama wa vijana kiafya, kimaadili na kiuchumi pia.
Baada ya kuporomoka kwa...
Wanabodi
Kumetokea ajali mbaya ya magari manne na boda boda, yamegongana huku mimi nikishuhudia huku nikiwa viti virefu hapa sebuleni kwangu Highland, mkabala na Masana Hospital.
Sijaweza kujua chanzo, ila gari moja ilikuwa inatokea Goba, Kwa spidi kali, mara uso kwa uso na Bodaboda...
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania imewatangazia kuanzia kesho Alhamisi bodaboda na bajaji zote hazitaruhusiwa kuingia katikati ya Jiji hilo.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na iliyozua Maswali mengi na Taharuki ya Kiusalama Kawe ni kwamba Kijana Mmoja Dereva Bodaboda amejikuta matatani baada ya kutumwa kupeleka Barua yenye Ujumbe wa Tishio katika Kambi ya Jeshi ya Lugalo.
Ilikuwa ni Siku ya Jumapili iliyopita ambapo Kijana huyo (...
Madada wa mjini Wana tabia ya kukaa kwa kubinuka kwenye bodaboda, hii inawasaidia chura kuongezeka kwa 13% mpaka 45% lakini pia ina madhara Kama kutokuvaa helment.
Kuna dada namfahamu kiuno kilikataa kunyooka baada ya kupata ajali, alikuwa na hiyo tabia pia.
Ni ukweli ulio wazi kuwa kwa sasa bodaboda ndio wanaongoza kwa kuua watu kwenye ajali plus kuwatia vilema
Je, kabla ya ujio wa hawa bodaboda ni akina nani waliokuwa wakishika nafasi ya uwakala wa kifo
Imekuwa ni kama kawaida sana kwa siku hizi na tokea zamani pale inapotokea mwendesha pikipiki za abilia maarufu kama bodaboda. pale inapotea bodaboda yeyote kugonga mtu au kusababisha ajari,na bodaboda huyo kutoweka kabisa na hakuna wa kumfatilia.
Tatizo kuu ambalo lipo,huyu bodaboda anaweza...
Habarini wanajamii,
Moja kati ya vitu ambavyo madereva bodaboda wanakosa licha ya kuwa wasaidizi wetu katika kutupeleka na kutuwahisha hapa na pale ila wanakosa maadili ya kazi.
Jumamosi asubuhi hapa tunapoishi nilisikia maneno watu wakizozana alikuwa ni mama Juma na baba Salehe, mama Juma...
Wasalaam Wakuu,
Aisee naomba niende kwenye mada husika moja kwa moja juu ya wanawake kujibinua makalio yao wakiwa kwenye Bodaboda hasa hapa jiji la Joto- Darusalama
Hii imekuwa ni kama fashion kwa kila mwanamke,hawezi kukaa kwa kunyooka bila sawasawa ila mpaka abinue kiuno chake na kalio lake...
Hii ni janja au akili mbovu? Yaani mnawapa boda boda lita tatu za mafuta kila anapopita rais Samia na kuwaambia boda wabebe raia ili kuonekana kuna nyomi linalomkubali mama?
Ukweli ni kuwa hii ni hadaa ya kufa mtu.
Boda boda wanajipatia mafuya ya bure tu.
Hii imetokea kila mahala. Msilete...
Naandika nikiwa na masikitiko makubwa sana.
Ina maana viongozi wetu hawaoni kwamba umachinga na bodaboda sio suluhisho la uhakika kuhusu ajira? Viongozi wote wa Chama Tawala na upinzani kwa nyakati tofauti wamekuwa wakitumia makundi haya mawili ku-boost agenda zao za kisiasa wakati wakijua hizo...
Malalamiko ya wamiliki wa bodaboda/pikipiki yamezoeleka masikioni mwetu na kupelekea hali inayoendelea Sasa hata JamiiForums kuona hakuna sababu ya kuliongelea tena.
Mimi nimeona nisichoke katika hili. Wabunge ni walewale, viongozi ni walele na Sheria ni zilezile.
Najiuliza shangwe zile za...
Habari!
Binafsi ninapomwona bodaboda mtu mzima mwenye miaka 50-60 napata mshituko kidogo na kuanza kuiogopa kesho yangu.
Najiuliza maswali yafuatayo;
1. Kayumba ukumbwani mpaka kaamua kuingia kwenye kazi za vijana wanaoishi vijiweni kutwakutwa kwa utani na matusi?
2. Atafanya hiyo kazi mpaka...
Wakuu Niko Arusha Kwenye Miangaiko Sasa Jana nikaenda Bar ya picnic Arusha, Sasa Wakati ñaenda Nikamwambia Mwenyeji wangu, yule Mwenyeji wangu akanambia kuwa makini Na picnic kuna wezi kama wote, nikamjibu Poa.
.
Lakini yule Jamaa akanambia watu wageni wanaogopa Sana Hapo maana ULINZI zero.
...
WALEMAVU, BODABODA WAANDAMANA WAKITAKA WAZIRI BASHUNGWA KUTENGUA TAMKO LAKE*.
Kufuatia katazo wa Waziri wa TAMISEMI Mhe. Innocent Bashungwa kuhusu sakata la bodaboda na bajaji kuingia mjini, Walemavu na Bodaboda wameandamana mpaka ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam wakishinikiza Waziri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.