bodaboda

Boda bodas are bicycle and motorcycle taxis commonly found in East Africa. While motorcycle taxis like boda bodas are present throughout Africa and beyond, the term boda boda is specific to East Africa. In Kenya, they are more frequently called piki pikis. Their ubiquitous presence in East African cities is the result of a number of factors including an increasing demand for public transit, the ability to purchase motorcycles on credit, and an influx of cheap imports from Indian manufacturers like Bajaj. In the countries where they are present, boda bodas can provide transportation options to riders and job opportunities to drivers while at the same time resulting in an increase in road hazards and collisions and unnecessary injuries and deaths.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Daniel Chongolo: Bodaboda na bajaji hawawezi kuondolewa katikati ya jiji la Dar es Salaam

    CHONGOLO: BODABODA NA BAJAJI HAWAWEZI KUONDOLEWA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo Kwa upande wa zoezi linaloendelea la kuwapanga watu wa bajaji na bodaboda mkoa wa Dar es salaam kuwa watu hao, hawawezi kuondolewa katikati ya jiji hilo...
  2. JanguKamaJangu

    Mbunge ataka taarifa za zuio la bodaboda lijadiliwe kwa dharura Bungeni, Spika aikataa hoja

    Mbunge wa Ukonga, Jerry Slaa ametoa hoja ya kusimamisha ratiba ya Bunge ili kujadili hoja ya vijana waliojiajiri katika usafiri wa bodaboda na Bajaj ambao kulikuwa na taarifa wamezuiwa kuinjia maeneo ya Mjini Mkoani Dar es Salaam. Slaa alitoa hoja hiyo Bungeni leo Alhamisi Aprili 21, 2022...
  3. Chachu Ombara

    Kanusho: Bodaboda na Bajaji hawajapigwa marufuku kuingia katikati ya Jiji kuanzia Alhamisi 21 Aprili, 2022

    Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania imewatangazia kuanzia kesho Alhamisi bodaboda na bajaji zote hazitaruhusiwa kuingia katikati ya Jiji hilo. ================= TAARIFA HII IMEKANUSHWA DAR: BODABODA WAPEWA VITUO 9 MJINI Baada ya kudaiwa bodaboda na Bajaji za biashara...
  4. Notorious thug

    Aliingia na "shangingi" Toyota Landcruiser akarudi na Bodaboda "toyo"! nyumbani!

    Meya wa manispaa ya Moshi Juma Raibu aliingia ofisi na Toyota Landcruiser ila baada ya wajumbe 18 kumkataaa huku 10 wakitaka aendelee na kazi idadi kubwa ikashinda kutokana na tuhuma kadhaa zinazomkabili ilibidi akubali kuvuliwa wadhifa wake na kurudi nyumbani na "toyo" a.k.a bodaboda huku...
  5. BigTall

    Mwanza: Polisi wawaambia Bodaboda "acheni kudanganya wanafunzi kwa chipsi"

    Mwenyekiti wa Umoja wa Waendesha Pikipiki Kanda ya Mjini Kati, Ramadhan Jacobo amewaasa waendesha pikipiki wenzake kujiepusha na tabia ya kutongoza pamoja na kujihusisha na mapenzi na wateja wao. “Asilimia tisini ya abiria tunaowabeba na wanaotulipa fedha ni wadada, na nyie ni mashahidi...
  6. ommytk

    Tuambie visa vya bodaboda ulivyowahi kukutana navyo

    Kwako mdau ebu tuweke je umewahi kushuhudia au kutokewa na kisanga kipi kwa awa madereva wa pikipiki yaani bodaboda ambacho uwezi kukisahau maishani mwako
  7. Ushimen

    Tabia ya wadada kujibinua kwenye bodaboda

    Wakuu, nimepita hapa Pizzeria nikaagiza kitu pale black vinegar mixer gallic. Pizza ilikua ina chizz ya kitosha...😋 sasa wakati wa kulipa naambiwa ni 21,000...😬 Dahhhhh. Man nilipata moto wa dunia, ila kiroho sayona nikasema barida m'baba nika kunjua noti huyooo nikasepa. Sasa ile natoka nje...
  8. Bexb

    Ninaomba mnijulishe taasisi mnazozifahamu kuwa zinakopesha pikipiki

    Habari wakuu. Ninaomba mnijulishe taasisi mnazozifahamu kuwa zinakopesha pikipiki kwa ajili ya bodaboda. Nahitaji kujua zile ambazo zina masharti nafuu pasipo dhamana ambazo vijana wengi wamekua wakikosa lakini pia zisizo na mlolongo mrefu sana wa kupata hizo pikipiki. Ukinijulisha mahali ofisi...
  9. BigTall

    DAR: Wanaomtumia dada mwenye ujauzito feki kupora bodaboda wanaswa na Polisi

    Jeshi la Polisi limefanikiwa kumkamata Sophia Musa (28), mkazi wa Toangoma ambaye ndiye mpokea maombi ya kutengeneza kadi toka kwa boko na baadae kumpelekea Ibrahimu Ally (31) mkazi wa Buguruni ambaye hufanya kazi ya kudurufu kadi hizo za Pikipiki. Katika katika upekuzi watuhumiwa hao wamekutwa...
  10. Donnie Charlie

    Iringa: Marufuku watoto chini ya miaka 9 kupanda bodaboda

    Kitengo cha Usalama Barabarani Mkoani Iringa, kimepiga marufuku watoto chini ya umri wa miaka tisa kupanda bodaboda. Mkuu wa Kitengo hicho, ASP Yusuph Kameta amesema ni kosa kisheria kwa mtoto chini ya umri huo kupanda bodaboda. Hata hivyo, wazazi na walezi wengi ndio wanaoongoza kuwapakia...
  11. K

    Ni sababu ipi inapelekea asilimia kubwa ya wanawake kuwa na mahusiano ya kimapenzi na bodaboda?

    kwa utafiti mfupi nilioufanya nimegundua akina dada wengi hasa wake za watu wanadate na mabodaboda. kwa anaejua chanzo cha akina Dada kutokwa macho kwa mabodaboda anijuze haraka sana kuna maamuzi nataka kuyachukua.
  12. Nyendo

    Udereva wa pikipiki (Bodaboda) chanzo cha kipato kwa vijana wengi

    Katika kujitafutia ridhiki watu hufanya kazi mbalimbali za kuajiriwa au kujiajiri, za kutumia taaluma, ubunifu na ujuzi wa nguvu zao walizojaaliwa na Muumba lengo likiwa kupata kipato kwa aliji ya kujikimu. Katika hili kuna kundi kubwa la vijana limeingia kwenye biashara ya kusafirisha abiria...
  13. G

    Bodaboda nyingi za Kibaha hazina Side mirrors

    Polisi wa Usalama barabarani inabidi wafuatilie ili kubaini ni kwanini pikipiki nyingi za Kibaha hazina Side mirror. Utafiti mdogo nilioufanya baada ya kuwahoji baadhi ya madereva wa bodaboda walieleza kwamba wengi wameondoa vioo hivyo kwa madai kwamba, magari yanapokuwa kwenye foleni na wao...
  14. Nchi Kavu

    Na mahoni ya bodaboda yaondolewe

    Jeshi la polisi upande wa barabara wamezuia madereva wanaotumia taa za vimulimuli na ving'ora kwa magari yasiyostahili pamoja na kwa bodaboda. Ni hatua nzuri. Bado kuna changamoto moja hasa upande wa bodaboda. Wengi wameweka honi ambazo zinaleta kelele na hofu njiani. Ukiwa mbele yake na...
  15. M

    Binti amenipigia kelele kuwa nataka kumbaka baada ya kutokubali ushawishi wake wa kunitaka kimapenzi

    Salute bosses, leo siku naona imeniendea vibaya, nimepigiwa kelele na binti mmoja kuwa nambaka. Huyu binti alikuja eneo nililokuwa nimetulia zangu najinywea bia zangu. Mara akaanza kuleta mazoea ya haraka, alipoona sina mda nae akaanza kunitolea maneno machafu. Ukizingatia mimi ni mwanaume...
  16. John Haramba

    Mtazame mzee Hassan Dalali baada ya kupata ajali ya bodaboda, Simba yatoa tamko

    Uongozi wa Klabu ya Simba umetoa pole kwa aliyewahi kuwa mwenyekiti wa klabu hiyo Hassan Dalali kufuatia ajali aliyoipata Jumatatu Machi 7, 2022 jijini Dar es Salaam. Dalali alianguka na Bodaboda aneo la Rangi Tatu njia ya kuingilia Chamanzi, polisi ndiyo waliomtambua baada ya kumfikisha...
  17. D

    Mwenza wangu amegoma kuachana na BodaBoda wake

    Wakuu hali ni mbaya sana kiupande wangu, Baada ya kuona Boda Boda amekua ni kiungo kikubwa kwenye maisha yetu, nilianza kutumia njia za busura kumshauri mwenza wangu aache ku deal nae, Nilivyoona Busara haifanyi kazi nikalazimika kujaribu kutumilia nguvu, ILa hapa kwa kweli nimezidi kuvurugika...
  18. A

    Rich Mitindo ataja mambo matano aliyopatia kumzalisha Wolper, mtoto wao amiliki bodaboda tatu

    Mfanyabiashara Rich Mitindo ambaye anajulikana kuwa, ndiye baba wa mtoto Paschal 'P' aliyezaa na msanii nyota wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper Masawe, anatajwa kuwa, mbali na kumzalisha nyota huyo, pia amembadilisha tabia. Kauli kutoka kwenye kinywa cha msanii nguli wa kiume, amesema...
  19. YEHODAYA

    Mzee anaendesha RAV4 huku kavaa Helmet za pikipiki

    Dunia ina watu watata Maajabu tumepishana na mzee ana RAV4 anaendesha kavaa Helmet zile za bodaboda kichwani nimeambiwa ukiomba lift anakwambia kama una Helmet panda Gari yake hata mkewe na watoto wake hawapandi sababu sharti la kuvaa Helmet limewashinda Mwenyewe anasisitiza kuwa hata...
  20. Analogia Malenga

    Daktari: Ajali za bodaboda zimeongeza wagonjwa wa kifafa

    AJALI za bodaboda zinachangia ugonjwa wa kifafa kwa waathirika wa ajali hizo kutokana na majeraha kwenye kichwa ambayo yanaathiri ubongo, imeelezwa. Hayo yamebainishwa na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Mfumo wa Fahamu na Ubongo kwa watoto, Dk Edward Kija wakati akizungumza katika kipindi cha...
Back
Top Bottom