Boda bodas are bicycle and motorcycle taxis commonly found in East Africa. While motorcycle taxis like boda bodas are present throughout Africa and beyond, the term boda boda is specific to East Africa. In Kenya, they are more frequently called piki pikis. Their ubiquitous presence in East African cities is the result of a number of factors including an increasing demand for public transit, the ability to purchase motorcycles on credit, and an influx of cheap imports from Indian manufacturers like Bajaj. In the countries where they are present, boda bodas can provide transportation options to riders and job opportunities to drivers while at the same time resulting in an increase in road hazards and collisions and unnecessary injuries and deaths.
Aziz Bashir(40) aliyewahi kuwa dereva wa Umoja wa Mataifa(UN) alipata ajali na muendesha bodaboda ambaye hakufahamika ambaye alikwangua gari lake, Mengo, #Kampala
Walitokea bodaboda wengine na mwenye ajali akakimbia, Aziz alivyoenda mbele alimgonga bodaboda mwingine ambapo kundi la bodaboda...
Pamoja na wazazi wengi kuwasajili watoto wao shule za mbali na wanakoishi ili sababu ya ubora wa hizo shule ukweli ni kwamba wamekua wakiwatesa sana watoto wao.
Fikiria mtoto wa Dar es salaam anaishi pugu, gongo lamboto, kibamba, mbagala, toangoma halafu anasoma bunge primary, diamond au...
Kwa kweli wadau wa JF ajali za Bodaboda boda zitatumaliza.
Kwa muda mfupi jijini Dar es Salaam kumetokea vifo vingi na ulemavu vilivyosababishwa na ajali za bodaboda.
Usafiri huu unapendwa sana na akina dada lakini ni hatari sana kwani madereva wengi wa bodaboda hawana leseni na hawafati...
NI saa saba na dakika tano, mataa ya Mwenge, ajali mbaya sana inatokea, mabinti wawili wakiwa kwenye bodaboda, wanapata ajali mbaya sana na kufariki dunia hapohapo.
Last week nilihudhuria msiba wa mrembo mmoja aliyefariki kwenye Kona ya Target akielekea Juliana, alikuwa kwenye bodaboda.
Sweet...
Augustine Makule na Mpenzi wake Rose Kimaro wamefunga ndoa wodini jijini Dodoma baada ya Bwana harusi kupata ajali ya Bodaboda siku mbili kabla ya siku ya harusi yao.
Ajali hiyo ya pikipiki iliyotokea eneo la zuzu Dodoma na kupelekea kijana Agustino kukatwa mguu wake wa kulia na vidole vitatu...
WASAP: 0754021538
Kama maziwa yanaondoa sumu na wakati huo mke ana ana maziwa je mwisho wake nini kilitokea? Twende nami mwanzo mpaka mwisho wa simulizi hii kuweza kupata simulizi hii ya aina yake.
TUANZE NAYO:
Dunia imejaa maajabu yeshe kushangaza na wakati mwingune kuchekesha, kuhuzunisha...
Wachungaji / ma ustadh / waganga feki - wanawake wengi sana wanasukumwa na Imani na ndio maana idadi yao ni kubwa kanisani, kwa waganga na wanaoenda kwa maustadh kwa tiba, matatizo Yao huwa kwenye uzazi, ndoa, malimbwata, kuombewa miujiza, kuroga, kuondoa nuksi, n.k hapa sasa kuna watu tajwa...
Wakuu,
Biashara ya bodaboda imekuwa mkombozi kwa kurahisisha usafiri katika maeneo mengi nchi hii, mijini na hata nje ya miji.
Lakini pia imekuja na mambo mengi maovu, kama vile kutumika katika ujambazi na unyang'anyi ukiachilia mbali ajali nyingi zinazosababisha ulemavu wa kudumu hata vifo...
Tulishuhudia na kusikia shangwe za wabunge, Bodaboda na wamiliki wa pikipiki wakati bajeti inasomwa na mheshmiwa Wazili Mche.
Naomba kufahamu, hali ya sasa katika Hilo nchini kwakuwa, nimeona idadai ya pikipiki inaongezeka katika vituo vya polisi. Mbaya zaidi, nimeona askali wetu wakizisaka...
Nimepigiwa simu kuwa aliyekuwa mke wangu(mama Agness) amepata ajali mbaya ya pikipiki maeneo ya Mtoni Mtongani, kwa Buruda. Ajali hiyo imepelekea kifo chake na jamaa yake hapohapo. Kwani jamaa ndiyo alikuwa dereva wa pikipiki hiyo.
Daah huu mwaka umeniijia vibaya sana sana sana mpaka sielewi...
Ni misimamo yangu kwamba;
Sipandi bodaboda isiyo kuwa na kioo (side mirror), maana mambo ya kugeuziwa shingo kila muda ujinga huo sitaki, Mara ageuke nyuma akosee tuelekee mtaroni spendi kabisa!
Sipandi bodaboda ya bonge au mtu mwenye kitambi; Haiwezekani mi nilipe buku halafu siti yote akalie...
Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la matumizi ya pikipiki kama njia ya usafirishaji kuanzia mijini hadi vijijini hapa kwetu Tanzania. Matumizi ya pikipiki maarufu kama Bodaboda yamepunguza adha na changamoto ya usafiri kwa kiasi kikubwa sana hasa katika maeneo ambayo...
Hii picha nimeitoa mtandaoni
Ipo changamoto inayoonekana kwa sasa kukua kwa kasi sana na ambayo isipofanyiwa kazi mapema basi tutakuwa na watoto/vijana wengi wenye matatizo ya kifua. Kwa sasa wimbi la bodaboda limeshika kasi. Ndio usafiri wa watu wa kati katika kuwahi shughuli zao za kila siku...
Hii ni kwa usalama wako!
Kuna ajali na vifo vingine vinapangwa na wanadamu wenyewe kwa kutokujali na kuangalia usalama wa barabarani
Kiukweli dereva bodaboda wengi ndani ya jiji la Dar es salaam hawajali usalma wao kabisa, hii imepelekea vifo na ulemavu wa kudumu kwa kundi hili na abiria wengi...
Wanadai wanawake Waislamu hukiuka sheria za dini hiyo wakati wanaabiri bodaboda kwa sababu baadhi ya sehemu za mwili wao ambazo ni siri hubaki wazi.
Viongozi hao walisema shera ya dini hiyo hairuhusu mwanamke kukaribiana na mwanamume ambaye si mume wake.
Wazee na vijana wa Kisomali walikuwa...
Habari ndugu zangu Mabibi na mabwana napenda kuwasalimu wakubwa na wadogo, Lengo la Ujumbe huu ni kuomba kwa yeyote ( MWENYE PIKIPIKI YA MKATABA/ HESABU ) nipo tayari kufanya kazi nina patikana Ubungo River side Licence number ( D ), Natanguliza shukrani na Muenyezi mungu awabaliki.🙏
Habari za leo wakuu, kijana wenu nimerudi tena
Naomba yeyote mwenye kujua mtu anayehitaji dereva wa bodaboda yake aniunganishe maana naweza kufanya hiyo kazi kwa ufanisi mkubwa.
Napatikana Mipango Dodoma
0624008133
Natanguliza shukrani.
Zanzibar-ASP
Ni matumaini yangu mpo salama wote. Baada ya kusota mtaani kwa miaka miwili tokea kumaliza degree yangu nimefanikiwa kujikusanya na kupata kapesa kidogo.
Baada ya kuwaza sana nimeona ninunue pikipiki kwaajili ya biashara ya bodaboda ambayo nataka niifanye mimi mwenyewe.
Hatimaye kila kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.