Wakuu hali ni mbaya sana kiupande wangu, Baada ya kuona Boda Boda amekua ni kiungo kikubwa kwenye maisha yetu, nilianza kutumia njia za busura kumshauri mwenza wangu aache ku deal nae, Nilivyoona Busara haifanyi kazi nikalazimika kujaribu kutumilia nguvu, ILa hapa kwa kweli nimezidi kuvurugika...