Haya makundi ya bodaboda yaangaziwe kwa jicho lingine kabisa kwa watumiaji wake.
Baadhi yao ni vibaka, wezi na wanyang'anyi..
Wamemkaba wife Leo mda mchache baada ya kuachana nae, bodaboda aliyemkodi ndie aliyemkaba huko njiani na kumnyang'anya pochi iliyokuwa na simu, pesa pamoja na document...