"THE CALL" bonge moja la muvi 2013, ni kitengo cha huduma za dharura 911 Los Angeles, wanapokea simu za matukio ya hatari jijini, halafu kuna huyu jamaa ana matatizo ya akili anateka wasichana wenye nwele ndefu zenye rangi flani anawapasua vichwa kwa uangalifu apate wigi la nywele hizo...