bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. Kwa nini kauli za kawaida za matajiri bongo huwa zina uzito mkubwa sana?

    Yani bongo Tajiri akiongea mahali au akitoa ushauri wake hata kama maneno yake ni ya kawaida sana tu anaonekana kama mwanafilosofia au mwanauzoni hivi, Mfano mwingine tangu yule tajiri wa timu fulani anayesemekana hajui kuzungumza aje na msemo wa "Yanga bingwa" sasa kila mtu mjini ni Yanga...
  2. Kwa nini TEC ipo kimya wasanii wa bongo flavour kuhusisha maudhui ya dini katika nyimbo zao?

    Nimekuwa nikikutana na miziki ya bongo flavour yenye maudhui ya dini ya Kikristo, kuna nyimbo ya Zuchu wanaonekana masista wa Katoliki na kanisa katika video, Kuna nyimbo ya Mbinguni ya Chino nimeona maudhui mengi ya Kikristo pia, Kwa nini TEC imekaa kimya kuhusu haya masuala au haina shida na...
  3. Kwa nini TEC ipo kimya wasanii wa bongo flavour kuhusisha maudhui ya dini katika nyimbo zao?

    Nimekuwa nikikutana na miziki ya bongo flavour yenye maudhui ya dini ya Kikristo, kuna nyimbo ya Zuchu wanaonekana masista wa Katoliki na kanisa katika video, Kuna nyimbo ya Mbinguni ya Chino nimeona maudhui mengi ya Kikristo pia, Kwa nini TEC imekaa kimya kuhusu haya masuala au haina shida na...
  4. Majina ya wasanii wa bongo yasiyo na mvuto

    Baadhi ya wanamuziki wa bongo wameshindwa kabisa kujipa majina mazuri ya kwenye steji. Kuna majina ya kisanii ukiyasikia yaani haya "sound", japo mwenye jina anaweza kuwa msanii mzuri. Kutengeneza jina zuri ni sawa na kutengeneza brand name ya kampuni au "logo". Nitatoa mifano: 1. Majina...
  5. LADY JAY DEE ndani ya bongo fleva Honoros usiku wa leo

    LADY JAY DEE NDANI YA BONGO FLEVA HONOURS USIKU HUU... Kuanzia ‘siku hazigandi’ hadi ‘ndindindi’, kupita kwenye ‘wangu’ hadi ‘mambo matano’ hizo ni baadhi tu ya nyimbo kutoka kwenye collection ya Malkia wa Bongofleva, Dada mwenye ukuu wake kwenye dunia ya Bongofleva Lady JayDee ambaye leo...
  6. Waasisi wa muziki wa Bongo Fleva

    WAASISI WA MUZIKI WA RAP " HIP HOP TANZANIA" Fresh X E - jina halisi ni Edward Mtui na ndiye hasa mwanzilishi wa kurap kwa Kiswahili katika miaka ya 1980 na alikuwa akiimba wimbo wake kwa kiitikio cha "Piga Makofi" ambao aliubadilisha wa Run-D.M.C. Clap Your Hands, lakini hajaurekodi. Kwa...
  7. G

    Chemsha Bongo, kipimo cha IQ: Ukiweza kujibu upo vizuri kiakili

    Tuchekeche vichwa kidogo Muuza nguo anapewa nguo za kuuza kwa makubaliano ya kurejesha pesa ya nguo atazoweza kuuza, kapata mtaji wa kuanza kununua nguo zake, hivyo kuna baadhi ya nguo anaendelea kupewa na kiwanda kwa utaratibu ule ule wa kurejesha mauzo na nyingine ananunua kwa pesa yake...
  8. Mnaonaje graduates wote ambao hamna ajira mkaja na Bongo Jobless Festival?

    Habari Tanzania, Mnaonaje Graduates wote wa Bongo mtengeneze paredi la uhakika kila baada ya miezi 6 mnakutana sehemu iwe town kati kila mkoa mkijipa pole kwa ukosefu wa ajira na kupongezana kwa kuwa wahitimu wa taifa la Tanzania. Mnaweka mualiko kwa taasisi mbalimbali kuja kuwaona na kufanya...
  9. Battle: Tanzania 🇹🇿 ( Bongo) Vs Kenya ( Elite of Africa)

    Hii ni list kuonyesha namna Tanzania iko mbali sana tuu Hii hapa list namba 7 na 8 zitakushangaza 1. TZ tuna Iconic figure wa Africa Nyerere🇹🇿 2. Best and longest SGR in Africa ipo Tz 🇹🇿 3. Lugha ya Kiswahili ni ya Tz 🇹🇿 na inazungumzwa Africa na dunia kote 4. Mlima mrefu kuliko yote Africa...
  10. O

    Ukistastaajabu ya mafuta na maji ya upako hapa bongo. Pasta Ng'ang'a atupa sadaka za waumini kisa ndogo

    Mchungaji wa Neno Evangelism Centre James Ng'ang'a atupilia mbali pesa zilizokusanywa kama sadaka kutoka kwa waumini wake wakati wa ibada. Katika video iliyoshirikiwa na Qare Jane kwenye TikTok, mchungaji huyo alionekana akiiangalia kwa dharau sadaka hiyo. Wakenya walioshuhudia video hiyo...
  11. Bongo Instrumental.

    Najua humu ndani kuna wasanii kibao tu. Kazi hiyo hapo. Sijaimix wala kufanya mastering. Project yake ipo na final project pia. Nicheki PM kama upo interested.
  12. G

    Video: Masjid Maamur, Msikiti unaohudhuriwa zaidi na matajiri wa nchi (Waarabu na Wahindi), Gari zinazopaki zinaduwaza

    Hakuna Toyota za wajapenga, Ni vyuma classic vya ulaya kama Ferrari, G wagon, Posrche, Bentley, Lamborgini, n.k.
  13. Hivi ndivyo airpot ya bongo ingekuwa kama usingekuwa kuna ulinzi.

    ******
  14. Nini chanzo cha matajiri kuanza kuabudiwa na raia wengine?

    Katika jamii yoyote huwa kuna utofauti wa vipato kiuchumi kwa makundi mbalimbali ya watu. Sio jambo jipya kwamba kote duniani na hata hata bongo Wapo watu masikini kabisa, wa kipato cha kawaida, kati, matajiri na matajiri waliopitiliza. Jipya la sasa ni ibada kwa matajiri, watu wamekuwa...
  15. Bongo aliyenunua gari na kujenga nyumba anajiona ametoboa maisha

    Huku Bongo (TZ) ukijenga nyumba ya 30mil kisha ukinunua gari la kutembelea (i.e: Carina, IST, Mazda, wish, Rav4, Dualis, Spacio, Crown Athlete, Vitz, Runnex, n.k) tayari unaonekana umetoboa maisha. Pengine hata wewe mwenyewe utajiona una akili ya maisha kuliko kiumbe chochote hapa nchini ambacho...
  16. Ukweli mchungu 76% ya waigizaji na wanamuziki wa Bongo hawajafika Darasa la 7

    Wasalaam, Napenda kuchukua fursa hii kuwalaani wasanii wote wakiongozwa na rais wao stev Nyerere ambae hajamaliza hata darsa la saba kutumika kisiasa na cha chama cha mapinduzi kupotosha umma wa watanganyika kuhusu masuala muhimu ya kitaifa. Jana nimemsikiliza dula makabila ambae ameishia...
  17. G

    Ni kitu gani kinafichwa sana kwenye maisha ya wasanii wa bongo unachoamini kwa asilimia 100 kipo?

    Kwa mtazamo wangu hivi ni vitu navyoamini vinawekwa siri lakini vipo. Kala Pina alikuwa anamgwaya Dudu baya Mr Nice hakufulia kabisa, Bado pesa anazo si haba za kustaafia muziki Nusu ya wasanii wanavuta weed Wasanii wengi wa bongo wanaishi kwa pesa za mishe nyingine, ni wachache sana...
  18. D

    CAF Referee training ipo Tanzania. Ila marefa wa Tanzania hawataki kwenda

  19. Kuna mtu katania eti kampuni ya madawa ya Azuma wametokea kupapenda Bongo. Biashara imekuwa nzuri

    Apart from utani wanangu kuweni makini, vaeni mipira.
  20. Kuwa mwanamke wa kisasa Tanzania ni changamoto sana katika mahusiano/ndoa

    Ukiwa Feminists ni shida, Single mother ni shida, Ukiomba pesa malalamiko Ukimzidi mwanaume wako kipato kama yeye sio marioo tatizo. Ukimzidi mwanaume elimu ni tatizo Ukivaa nguo za kubana sio wife material Ukitoka nyumbani unatakiwa kuomba ruhusa. Ukichelewa kurudi nyumbani tatizo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…