Boss wasim sijakusahau kabisa, yaani wewe ulikuwa ni wakunilipa elfu 20 Nile kwa mwezi mzima, halafu chakula ni kwa mama ntilie, tena pale posta kati mtaa wa idiraghand, tena nilikuwa nafanya kazi masaa 24 yaani mchana nasambaza gesi usiku nakuwa mlinzi.
Tena hata hako kakirikuu cha kusambazia...