Mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Diplomasia ya Uchumi wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Tanzania, Balozi Edwin Rutageruka aliyefariki dunia 13 Februari, Hospitali ya Agha Khan, Dar es Salaam, utazikwa Bukoba mkoani Kagera Jumamosi hii Februari 19, 2022.