bunge

  1. S

    Spika Tulia na Bunge lake wanatosha kwa Spika kutoliongoza Bunge kutengua kanuni muda wa Bunge uongezwe, na wabunge kutoomba muongozo wa Spika?

    Katika mkutano wa Mbunge Mpina na mawakili wake, moja ya jambo lilionishangaza zaidi ni madai kuwa Spika hakuliongoza Bunge litengeu kanuni ili wapitishe azimio la kuongeza muda wa kikao cha Bunge kilichopaswa kuisha saa 1:45 usku kama kanuni/taratibu za vikao vya Bunge zinavyotaka. Yaani...
  2. A

    Katiba na Bunge lipi lipo juu ya mwenzake

    Jana nilikuwa na sikiliza wagombea WA TLS suala moja wapo waliongelea ni kuhusu Maamuzi ya mahakama juu ya Kesi ambazo ni kinyume cha katiba, ambazo Kwa namna moja au nyingine Bunge linatakiwa kuzirekebisha ili ziendane na Katiba, lakini Bunge halifanyi hivyo. Sasa suala la kujiuliza ni Bunge...
  3. USSR

    Spika wa Bunge la Marekani: Biden hafai hata kupewa muda uliobakia

    Spika wa bunge la Marekani anasema watapiga kura kumuondoa Rais mgonjwa kwa mujibu wa katiba baada ya chama chake kumuona ni mgonjwa inamaanisha kuwa hata kumalizia muda sio sahihi Mwanadamu haridhiki kabisa walimtaka asigombee amalizie ingwe yake na amekubali sasa hawataki hata kumalizia...
  4. Kaka yake shetani

    Wasifu wanao weka wengi kwenye tovuti ya bunge na serikali hakuna ukweli

    Yani wasifu ungekuwa unafatiliwa kuhusu tovuti ya bunge unaweza kushika mdomo wazi yani unakuta mtu anaweka ana PHD ambayo ujui kaipata kichochoro gani na mda gani. mmoja mbunge X kuna chuo kaweka alichosoma ukitafuta sehemu zote unaona ni kiwanda cha kutengeneza dawa za mifugo. Hii nchi...
  5. Suley2019

    Pre GE2025 Ndio maana Bunge linapitisha tozo, kumbe wao haziwahusu!

    Salaam Wakuu, Tulia amekuwa akiwatunuku followers wake mara kadhaa kwa kuwatumia mialama mara kadhaa, na mara zote amekuwa akiweka copy ya miamala hiyo kuonesha kuwa wahusika wamepokea. Siku zote hizo amekuwa akiedit text hizo na kuondoa kisehemu kinachoonesha makato ya ada na tozo ya...
  6. Stephano Mgendanyi

    Spika wa Bunge Akutana na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF

    SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA NSSF Na MWANDISHI WETU, Dodoma. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Bw. Masha Mshomba, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), baada ya kuhitimisha Bunge...
  7. B

    Kenya: Waandamanaji walivyoingia bungeni

    Hivi ndivyo vijana wa Kenya walivyoingia bungeni. Hatari sana!
  8. Gamal Sankara

    Tazama vile bunge kule Kenya ilivyovamiwa

    https://x.com/SethOlale/status/1806350607428506110
  9. Stephano Mgendanyi

    MHE. NORAH WAZIRI MZERU, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Anauliza Swali Bunge kwa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.

    MHE. NORAH WAZIRI MZERU, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Anauliza Swali Bunge kwa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. "Serikali imechukua hatua mbalimbali kuhakikisha Wanafunzi wasichana wanaokatiza masomo kwasababu ya kupata ujauzito wanarejea Shuleni. Hatua hizo ni pamoja na kutoa...
  10. BabuKijiko

    Sakata la Mbunge Luhaga Mpina na Uamuzi wa Bunge Kumsimamisha Vikao 15

    Sakata la Vibali vya Sukari, Madai ya Mbunge Luhaga Mpina kuhusu Waziri Bashe Kulidanganya Bunge na Uamuzi wa Bunge Kumsimamisha Mpina Vikao 15
  11. The Supreme Conqueror

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri yanakuja muda wowote baada ya mkutano huu wa 12 wa Bunge hili kutamatika wiki hii

    MABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI YATAJWA MABADILIKO makubwa ya Baraza la Mawaziri yanatabiriwa kufanywa na Rais Samia Suluhu Hassan wakati wowote baada ya kumalizika kwa Mkutano wa 12 wa Bunge unaofikia ukingoni mwishoni mwa wiki hii. Mabadiliko hayo yanatabiriwa kuwagusa mawaziri ambao kasi ya...
  12. Bams

    Bunge Lisilo Na Faida Kwa Watanzania Lijitafakari

    Tukitaka kuwa wakweli kwa nafsi zetu, Bunge la Tanzania la sasa halina faida wala msaada kwa Watanzania. Nina hakika hata kama lisingekuwepo, hakuna ambacho kingebadilika. Hili ni Bunge ambalo chochote kinachopelekwa Bungeni na Serikali, lazima kitapitishwa kama kilivyo. Namna nyingine, tunaweza...
  13. toriyama

    Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. Kueleka maandamano kwenda ikulu siku ya alhamis

    Mchoro wa Jengo la Ikulu ya Kenya umevujishwa Huu hapa. https://x.com/Murangoanalyst_/status/1805642997469495590?t=80emWWWphzY2QaF_rYH1Xw&s=19
  14. TUKANA UONE

    Mnaopinga Ushoga kwenye Mitandao,Je Siku Bunge likipitisha Sheria za Kuwalinda Mashoga mtatoka hadharani kuandamana kuipinga?

    Mada na hoja sensitive kama hizi huwa (ga) sihitaji kutoa salamu! Huwa nawashangaa watu wanaojiita "Wapinga Ushoga",wengi wao ni Keyboard Warriors ila sijawahi hata siku moja kuona wanaandamana na mabango huko mitaani wakipinga vitendo vya ushoga! Swali ni Je,Siku Bunge la Tanzania likipitisha...
  15. Mganguzi

    Huko Kenya jeshi linakaribia kuwaunga mkono waandamanaji. Mageti ya bunge yamevunjwa na waandamanaji wapo ndani ya bunge wanafanya chochote watakacho

    Sauti ya umma imekita kambi huko Nairobi, Kenya! Hali imekuwa tete sana! Waandamanaji wamechoma moto ofisi ya gavana wa Nairobi na kuvamia bunge, bendera zote zimetelemshwa na mgahawa wa bunge umevunjwa, waandamanaji wameonekana wakila chakula na kutapanya kila kitu! Jengo la Seneti limevunjwa...
  16. Lucas Julson

    “Kama tunatoa ripoti na kuna ubadhirifu na hatua hazichukuliwi, huo kwangu ni udhaifu wa Bunge." Sehemu ya nukuu ya Professor Assad

    “Kama tunatoa ripoti na kuna ubadhirifu na hatua hazichukuliwi, huo kwangu ni udhaifu wa Bunge. Bunge linatakiwa lisimamie na kuhakikisha kwamba pale penye matatizo, linahakikisha kuwa hatua zinachukuliwa. Sasa, sisi kazi yetu ni kutoa ripoti tu,” Professor Assad aliyekuwa kuwa CAG Wakati...
  17. Etwege

    Mbunge Luhaga Mpina ameamua kumtii Mwl Julius Nyerere?

    MATARAJIO YA WAASISI WA CCM vs. KINACHOENDELEA ________________________ "Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania...
  18. M

    Jaji mstaafu, kanieleza Ufisadi awamu hii unatisha kuliko wakati wowote toka tupate Uhuru,

    Leo hii Nimepata wasaa wa kupata chai asubuhi kwenye kijiwe chetu mtaani, Jaji kaongea Kwa uchungu anasema ni kweli sisi majaji maslahi yetu ni kama tuko peponj na hatuna shida hata moja, Akaendelea kusema ile kufungua nchi uliingia pia uchafu wa kutosha, Akasema hivi unakumbuka ziara za...
  19. J

    Mpina anastakiwa kwa kuvunja sheria gani Kamati ya Maadili ya Bunge

    NIMESOMA Maagizo ya Spika kwa Kamati inayokwenda kumhoji Mpina kwenye suala la tuhuma alizotoa dhidi ya Bashe kwenye skendo ya vibali vya sukari...watalaamu wa sheria tunaomba mtuletee mchanganuo wa Sheria alizotaja Spika kuwa Mpina amezivunja ili nasi tusiojua sheria tujue anakwenda kuhukumiwa...
  20. S

    Tetesi: Kamati ya Bunge yagawanyika suala la Mpina na Bashe

    KUINA Tetesi zinazoendelea kuwa Wajumbe wa Kamati ya Maadili waliopewa jukumu la kumshughulikia Mpina wameanza kugawanyika wengine wakidai Mpina hana kosa lolote na hajavunja Sheria wengine wanadai kwa kuwa Spika ndiyo amewapa hiyo kazi ni lazima waimalize. Pia kuna tetesi kuwa baadhi ya...
Back
Top Bottom