https://www.youtube.com/watch?v=HBNa9fVrapk
Waandamanaji wanaendelea kuandamana kwa kuwasha moto katika Barabara ya kuelekea mzunguko wa Holy Basilica, karibu na Majengo ya Bunge.
Licha ya maandamano ya mchana kutwa, Wabunge 204 wamepiga kura kupitisha mswada huo, huku Wabunge 115 wakipiga...
Spika anasema kwa mujibu wa kanuni ni kuwa mbunge akimtuhumu mbunge mwingine ni lazima siku hiyo hiyo au nyingine awasilishe vielelezo vyake kwa spika na spika atapelekea kwa kamati ya maadili ambayo spika ataichaigua yeye na kuipenda kama sheria na kanuni za bunge zilivyompa mamlaka spika...
Tafadhali naomba mwana JamiiForums yoyote mwenye ule Wimbo uitwao SIRI IMEFICHUKA nadhani uliimbwa na Chidumule au Remmy ( sina uhakika sana na Mtunzi ) aniwekee hapa ili si tu Niusikilize bali pia Niserebuke nao.
Nami nataka kwenda Studio ili nije na hiki Kibao changu ( huu Wimbo wangu )...
kwa wakati huu,
shauku, bashasha, macho na maskio ya miongoni mwa wadau wa siasa, harakati na demakrasia nchini Tanzania, yameelekezwa zaidi katika kujua, kuelewa na kufahamu matokeo ya hatua muafaka ambazo taasisi imara sana za umma zimechukua dhidi ya vielelezo vya uthibitisho vilivyoibuliwa...
Ndio! lilianza sakata la report ya CAG-mabilioni yamepigwa na uthibitisho wa ukaguzi ukawekwa wazi, bunge wawakilishiwetu wakanyamaza. Kama haitoshi wakamuita CAG kwenye wanayoiita mahakama yao kujibu hoja kwa nini ameibua madudu yao na anasema ukweli kuhusu udhaifu wao hadharani, CAG...
Wala haihitaji akili kubwa sana kuona kwamba Spika wa Bunge Tulia na jopo zima la uongozi wa serikali wametambua kwamba Mpina amewaumbua kwa kuweka wazi uongo wanaoufanya kuwahadaa Watanzania. Na sasa wanataka kubadilisha uzito wa tuhuma za uongo wa Waziri Bashe na kuelekeza fikra kwa ukiukwaji...
Mbunge Luhaga Mpina amethibitisha mbele ya waandishi wa. habari kuwa kulikuwa na ukiukwaji mkubwa wa sheria katika uagizaji Sukari nje ya nchi, wakati Taifa letu lilipokumbwa na uhaba mkubwa wa Sukari, miezi michache iliyopita.
Akiongea mbele ya waandishi wa habari, alisema kuwa ana uthibitisho...
Hizi kamati za bunge ambazo zimekuwa zikiita na kuhoji watu kama CAG Assad, Pascal Mayalla , Mpina na wengine wengi ni vyema sasa zikawa zinarusha live mahojiano hayo kama ambavyo inafanyika kwenye vikao vya bunge.
Demokrasia halisi duniani ndivyo ambavyo zinafanya kazi zake kwa sasa, huko...
Wengi watadhani mpambanaji Mpina kuwa hajui kanuni za bunge ila kitendo cha kuchomokea kwa jamii ilikuwa turufu bora kabisa kwake maana nature ya bunge linavyopakatana na mhimili mmojawapo hatuko salama sana . Kama angesubiri spana za huyu supika angepunguzwa nguvu na tusingejua in first hand...
Katika hili sakata,
1. Inashangaza kwamba spika ndio umekuwa wa kwanza badala ya Waziri Bashe au upande wa serikali kumtaka Mpina alete uthibitisho au maelezo kwamba Waziri Bashe amelidanganya bunge katika suala la upungufu wa sukari na mchakato mzima uliofutia wa manunuzi ya sukari ya ziada...
Naandika kusikitika na kuonesha kutokuwa na imani na sipika wa JMT.
Sipika anakumbatia wezi na waongo. Sipika anakubali kudanganywa. Waleta ushahidi wanakuwa victim.
Bunge linakuwa la Serikali badala ya Wananchi. Nilitegemea Bashe angekuwa kwenye kamati ya madili ama ameachia ngazi, ila kwa...
Hayati Julius alijikita zaidi kuwakomboa Wazimbabwe na Waafrika kusini akasahau kujenga nchi yake.
Hayati Mwinyi akaruhusu ufisadi na kila namna ya upigaji.
Mkapa akajitahidi kidogo kukusanya mapato ila kukawa na upigaji.
Kikwete awamu yake ikajaa upigaji tu na uswahili.
Hayati Magufuli...
Chama cha Umkhonto we Sizwe (MK) kinachoongozwa na Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma kimewasilisha maombi katika Mahakama ya Katiba kuzuia kikao cha kwanza cha Bunge kinachotarajiwa kufanyika Ijumaa Juni 14, 2024 kwa lengo la kuapishwa Wabunge, kufanya Uchaguzi wa Spika na Naibu Spika...
Wiki imeanza kwa raia wenzetu mbalimbali katika hii nchi kwenye nafasi za kisiasa za chama tawala na wale wa upande kidini kuitaka serikali ifungie mtandao wa Twitter/X
Pia itakumbukwa Starlink kampuni ya mtandao ya Elon Musk imeshindwa kupata kibali cha kufanya kazi Tanzania ikesemwa na Nape...
https://www.youtube.com/watch?v=vpTWLYk9aeU
Halima Mdee ahoji Uwanja wa CCM Kirumba kukarabatiwa kwa fedha za umma
Mbunge Halima Mdee amehoji uamuzi wa Serikali kuwa na mpango wa kuuboresha Uwanja wa CCM Kirumba kwa fedha za umma licha ya kuwa Uwanja huo unamilikiwa na Chama Cha Mapinduzi...
Chama cha Marine LePen kimepata kupata karibu 30%, wakati upande wa chama cha Macron kimepata kura kwa karibu 15%.
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza kuvunja bunge la kitaifa na kutoa wito wa uchaguzi wa haraka Juni 30 na Julai 7.
Chama cha AfD cha Ujerumani kilipanda hadi nafasi ya...
Mwanzo
Tanzania ni nchi ya muungano wa kipekee duniani ambayo serikali yake inaundwa na mihimili mitatu yaani Serikali kuu, Bunge na Mahakama. Bunge kama chombo mhimu cha kutunga sheria na kuisimamia serikali ili kuleta tija na msitakabali mkubwa wa maendeleo ya nchi linapaswa kuwa ni sauti ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna wakati nilishuhudia kwa macho yangu Mwenyewe watu wakiacha na kusimamisha kazi ili wafuatilie mijadala ya Bunge, nilishuhudia watu wakiwa vikundi vikundi vibanda umiza wakiwa wanafuatilia kwa ukaribu sana bunge na kujuwa kabisa akitoka fulani kuchangia anafuata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.