Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameelekeza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi wa Jamii kuwaita na kuwahoji wakurugenzi wa mifuko ya hifadhi za jamii nchini kuhusu madai ya kuwataka wanufaika, kutakiwa kulipa fedha za michango ambazo waajiri wao hawakuilipa mifuko hiyo, ili waweze kupatiwa mafao...
Yani mtu umeacha mambo yako atleast ufuatilie bunge la bajeti lakini badala yake mbunge anachangia hoja, linatokea limbunge lingine linasema taarifa, mchangiaji anakaa chini spika anampa nafasi mtowa taarifa halafu taarifa yenyewe pumba tupu.
Hivi spika haoni kumkarisha mtu chini wakati alikuwa...
"Taasisi ya Usimamizi wa Barabara (TANROAD) imekuwa na mafanikio makubwa lakini zipo changamoto ambazo lazima tufanye mapinduzi. TANROAD kwa takribani miaka 20 wameshindwa kujenga Barabara ya Korogwe - Handeni - Kilosa - Mikumi (B127) inayounganisha Mkoa wa Tanga na Morogoro" - Mhe. Kwagilwa...
BUNGE LAPITISHA BAJETI WIZARA YA UJENZI KWA ASILIMIA 100
Kwa kauli moja Bunge limepitisha bajeti ya Wizara ya ujenzi ya Shilingi trilioni 1.77 kwa asilimia 100 ambayo inakwenda kutekeleza vipaumbele tisa kwenye miradi mbalimbali ikiwemo ujenzi wa barabara, madaraja, vivuko, mizani na...
Siwapendi wabunge hasa niwaonapo bungeni wakiongea. Sipendi kuliangalia bunge hilo kwa sababu halina baraka za wananchi. Walishiriki kuuza bandari zetu kwa DPWorld na wakatoa sifa Kede kede kwa wizi huo wa kimkataba.
Nadhani kama nchi naomba picha zao zichapishwe kwenye magazeti na kalenda...
kwa siku za hivi karibuni hadi Bunge linakatiwa matangazo ya moja kwa moja (live coverage) na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) na chombo hicho kujiunga na kuripoti matukio ya warsha, makongamano na ziara za Viongozi.
Kwa Mamlaka lililopewa Bunge katika Ibara ya 63 ya Katiba ya Jamhuri ya...
Waziri wa Ujenzi, Innocent L. Bashungwa (Mb) akiwasili katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma, ambapo atawasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ujenzi kwa Mwaka wa Fedha 2024/25, Leo tarehe 29 Mei 2024.
https://www.youtube.com/watch?v=k-4gMGsHRAk
SERIKALI YAIAGIZA TCRA KUFATILIA WANAOUZA VOCHA TOFAUTI NA BEI ELEKEZI
Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema Serikali imetoa maelekezo kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)...
SPIKA wa Bunge, Dkt. Tulia Akson ameisisitiza Wizara ya Ujenzi kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) kuhakikisha miradi yote ya barabara inayokamilia inapimwa ubora kwa kutumia vifaa maalum kabla ya Makandarasi kuikabidhi kwa serikali.
Dkt Tulia amesema hayo tarehe 27 Mei 2024 Bungeni Jijini...
Vijana ndio nguvu kazi ya taifa, hivyo kuna umuhimu mkubwa wa serikali kuhakikisha kuwa nguvu hiyo ndiyo inayohusiswa kwa 100% ili mipango ya nchi ikae sawia
Bunge la sasa si sawa na bunge la zamani. Bunge la miaka hiyo lilitazamwa sana na wazee huku vijana wa ovyo akiwamo mimi tulifuatilia...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa rasmi kutoka Congress
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau atahutumia bunge la Marekani Congress hivi karibuni.
Mungu ibariki Israel
Shalom,
Ifahamike kuwa ndani ya Bunge la Tanzania kuna wabunge wa Hovyo Sana ambao elimu za za darasa saba, na form 4 za hovyo tu.
Hawa wabunge kinara wao ni yule Mbunge mpumbavu ambae amenunua hadhi ya kitaaluma ambayo hana akijiita Dr.Musukuma huyu kiumbe ni mpumbavu sana na katika mazingira...
Mwishoni mwa wiki hii, Baraza la Vijana la Bunge la Tanzania likiongozwa na Zainab Katimba limezindua mpango wake wa kwanza wa mkakati wa miaka mitano (2024-2029). Baraza hili la vijana ni chombo cha kuwaunganisha vijana na kutoa fursa za kipekee kujadili masuala yanayowahusu moja kwa moja.
Ni...
Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini(ccm),Profesa Patrick Ndakidemi amewataka wabunge kutofumbia macho vitendo vya ushoga na usagaji vinavyoendelea kushika kasi nchini na kushauri bunge kutunga sheria Kali kwa wanaojihusisha na vitendo hivyo ikiwamo adhabu ya kunyonywa.
Profesa Ndakidemi ametoa...
Ninaangalia bunge live TBC ila viti vingi havina wabunge. Hii imekaaje? Mh. Naibu spika anauliza kama hoja imeungwa mkono na jibu ni ndiyo kwa idadi hii!!
Je, tunahitaji kubadili sheria ili vikao muhimu kama hivi vya kibajeti visifanyike kama asilimia zaidi ya 50 ya wabunge hawapo? Nini maoni yako?
Sijui kama Watanzania wengi wanajua kuwepo kwa vikao vya bunge la bajeti vinavyoendelea Dodoma. Yaani kuanzia mitaani, mitandaoni, redioni, Kwenye Luninga na magazeti hakuna habari wala mijadala mizito inayoibuliwa kutokea bungeni, yaani kumepoa balaa.
Mahudhurio ya wabunge ni hafifu mno...
Wewe kama mwana Jf unafahamu kwamba wabunge wapo bungeni kujadili bajeti ya nchi?
Tangu bunge lianze kujadili bajeti umefuatilia na kuona mjadala wowote wa kibajeti? Kwa namna mambo yanayokwenda kwanini tusiachane na mfumo wa kupeleka bajeti bungeni?
Nasema tuachane nao kwa sababu fedha nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.