bure

Buré is a commune in the Orne department in northwestern France.

View More On Wikipedia.org
  1. Tunatoa offer ya urembo wa nyumba kwa bei sawa na bure

    Njoo uchague sample ya urembo kwa offer ya pasaka na mwezi wa Ramadhani bei rahisi sana ,ni popote tanzania tunakufikia kwa.... Nguzo @ 50000 Dirisha@ 30000 Kona@40000 Arch@20000 Mkanda wa msingi@250000 Arch ya dining@ 150000 Piga 0747618315 WhatsApp 0719999526
  2. M

    Wabunge Kushangilia Bungeni kupewa Futari ya bure na CRDB je, kwa wenye Akili Watanzania wote tunaonekana vipi?

    CRDB mnatoaje Futari ya bure kwa Wabunge ambao tayari wana Posho ya zaidi ya Shilingi 350,000/= kwa Siku badala ya Kusaidia Makundi ya Watu wengi wenye Mahitaji hasa kwa Kipindi hiki na hata katika Maisha yao ya Kiujumla? Kilichonishangaza zaidi ni Kitendo cha Wabunge kutangaziwa na Spika wa...
  3. Msiwe mnaumizana bure bila sababu wakati wa kujamiiana

    What is the refractory period? Reviewed by the medical professionals of the ISSM’s Communication Committee After orgasm, both men and women experience a resolution stage called the refractory period. At this time, their bodies “recover” from sexual excitement and return to their normal states...
  4. B

    Kupinga Katiba Mpya sasa ni kujipalia Makaa bure

    Mijini wanasema kusoma hujui, hata kuangalia picha nako? Nini kilichojificha kwani? Watu wanataka katiba mpya. TWAWEZA 2017 hawa hapa: TWAWEZA: Katika Watanzania watatu, Wawili wanataka Katiba Mpya Msimamo wa CUF, NCCR na CHADEMA unajulikana. Katiba mpya ni sasa. Kwa msimamo huu: Ndani ya...
  5. S

    Ushauri wa bure kwa Mbowe: Jipange, 2025 ni wakati wako

    Kamanda Freeman Aikael Mbowe tayari una-stronghold mbili za kisiasa: Kaskazini na Nyanda za juu Kusini. Kanda ya ziwa ka-boost kidogo Mama kashalegea. Pwani hawaeleweki. Wewe kwa sasa ni above 60 na umekomaa na kuiva haswa kwenye siasa za mapambano na uongozi. Kuna options mbili: Either CCM...
  6. Makonda angefanya haya kumalizana na GSM, ni darasa la bure kwa watu wote

    Sakata la mgogoro wa ardhi kati ya RC wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda na mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed (GSM) bado halijafika mwisho, licha ya ukimya wa siku kadhaa lakini sakata hilo bado lipo na halijafikia tamati. Makonda analalamika kuwa amedhulumiwa eneo na mjengo wake eneo...
  7. NAFUMUA MSHONO: Simu za iPhone ni mdebwedo, wanaozitumia ni watu wa kufuata mkumbo bila reasoning. Simu za Android ndio mpango mzima!

    siongei sana, wacha tunyoke moja kwa moja kwenye hizi points zaidi ya 20 Bei ya iphone ipo juu kwasababu haitaki ushindani Iphone ni kama unaposafiri safari ndefu kwa basi, huwa kuna ile migahawa ipo highway sehemu ambazo hakuna makazi, bei ya "robo sahani" ya chipsi na vimishkaki vidogo ni...
  8. Ndugulile aitaka Serikali kuondoa Tozo za Daraja la Nyerere (Kigamboni)

    Wakuu hi tozo ikiondolewa wakazi wa Kigamboni itawapunguzia Sana Ukali wa Maisha. Mbunge wa Kigamboni Dkt. Faustine Ndugulile (Mb) ameitaka Serikali kuondoa tozo za Daraja la Nyerere lililopo Kigamboni na badala yake Serikali ibebe mzigo wa deni la mkopo wa NSSF. Ndugulile ameyasema haya leo...
  9. Unamhonga pesa mzigo hakupi, halafu kuna boya mmoja anamtafuna bure

    Hellow wakuu, Hawa wanawake hawa wanatuchezea sana akili, unamtongoza anaanza kula pesa zako mzigo hakupi, au anaweza kukupa mara moja kisha akakupiga parefu kymbe wakati huo kuna boya mmoja anamkamua bure kabisa bila kumpa chochote, Basi ALLAN ROGER CURRIE anakuletea suluhisho ktk kitabu...
  10. R

    Wapi nitapata maeneo ya BURE nipande miti?

    Habari Wakuu. Tangu utotoni nimekuwa na hobby ya kupanda miti. Natafuta maeneo mikoa ya Arusha, Kilimanjaro,Manyara,Dodoma na Singida ambayo nitayapata bila kulipia niweze kupanda miti. Natumaini hili litasaidia pia katika jitihada za ulimwengu za kupunguza hewa ukaa (CO2). Mwenye kujua...
  11. Mbowe: Niruhusuni kunyamaza

    Mh Mbowe amesema anaomba watu wamruhusu kunyamaza kwanza kwa kipindi hiki atakapo kuwa tayari atazungumza na taifa na watanzania kwa ujumla! My opinion Mbowe hawatendei haki wafuasi wake na watanzania ambao walimuombea usiku na mchana leo hii anawataka wampe muda wa kunyamaza? Mbowe alitakiwa...
  12. Huduma ya polisi ku-trace simu ni hisani, kiofisi au bure?

    Kuna hii huduma ya ku trace simu hutolewa na polisi wapelelezi. Kama umepoteza simu au unamtafuta mtu fulani namba yake inakiwa traced kujua yupo wapi. Utaratibu wa utoaji wa hii huduma umekaa kiwizi wizi sana. Hakuna utaratibu rasmi wa kiserikali. Ni kama mradi wa mtu binafsi au wa serikali...
  13. M

    Serikali: Hatujalipa kuweka tangazo jengo la Burj Khalifa lililopo Dubai

    Msemaji wa Serikali kupitia ukurasa wake wa Twitter amesema haya.. Serikali HAIJALIPIA kuweka tangazo la Tanzania katika jengo refu kuliko yote Duniani liitwalo Burj Khalifa lililopo katika Jiji la Dubai. Tangazo hilo limewekwa kwa lengo la kuitangaza Tanzania kutokana na uhusiano mzuri uliopo...
  14. Hongereni Tanesco kutuletea Smart Meters, lakini mtatuunganishia bure ili kubadili zilizopo au tutalipia?

    Hii habari ni faraja kubwa kwa watumiaji wa umeme maana sasa habari za kulala giza kidogo au kwa sana zitapungua maana hata ukiwa Songea safarini utaweza kununua umeme na kuwasha nyumba iliyopo Mwanza. Maana hakutakuwa na haja za kuingiza tokeni ili kuwasha umeme. Lakini je, hizi mita...
  15. I

    INAUZWA kitanda na meza ya kioo vinauzwa bei sawa na bure.

    kitanda na meza vinauzwa bado vipo kwenye hali nzuri. Nauza vyote kwa pamoja bei sawa na bure tsh 160000 . kwa atakae hitaji kitanda tu 120000 meza tu 60000. vipo dar mbagala sabasaba . 0657 623266 0694185384
  16. Serikali yayafungulia magazeti ya MwanaHALISI, Tanzania Daima na Mseto

    Waziri wa Habari na Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, leo Alhamisi amesema atatoa leseni za kuanza kuchapishwa kwa magazeti ya MwanaHALISI, Tanzania Daima, Mseto na Mawio “Kifungo kimetosha. Kikubwa kazi iendelee,” amesema Nape. "Agizo la Rais ni Sheria,leo nitatoa leseni kwa...
  17. Tuambieni DSTV, chaneli za ndani ni bure?

    Baada kutangazwa na waziri Nape kuwa chanel za ndani zinarudishwa DSTV . Je, kifurushi kikiisha zinabaki au zinafuta mpaka uweke kifurushi tena? Kwa walio na DSTV tujuzeni.
  18. Mama zetu huu ni ushauri wa bure kwenu, ni vyema kuuzingatia

    Habari za mida hii ndg wanaJF..... Naandika uzi huu kwa uchungu kiasi maake Dada zetu wanaliwa kihasara na mchango mkubwa ni mama zao. Kivipi? Waliosema muache mtoto atafute mchumba wa kumuoa na ampendaye hawakukosea... Unakuta mama mzazi Wa binti anazunguka kumtafutia mwanaume binti ili...
  19. M

    Kutokana na mwenendo mbaya wa Simba SC ufuatao ni ushauri wa bure kwao

    1. Mtimueni upesi Kocha Mkuu Franco, Msaidizi wake Matola na Meneja Rweymamu. 2. Mpeni Kazi kwa Kipindi hiki Kocha Ndayiragije kisha asaidiwe na ama Pawasa au Mgosi kisha Meneja awe ni Nico Nyagawa. 3. Wachezaji watafutiwe haraka Mwanasaikolojia na nampendekeza awe ni mwana Simba SC Chris...
  20. Sera ya Elimu Bure ni mtaji wa kisiasa unaopunguza uwajibikaji kwa wananchi

    Mambo vipi, Moja kwa moja kwenye mada. Juzi nikiwa kwenye daladala nikasikia watu wakilaumu Serikali kwamba ''Heri Magufuli alivyo kuwepo, saivi watoto wametakiwa kulipa michango ya kama 22k shuleni'', sikuweza kuchangia neno lakin niliwaza sana, Seriously! mchango kama huo kwa mwaka kwaajili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…