burundi

Burundi ( (listen), ), officially the Republic of Burundi (Kirundi: Republika y'Uburundi, [u.βu.ɾǔː.ndi]; French: République du Burundi, [buʁundi] or [byʁyndi]), is a landlocked country in the Great Rift Valley where the African Great Lakes region and East Africa converge. It is bordered by Rwanda to the north, Tanzania to the east and southeast, and the Democratic Republic of the Congo to the west; Lake Tanganyika lies along its southwestern border. The capital is Bujumbura.The Twa, Hutu and Tutsi peoples have lived in Burundi for at least 500 years. For more than 200 of those years, Burundi was an independent kingdom, until the beginning of the 20th century, when Germany colonised the region. After the First World War and Germany's defeat, it ceded the territory to Belgium. Both Germans and Belgians ruled Burundi and Rwanda as a European colony known as Ruanda-Urundi. Despite common misconceptions, Burundi and Rwanda had never been under common rule until the time of European colonisation.
Burundi gained independence in 1962 and initially had a monarchy, but a series of assassinations, coups and a general climate of regional instability culminated in the establishment of a republic and one-party state in 1966. Bouts of ethnic cleansing and ultimately two civil wars and genocides during the 1970s and again in the 1990s left the economy undeveloped and the population as one of the world's poorest.
The presidents of Rwanda and Burundi, both Hutus, died together when their aeroplane was shot down in April 1994. 2015 witnessed large-scale political strife as President Pierre Nkurunziza opted to run for a third term in office, a coup attempt failed and the country's parliamentary and presidential elections were broadly criticised by members of the international community.
The sovereign state of Burundi's political system is that of a presidential representative democratic republic based upon a multi-party state. The President of Burundi is the head of state and head of government. There are currently 21 registered parties in Burundi. On 13 March 1992, Tutsi coup leader Pierre Buyoya established a constitution, which provided for a multi-party political process and reflected multi-party competition. Six years later, on 6 June 1998, the constitution was changed, broadening National Assembly's seats and making provisions for two vice-presidents. Because of the Arusha Accord, Burundi enacted a transitional government in 2000. In October 2016, Burundi informed the UN of its intention to withdraw from the International Criminal Court.Burundi remains primarily a rural society, with just 13.4% of the population living in urban areas in 2019. The population density of around 315 people per square kilometre (753 per sq mi) is the second highest in Sub-Saharan Africa. Roughly 85% of the population are of Hutu ethnic origin, 15% are Tutsi, and fewer than 1% are indigenous Twa. The official languages of Burundi are Kirundi, French and English, Kirundi being recognised officially as the sole national language.One of the smallest countries in Africa, Burundi has an equatorial climate. Burundi is a part of the Albertine Rift, the western extension of the East African Rift. The country lies on a rolling plateau in the centre of Africa. The highest peak, Mount Heha at 2,685 m (8,810 ft), lies to the southeast of the largest city, Bujumbura. The most distant source of the River Nile is the Ruvyironza River in the Bururi Province of Burundi, the Nile is linked from Lake Victoria to its headwaters via the Kagera River to the Ruvyironza River. Another major lake is Lake Tanganyika, located in much of Burundi's southwestern corner. There are two national parks, Kibira National Park to the northwest (a small region of rain forest, adjacent to Nyungwe Forest National Park in Rwanda), and Ruvubu National Park to the northeast (along the Rurubu River, also known as Ruvubu or Ruvuvu). Both were established in 1982 to conserve wildlife populations. Burundi's lands are mostly agricultural or pasture.
Settlement by rural populations has led to deforestation, soil erosion and habitat loss. Deforestation of the entire country is almost completely due to overpopulation, with a mere 600 km2 (230 sq mi) remaining and an ongoing loss of about 9% per annum. In addition to poverty, Burundians often have to deal with corruption, weak infrastructure, poor access to health and education services, and hunger. Burundi is densely populated and has had substantial emigration as young people seek opportunities elsewhere. The World Happiness Report 2018 ranked Burundi as the world's least happy nation with a rank of 156.

View More On Wikipedia.org
  1. Gavana wa Benki Kuu ya Burundi akamatwa kwa tuhuma za Ufisadi na Utakatishaji Fedha

    Wizara ya Sheria imethibitisha kukamatwa kwa Dieudonne Murengerantwari ikiwa ni siku chache tangu afukuzwe kazi Oktoba 8, 2023 akidaiwa Kudhoofisha Uchumi wa Taifa hilo, Kujihusisha na Rushwa, Utakatishaji Fedha na Ubadhirifu wa Mali za Umma. Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jenerali Leonard...
  2. Tabora, Kigoma na Burundi - tupaze sauti kwa Mama Samia - tupate Barabara ya Mambali (Tabora) kuja Kakonko (Kigoma)

    Salaam! Tukipata barabara mpya ya Kakonko hadi Mambali (Uyui) tutaokoa muda wa kusafiri, fedha na uhovu. Kwa kuwa tunapozungukia Kahama - Nzega - Tabora tunasafiri zaidi ya 400kms. Lkn pia tunapozungukia uvinza to Tabora tunasafiri takribani 413kms. Endapo Mama Samia atakubali na kusikia...
  3. Rais wa Burundi alaani uvumi wa Mapinduzi

    Rais wa Burundi, Évariste Ndayishimiye ametoa kauli hiyo mara baada ya kurejea nyumbani akitokea katika ziara Nchini Cuba na kwenye Mkutano wa Umoja wa Mataifa (UN) Jijini New York, Marekani. Tangu alipoondika Burundi, Septemba 10, 2023 kuliibuka tetesi hizo kwenye mitandao ya kijamii huku...
  4. Kenya kuondoa Visa kwa wageni inaweza kuwa na athari gani kwa usalama wa majirani zake?

    Je, Kenya imeweza kutambua kwamba suala hili linaweza kuwa na matokeo tofauti kulingana na walafi wa rasilimali za Afrika na jinsi sera hiyo inavyotekelezwa na serikali inavyoshughulikia masuala ya usalama wa mipaka? Je, Kenya imejiridhisha juu ya Kuingia kwa watu wanaotaka kufanya...
  5. Kwanini Wazanzibari wengi wanachukia asili yao ya asili ya Congo na Burundi wanaprefer kuonekana waarabu ilhali waarabu wanawakataa?

    Hivi kwanini wazanzibari wanaprefer kuwa part of waarabu….hivi kweli wakijiangalia kwenye kioo wanajiona ni waarabu? Wanzibar hukataa asili zao za Congo Mashariki, Burundi, Kigoma, n.k. wanaukataa Uafrika na kujiita waarabu wakati hata waarabu wenyewe huwabagua huko uarabuni na hata hapa kwetu...
  6. Serikali ya Burundi yakifungia Chama Kikuu cha Upinzani

    Wizara ya Mambo ya Ndani imesema uamuzi huo dhidi ya National Freedom Council (CNL)umetokana na malalamiko yaliyowasilishwa na viongozi 8 wa chama hicho, waliodai kufukuzwa ndani ya chama baada ya kumpinga Rais wa chama . Katibu Mkuu wa chama, Simon Bizimungu, amepinga uamuzi huo na kuuelezea...
  7. Majambazi ya Burundi ni habari nyingine

    Kwanza hawa jamaa huwa hayavunji milango kuiba tv, hawafanyi huo utopolo. Show zao huwa yanaiba maduka Hadi 30 kwa wakati mmoja, yanafunga mitaa kadhaa. Ukishindwa kuwapa wanachotaka yatakumaliza na ukiwa yatakumaliza. Yakifanya mauaji yatahakikisha hata msibani kwako watu washindwe kukuaga...
  8. Makamu wa Rais na ziara za mara kwa mara nchini Burundi

    Leo Makamu wa Rais, Philip Mpango ametua Bujumbura, Burundi. Tangu kuteuliwa kwake, Makamu wa Rais ameshaenda Burundi zaidi ya mara mbili. Kulikoni ziara hizi za mara kwa mara nchini huko kunani?
  9. Wafanyabiashara kama mnaona Kodi Kubwa Mhamie Burundi

    Wasitutishe, wasitubabaishe. Lazima kuwe na tozo na kodi mbalimbali. Haya ma vieti mnadhani ni mengi hivi sababu wajapan wanatupa bure? Mnadhani yanatumia maji? Au yanatumia upepo? Burundi nadhani maisha ya kule ni rahisi zaidi kwa mujibu wa Mwigulu Nchemba. Wanasiasa walio empty kichwani...
  10. SoC03 Jinsi Fursa nchini Burundi zinazoweza kubadili maisha na kuongeza kipato chako

    UTANGULIZI Habari za muda huu wanajamvi,Kila mtu anahistoria yake katika safari ya utafutaji wa riziki,Wapo wenye historia za kusikitisha,kufurahisha na kuelimisha. Mwaka 2019 wakati dunia imekumbwa na mlipuko wa uviko 19,Na kupelekea kazi,Masomo na Shughuli mbalimbali kusimama.Nilipata...
  11. Ni muda sasa wa Tanzania kuungna na Burundi

    Hili taifa linaumuhimu kama tukilileta sehemu yetu na kulimeza Tutafaidika Kiusalama upande wa magharibi Ki uchumi kutokana na idadi yao ya watu Pamoja na mengne Taifa hilo liitwe Tanzabunia
  12. Mradi unaojengwa Mpaka wa Tanzania na Burundi utakuwa na kituo kimoja ‘One border stop Project’

    Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Kabingo-Kibondo-Kasulu-Manyovu wenye urefu wa Kilometa 260.6 unaoanzia Mpakani mwa Tanzania na Burundi upo katika hatua mbalimbali za ujenzi. Akielezea maendeleo ya mradi huo akianzia na eneo la Mpakani, Mhandisi Ngoko Mirumbe ambaye ni Kaimu Meneja wa TANROADS...
  13. Serikali Imetangaza Tenda ya Ujenzi wa Reli ya Kuunganisha Tanzania na Burundi

    Serikali Kupitia Wizara ya ujenzi imetangaza tenda ya ujenzi wa Kipande cha reli Kati ya Uvinza-Musongati-Gitega ambayo inaunganisha Nchi za Tanzania na Burundi. Kipande Cha mwisho Cha Sgr ya kati kilichosalia ni Kaliua-Mpanda-Karema Port. Hongera sana Awamu ya 6 kazi inapigwa kweli kweli...
  14. Jeshi la Burundi laichakaza M23

    Kwa muda wa majuma matatu tu, imetosha Kwa majeshi ya kikanda kundi la Burundi kuwakimbiza M23. Ikiwa Awali kundi la Kenya lilianza na kuendesha operation katika maeneo kadhaa kabla ya lile la Burundi kuwasili mnamo March5 2023. Baada ya kuwasili Kwa vikosi vya Burundi na kuanza operation Sasa...
  15. Bila shaka nchi ya Tanzania ina kinga kali sana

    Kinga iliyonayo nchi ya Tanzania dhidi ya Majanga ni kali sana, hakuna nchi ya kulinganisha nayo hapa Afrika mashariki. Haijalishi janga liwe limetokea kiasili au limesababishwa na mwanadamu, nchi yetu kwa kutumia kingo za mipaka yake imetukinga sisi watoto wake. Ukipitia twakimu kwa miaka...
  16. Burundi: Watu 24 washtakiwa kwa kujihusisha na mapenzi ya Jinsia moja

    Watu hao wakiwemo Wanaume 17 na Wanawake 7 walikamatwa na Polisi Februari 23, 2023 wakiwa katika Semina iliyoandaliwa na MUCO Burundi, Taasisi Isiyo ya Kiserikali inayojihusisha na Masuala ya Utoaji Elimu ya VVU/UKIMWI Kwa mujibu wa Taarifa ya Polisi, baada ya upekuzi waliwakuta Watuhumiwa hao...
  17. Angalizo: Deni la taifa likifika Trillion 200, nahamia Burundi rasmi

    Kwakweli sitakuwa tayari kulipa deni kubwa kama hilo wakati halijanisaidia mimi wala taifa langu kwa namna yoyote ile. Natoa mifano michache; 1) Unapokopa chanjo za mafua za Trillion 2, halafu wanachoma watu 100 tu, faida yake hasa kwangu binafsi na kwa taifa ni lipi kiasi tukamuliwe tozo za...
  18. Burundi yatuma kikosi cha waokoaji Uturuki, nimejifunza kutoa ni moyo

    Moja ya mawaziri wanaoamliwa mambo ya wizara na makatibu wa Ikulu ni huyu mama kule jeshini walisema ni mpole sana huku zamani tuliambiwa Wizara ya Ulinzi inafaa wapole. Kule SADC nguvu ya Kabudi ndio ilimbeba alipotoka mama Tax abakia mweupe kabisa, ishu za peace keepers nje ya nchi na hasa...
  19. Inakuwaje Mwigulu anawadharau na kuwaona Watanzania wajinga? Alituambia tuhamie Burundi sasa hivi anadai tujadili uganga

    Huyu mtu anadharau sana na ana tuona watanzania ni wajinga. Fikiria kipindi kile anatengeze tozo kandamizi kwa raia wasiojiweza alisema kwa dharau tuhamie burundi. Leo hii mfumuko wa bei upo juu na watu wanakula mlo mmoja yeye anadai eti tujadili uganga. Maana yeye ni mchumi pekee hapa...
  20. Nini kimefanya Rwanda na Burundi kuwa na watu wengi namna hii?

    Rwanda inaeneo la kilomita za eneo 26,000 na inawatu 13m. Burundi inaeneo la 27,000. na ina watu 12m. Jumla ya watu wa nchi hizi mbili ni 25m kwenye eneo la km za eneo 53,000. Tanzania yenye ukubwa wa 945,000 ina watu milioni 60. Tanzania ni kubwa kama mara kumi na nane ya ukubwa wa nchi hizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…