caf champions league

The CAF Champions League, known for sponsorship reasons as the TotalEnergies CAF Champions League and formerly the African Cup of Champions Clubs, is an annual club football competition organized by the Confederation of African Football and contested by top-division African clubs, deciding the competition winners through a round robin group stage to qualify for a double-legged knockout stage, and then a single leg final. It is one of the most prestigious football tournaments in the world and the most prestigious club competition in African football.
The winner of the tournament earns a berth for the FIFA Club World Cup, a tournament contested between the champion clubs from all six continental confederations, and also faces the winner of the CAF Confederation Cup in the following season's CAF Super Cup. Clubs that finish as runners-up their national leagues, having not qualified for the Champions League, are eligible for the second-tier CAF Confederation Cup.
Egyptian clubs have the highest number of victories (16 titles), followed by Morocco with 7. Morocco, Egypt, Tunisia and Algeria have the largest number of winning teams, with three clubs from each having won the title. The competition has been won by 26 clubs, 12 of which have won it more than once. Al Ahly is the most successful club in the competition's history, having won the tournament a record 10 times. Wydad Casablanca are the current defending champions, having beaten Al Ahly by two goals to nil in the 2022 final.

View More On Wikipedia.org
  1. Yanga Imekuwa Gumzo Afrika

    Klabu Ya Yanga SC imeendelea kuzungumza kwa namna tofauti katika ushiriki wake wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika. Hii inatokea kwa sababu ya ushindani wake ambao wameuonyesha katika misimu miwili iliyopita. Kesho ndiyo siku ya makundi kufahamu Yanga atapangwa na nani katika hatua ya makundi...
  2. Simba na Yanga kujua wapinzani wao kwenye makundi katika draw ya October 7, 2024

    Draw ya group stage CAF Champions league na Confederation cup ni tar 7 October. Kila la kheri Simba na Yanga https://www.instagram.com/p/DAO9o1wM3K5/?utm_source=ig_embed&ig_rid=efe7b6f8-a056-4a0f-b130-f9cf100859e6&ig_mid=FB4546D4-2091-437A-A6A7-7AFA15166059...
  3. GSM azuiliwe kudhamini timu zinazo shikiriki CAF Champions League

    Mimi Jemedari wa mchongo naumia sana kuona GSM ananunua game. Jambo hili linaharibu ladha ya ligi. GSM aliinunua Simba akaikanda 5, Azam 4, Vital'O 10, CBE 7. Tafadhali huyu adhibitiwe. Leo nasikia kanunua game ili Simba ipelekewe moto na Al Ahly Tripoli. Kibaya zaidi kila nikimpigia simu...
  4. Alichoandika George Ambangile YOUNG AFRICANS 6-0 CBE (7-0)Agg

    ANAANDIKA MCHAMBUZI,GEORGE AMBANGILE. . . ✍🏻Yanga wamecheza hii mechi utasema vile mechi ya mkondo wa kwanza alifungwa 1: Sharp wakiwa na mpira na bila mpira 2: Aggressive ( matumizi ya nguvu katika sehemu sahihi ) 3: Kushinda mipambano yao ( win duels ) 4: Recovery runs + Counter...
  5. Hiki hapa kikosi cha Yanga SC kitakacho peleka kilio kwa CBE SA. Klabu Bingwa Afrika pale visiwani Zanzibar

    Leo naona hakutokuwa na mabadiliko makubwa sana katika mchezo wa ligi ya Mabingwa Afrika kati ya wanyeji Yanga SC dhidi ya wageni wao CBE SA ya Ethopia. Mchezo huu utachezwa katika dimba la New Amaan Complex pale visiwani Zanzibar. Sasa kikosi changu ninachokiona kitakacho anza leo ni kama...
  6. FT: Young Africans SC 6-0 CBE SA | CAFCL | 2nd Preliminary round | 2nd Leg | Amani Stadium | 21-09-204

    Match Day CAF Champion League Young Africans SC VS CBE SA 2nd Preliminary round 2nd Leg Stadium: New Amani Stadium Zanzibar Date: 21-09-204 Time 8:30pm EAT Soma Pia: FT: CBE SA 0-1 Yanga SC |CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Abebe Bikila Stadium | 14.09.2024...
  7. K

    WasiWasi Watanda Juu ya Yanga Kushindwa Kuujaza Uwanja Wa Amani Zanzibar

    Baada ya Timu ya Yanga kukimbilia Uwanja Wa Amani Stadium Zanzibar, wasiwasi mkubwa umetanda kuwa hata Baada ya kufanya uamuzi huo Upo uwezekano mkubwa Uwanja huo Usijae..! Yanga itajitupa uwanjani hapo siku ya tarehe 21/9/2024 kupapatuana na timu ngeni kabisa kutoka Ethiopia, timu ambayo...
  8. Kwanini Yanga huwa wanapangiwa timu dhaifu na mbovu?

    Hapo vip!! Za ndanii yanga kwa kumtumia Engineer na nafasi yake aliyokuwa nayo huko CAF nasikia anaenda kuhonga na kuomba wapangiwe timu mbovu na dhaifu. 1. Vital O wale ni wakimbizi hata uwanja hawana maskini,image wamecheza na Pamba wakafungwa,ni timu ambayo kwa ubora haitatofauti na Mbeya...
  9. Nikimwangalia Mutale namwona Saido, ni kama "chumvi" na "mkubwa jiko", Balua ni wa "ligi kuu" tu anga za kimataifa zinampwaya

    Tokea mechi ya kwanza Mutale anacheza akiwa na jezi ya Simba dhidi ya APR ni wazi alionekana ni mbadala halisi wa SAIDO,,, yaani wanafanana kila kitu wanachokifanya uwanjani.. Akiwa na mpira analazimisha kukaa nao bila sababu za msingi wakati kuna nafasi za kuwapa wenzake. Utakuta kuna...
  10. FT: Gor Mahia 0-3 Al Ahly | CAF Champions League Qualification | Nyayo National Stadium | 15.09.2024

    Ni kipindi cha kwanza, Gor Mahia yupo nyumbani mpaka sasa ameshalowa goli mbili, game ni tamu ipo mubashara Azam sports 2HD
  11. Pyramid yaponea chupuchupu kupoteza mechi dhidi ya APR, ashukuriwe Mayele

    Kama sio Mayele leo mwarabu alikuwa anapigika kigali Kweli mpira unamaajabu yake wakati huo Azam akitoa sare na Pamba jiji futi boli inamaajabu sana
  12. CAFCL | Kikosi cha Yanga SC kinachoanza dhidi ya CBE SA FC

    Kikosi cha Yanga SC kitashuka uwanjani kupambana na CBE SA FC katika mechi ya mkondo wa kwanza wa raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League 2024/2025) leo, Jumamosi, Septemba 14, 2024. Mchezo huu utaanza kuanzia Saa 9:00 alasiri. Macho ya Watanzania yataelekezwa jijini...
  13. FT: CBE SA 0-1 Yanga SC |CAF CL | Second preliminary round Leg 1 of 2 | Abebe Bikila Stadium | 14.09.2024

    πŸ”°πŒπ€π“π‚π‡πƒπ€π˜πŸ”° πŸ† #CAFCL ⚽️ Cbe SA πŸ†š Yanga SC πŸ“† 14.09.2024 🏟 Abebe Bikila Stadium πŸ•– 15:00 Alasiri Kikosi kinachoanza dhidi ya CBE SA FC mpira umeanza dakika ya 2 dube anakosa nafasi ya wazi dakika ya 15 pacome anafanya mashambulizi dakika ya 25 0-0 dakika ya 29 cbe wanakosa nafasi ya wazi...
  14. Natamani Young Africans Achukue CAF Champions League Na Simba SC Achukue CAF Confederation Cup 24/25

    Habari wapenzi wa soccer. Young Africans yupo kwenye mashindano makubwa ya CAF Champions League 2024/2025 na Simba Sc yupo kwenye mashindano ya CAF Confederation Cup 2024/2025. Natamani kila mmoja ashinde kwenye mashindano ambayo yupo yaani Young Africans awe bingwa wa CAF Champions League...
  15. Simba Queens yachabangwa goli 2-0 dhidi ya Kawempe Muslim mbele ya Karia

    Huku Simba Queens wakiendeleza mpira wao wa papatu papatu hadi kufikia dakika ya 80 ya mchezo bado kawempe Muslim wameendelea kushika uongozi wa kuwania nafasi ya tatu. Simba Queens ambayo inaendeleza ubaya ubwela ugenini wameamua kulivua taifa nguo na kukimbia nazo kwa kufungwa kiholela kama...
  16. Azam walijivunja, APR ni aibu kwa Pyramids ingekuwa fedheha

    Heri nusu shari kuliko shari kamili. Ni hesabu tu za MAGAZIJUTO (BDMAS) na mlinganyo (algebra); Kama kwa APR ni hivi kwa Pyramids na Mayele itakuwaje?. Ukishalipata jibu lake unafuata ujivunjaji ili kukiepuka kikombe na kuganga yajayo.
  17. CAF wazuia uwanja wa Amaan Complex kutumika kwenye mchezo wa Yanga SC wa klabu bingwa barani Afrika

    CAF wazuia uwanja wa Amaan Complex kutumika kwenye mchezo wa Yanga SC wa klabu bingwa barani Afrika. "Moja kati ya vigezo vya uwanja sio tu sehemu ya kuchezea au ubora ila ni pamoja na umbali wa viti kutoka kimoja hadi kingine, kwa uwanja wa Amaan umekosa ivyo vigezo uwanja kama wa Azam Complex...
  18. Simba Queens Yakosa Kufuzu CAF WCL, Yabamizwa 3-2

    Klabu ya Simba Queens yashindwa kufuza Mashindano ya Klabu Bingwa Afrika mara baada ya kuondolewa hatua ya Nusu fainali kwenye michuano ya CECAFA hatua ya Nusu Fainali baada ya kufungwa na Kenya Police Bullets. FT' | Simba Queens 2 - 3 Kenya Police Bullets.
  19. Michuano ya Kimataifa wawili washanyolewa bado mmoja yupo njiani, na atabaki mmoja anayejielewa

    Siku zote mpira unachezwa hadharani na sio propaganda uchwara, ukipanda mahindi utavuna mahindi na sio bangi, ukiwekeza kwenye mpira utalipwa sawasawa na ulivyowekeza. Tumeona timu 4 zinashiriki mashindano ya kimataifa msimu huu na tayari timu 2 zimeshayaaga mashindano rasmi, zimebaki timu 2...
  20. Baada ya Azam kuondolewa CAFC, kituo kinachofwata msimbazi Simba mjiandae

    Sio kwania mbaya ama nawatisha vizuri mkawa sawa kisaikolojia. Baada ya Azam FC kutupwa nje na APR ya Rwanda katika mashindao ya CAF Champions ligi . Wanaofwata ni Simba SC katika kombe la Shirikisho la Afrika Mashabiki mjiandae kisaikolojia. Soma Pia: FT: CAFCL | APR 2-0 AZAM FC |...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…