Ripoti za CAG na TAKUKURU zilizowasilishwa mbele ya Rais Mapema leo Machi 29, 2023 zimeonyesha ufisadi mkubwa katika Mashirika Makubwa ya TRC, ATCL na TANESCO, Mhe Rais amesema waondoke swali je mnasubiri nini?
ATCL
“Kuna mradi hapa tumetengeneza Ndege ya mizigo ambayo tunakaribia kuipokea...
Nimemkumbuka Mzee wetu Prof Assad. Nimekumbuka alivyoondolewa madarakani kwa mabavu, nimekumbuka ile IST yake siku anaondoka ofisini.
Nimekumbuka pia kwamba RIPOTI YA CAG ilikuwa inaogopwa na Serikali na kupingwa vikali. Nimekumbuka wapinzani kuishi kama digidigi pale wanapojaribu kujadili yale...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea ripoti ya taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na TAKUKURU kwa mwaka 2021/2022 leo Machi 29, 2023 Ikulu ya Magogoni, Dar es salaam.
CP. Salum R. Hamduni, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia...
air tanzania
cag
charles kichere
fedha za umma
matumizi mabaya
matumizi mabaya ya fedha
ngorongoro
rais samia
ripoti ya cag
ripoti ya cag 2021-2022
takukuru
ufisadi
Kama kuna siku Mheshimiwa Rais ameongea kwa uchungu sana ni leo. Ni wazi kuwa Waziri Mkuu na wizara hazimsaidii kabisa wako busy tu kupiga hela kwenye miradi mikubwa makubwa haya Kodi ya zuio ilipwe hata hawa JKT walipe
Mashirika yote yalipe hila exception Deni la serikali - tunakopa kwa...
Kiukweli hali kama ndio hii basi inatisha kwa sababu kila kona ni Upigaji yaani plea bargaining ni cha mtoto
Mchungaji Msigwa unapendekeza nini kifanyike sasa?
Ramadhan kareem!
cc: Mchungaji Msigwa Chadema
Wakati bado wananchi wakiwa kwenye sintofahamu ya nini kilitokea kwenye utaratibu wa kumaliza kesi za uhujumu uchumi uliotumika na Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Hayati Rais Magufuli, swali jipya linaibuka zikiwa zimebaki siku chache mwezi Machi 2023 kumalizika na hakuna taarifa yoyote...
Mwaka wa fedha 2020/21
Taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) kuhusu ukaguzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2020/21 zinaonesha kuimarika ikiwa ni kielelezo kuimarika kwa usimamizi wa fedha katika ngazi hiyo.
Halmashauri zilizopata Hati...
Ilitakiwa angalau masaa kadhaa kuwa muda maalumu ya kukumbuka kifo cha JPM
Wafanya kazi Karibu sector zote wapo mapumzikoni na ingawa wapo maofsini!
Wamefanya mgomo wa chini chini!
Binafsi kiwanda changu nimepiga marufuku wafanya kazi kuingia kazini! Mimi nikaenda kazini kwa unyonge...
Mwigulu Nchemba amesema Bungeni kuwa madai ya Kampuni ya Symbion kulipwa bilioni 350 sio ya kweli. Sasa tunajiuliza nani muongo, Mwigulu au CAG kuhusu suala la Symbion?
By Luqman Maloto
RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kwa mwaka wa fedha 2020-2021, imehitimisha awamu ya Dk John Magufuli. Ukaguzi ujao utaanza kummulika Rais Samia Suluhu Hassan.
Taifa lilitangaziwa kifo cha Magufuli Machi 17, 2021. Kipindi ambacho bajeti ya...
Jana bungeni Mbunge wa Kisesa Ndg Mpina alisema, serikali imetumia pesa nyingi nje ya bajeti akaongelea malipo ya Symbion zaidi ya Dollar 350,000
Mwigulu akamjibu kuwa serikali ilitumia 86,000,000,000/ kutoa mikopo kwa wanafunzi 29,000 ambao hawakuwa na mikopo ya chuo kikuu.
Serikali ilitoa...
Wapo watu ambao wanaamini kwamba mahakamani huwa hakuna haki bali kuna sheria pekee. Kwa kiasi kikubwa huwa ninakubaliana nao.
Kazi za mahakama ni kutafisiri sheria. Katiba ndiyo sheria mama au kwa jina jingine sheria kiongozi. Ni dhahiri kuwa kama sheria (na Katiba) tulizozitunga wenyewe...
Ameandika Zitto katika ukurasa wake wa Twitter
Nimefarijika kuwa leo tarehe 05/12/2022 Mahakama Kuu katika shauri la Zitto Zuberi Kabwe vs. Mwanasheria Mkuu na wenzie na 8/2020 mbele ya jopo la majaji 3 Masoud, Masabo na Kakolaki imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba...
Wakati deni la Serikali likifikia Sh71.55 trilioni, Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina amesema Serikali ilikopa fedha zaidi ya kiasi kilichoidhinishwa na Bunge na kutaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalumu.
Hata hivyo, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk...
Habari za kazi ndugu wadau.Napendekeza CAG aondolewe kwenye mfumo na nafasi yake ichukuliwe na wizara zenyewe ziwajibike kwa bunge.
Ofisi ya CAG kwa sasa imejiingiza kwenye ufisadi na hakuna masirahi kwa taifa.
Nasema hivyo kwa sababu kama CAG atakagua kihalali hakuna halimashauri au taasisi...
Jamani ukifatilia ripoti za CAG pamoja na kuweka wazi wahusika wa upotevu mkubwa wa fedha za Umma lakini Serikali imekuwa haichukui hatua kali dhidi yao na ndio sababu matukio ya upigaji yanajirudia
Mara zote CAG na Bunge wamependekeza hatua za kuchukua lakini Serikali haiwawajibishi wanaotajwa...
Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angellah Kairuki amesema watumishi 116 wamechukuliwa hatua kutokana na ubadhirifu fedha za umma.
Kairuki ameyasema hayo Jumamosi Novemba 5,2022 wakati akichangia taarifa za Kamati za Kudumu za Bunge za Hesabu...
Serikali imesema kati ya taarifa 533 zilizopokelewa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) mwaka 2021, taarifa 110 zilifungwa kwa kukosa mashiko.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk Eliezer Felishi ameyasema hayo, leo Novemba 5...
Nimekuwa nikijiuliza swali hili kila mara bila kupata jibu, ni kwanini kila mwaka ripoti ya CAG inabainisha wizi wa mabilioni ya shilingi serikalini, bila ya kuchukuliwa hatua yoyote, je ni mkakati maalum wa Serikali hii ya CCM, kukusanya mapesa kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao wa mwaka 2025...