ccm mtandao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania CCM mtandao watajuta milele kuruhusu Magufuli awe Rais wa Tanzania

    Bila Hayati Magufuli kuwa Rais wa Tanzania wengi tungekuwa bado tunaamini Tanzania ni nchi masikini sana isiyoweza kujenga reli yake ya umeme, isiyoweza kukomesha tatizo la mgao wa umeme . Bila Magufuli kuwa rais Mh Jakaya Kikwete angekuwa anaonekana mzee wa maana Sana ndani ya nchi na hata...
  2. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole hata kama hautapatikana umelifumbua macho taifa lako. CCM mtandao ni wezi na wauaji.

    Kifo cha hayati JPM? Ulitamka wazi kuwa wamehusika ili waliibie taifa letu. Hapo ndipo Watanzania wakapata ukweli kuwa wapinzani na wasio wapinzani wanauuliwa na CCM mtandao ambao wamemuweka Samia Madarakani. Ulitamka mambo mengi mazito ambayo yaliyafanya watanganyika watake kulikomboa taifa...
  3. JamiiForums Tanzania Kupeleka vijana JKT ili waje watoe wananchi sio suluhu ya matatizo ya taifa letu. Tatizo ni ufisadi wa CCM mtandao

    Jamii imeshutushwa na video za vijana walioenda mafunzo ya Jkt wakijinasibu kuwa wapo tayari kutoa mavi wananchi watakaoandamana kudai haki na mabadiliko. Hata huko Sierraleone na kwingineko Wanajeshi wenye mafunzo hawakushinda nguvu za wananchi. Kutishia watu kwa vijana kama hawa ambao...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaCCM mtandao wanatumia mabavu kuwalazimisha wanaopinga uovu wajiuzulu? Ni mabavu ili wapore mali za umma?

    Ilianzia kwa Job Ndugai ambapo baada ya kulamishwa kujiuzulu aliishi maisha ya hofu. Kifo chake mpaka leo hii kinatia mashaka. Alihoji suala la msingi kabisa deni la taifa kupaa juu kama Aviator bila kushuka. Leo hii Nchimbi amelazimishwa kujiuzulu. Na inasemekana hakuaandika barua. Lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…