ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Ukilinganisha na zamani Chadema ya sasa imesahau kuwekeza kwa vijana vinginevyo kwa CCM ya sasa hata kama waibe kura bado CCM wangeondoka madarakani

    Huu ni ushauri wa bure kwa Chadema ya kwamba warudi chini kwa vijana waweke nguvu kama zamani. Bavicha ya leo imechoka na haisikiki kabisa jambo ambalo linapoteza matumaini kwenye siasa za vyama vingi nchini. Zamani kule vyuo vikuu CDM walijitahidi sana kuchukua vijana na kuanza kuwalea...
  2. R

    JamiiForums Tanzania CCM, Hii siyo sawa. Pamoja na yote , msingelimfutia uanachama nchimbi. Mungu anawaona

    Hakuna kosa lolote alilolifanya. mmekengeuka na diyo maana mnaua watu, kuteka, kupoteza na ukatili ulikithirika mipaka ya ubinadamu. Kwa nguvu, utumishi alioufanya akiwa CCM, watu wenye hofu ya Mungu msingelifika kumfukuza uanachama. CCM ipo hapo kwa contribution kubwa ya Nchimbi. Kama...
  3. JamiiForums Tanzania Pongezi Dr. Nchimbi Kwa Uamuzi Wako Kufuatia Ushauri Wangu Huu, Kufutwa CCM, Hakutafuta Mazuri Yako!, YEYE Yupo, Atasimama na Wewe!. Ubarikiwe Sana!

    Wanabodi, Kiukweli kitendo cha VP Balozi Dr. Emmanuel Nchimbi kufutwa uanachama CCM, kimenipiga bonge la shock la mwaka na kunikata kabisa usingizi! ukijumlisha na kule kujiuzulu kwake, this is a double tragedy!. Sijui kama kuna mtu yeyote amempongeza Dr. Nchimbi kwa uamuzi wake huu wa...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kweli CCM ya Nyerere imegeuka hadi inatuletea visivyoeleweka kila uchao

    Eti Ndejembi ndiye kapendekezwa! Heri hiyo nafasi ingebaki wazi au kupewa Abduli kama siyo Wanuu au Mchengerwa. Tumefikishwa hapa? Natamani huyu awe mzanzibari wa mwisho kuwa rais wetu. Inauma na kuumiza kuona nchi inakwenda kwa mafisi na mafisadi.
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA Jifunzeni toka CCM how to take quick actions. Lembrose Mchome, Said Issa Mohamed na Freeman Mbowe wanasubiri nini ndani ya chama?

    Siungi mkono na sijawahi kuipenda CCM.. Lakini yapo machache ya kujifunza toka kwao... Wanailinda taasisi yao kwa nguvu sana bila kujali kwa kufanya hivyo wanakuwa sahihi au la... Wamekula kichwa cha Dr Emmanuel Nchimbi. Hawajaangalia alikuwa ni nani au ni maarufu kwa kiwango gani.. Kwao ni...
  6. JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM hapa ndio sehemu ya kutuma Ujumbe kwa Samia siku ya kupigia kura hilo jina la Makamu wa Rais. Hana Cha kuwafanya kwasasa

    Kama mnakipenda chama chenu na nchi hii sehemu pekee iliyobaki ni hapa. Mtumieni salamu ajuwe hamjapendezwa na kitendo alichokifanya. Huwezi kumfukuza mtu uanachama eti kwa sababu anataka tupate katiba mpya. Mkizubaa huyu bibi atawatesa sana. Kazi kwenu sasa mkubali kuwa mateka au muamue kuresist.
  7. JamiiForums Tanzania Nawashauri CCM punguzeni ujinga wenu , anzeni kuthamini nchi kwanza ndipo chama kifuate maana utetezi wa chama si kwa manufaa ya nchi bali mafisadi

    CCM na wafuasi wake hasa wafuasi mkumbo, tangulizeni taifa kwanza kwa manufaa ya vizazi vyenu huko mbeleni , chama chenu kwa sasa si kwa manufaa ya taifa wala wananchi wake eleweni hilo.
  8. JamiiForums Tanzania Maadili ya CCM ni yapi ?

    Maadili ya CCM ni yapi ?
  9. JamiiForums Tanzania Deogratius Ndejembi ateuliwa kuwa Makamu wa Rais

    Hongera kwa Deo. Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imependekeza na kupitisha jina la Waziri wa Nishati, Deogratius John Ndejembi, kuwa mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ndejembi anapendekezwa kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Dkt...
  10. JamiiForums Tanzania Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM

    Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imemfutia uanachama wa Chama hicho leo Agosti 26, 2026 aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Emmannuel Nchimbi ambaye alitangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa jana Agosti, 25, 2026. Taarifa hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Balozi Dkt...
  11. JamiiForums Tanzania CCM wameanza vikao vya Usiku. Wamepoteana hadi muda huu

    KATIBU MKUU WA CCM DKT. ASHA-ROSE MIGIRO KUZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, anatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari leo Jumatano, Agosti 26, 2026, saa 3:30 usiku. Mkutano huo utafanyika katika Ofisi Ndogo za CCM...
  12. JamiiForums Tanzania Mwaipopo: CCM imeshindikana tumuachie Mungu

    Kada mashuhuri wa CCM Saidi Mwaipopo (sheikh?) kasema CCM ni chama kisichoweza kushindwa hivyo akasema watanzania wamuachie Mungu. Msioamini kuwa Kuna Mungu kina Nyani Ngabu kazi kwenu.
  13. JamiiForums Tanzania Maneno ya Humphrey Polepole yametimia. CCM mtandao ni watu waovu, mtu mwema yoyote hawezi kufanya nao kazi

    Haya maneno alipoyatamka Humphrey Polepole baadhi ya watu walibeza wakadhania anawasingizia. Ukweli umeeanza kuthibitika na huko mbeleni yataibuka mengi. Watu watafanyiwa mambo maovu sana
  14. JamiiForums Tanzania Samia aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM

    Bila shaka vikao vya kumtafuta Mbadala wa Nchimbi anayempenda yeye Mama, haya nasubiri kuona nani kuketi kiti cha Nchimbi =============== Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kundi ndani ya CCM linalopinga yanayoendekea nchini hivi sasa lazima lisimame kuhesabiwa ili kuinusuru nchi

    Nyie wanaCCM msiokubaliana na yanayoendelea nchini, uoga wenu ndiyo kitanzi cha tsifa hili. Ni lazima mpandishe joto la kisiasa nchini ili muafaka wa kitaifa upatikane. Tokeni kwenye mashimo yenu ya woga na hofu, mje mtoke hadharani mseme, mkemee, mshauri na mtoe misimamo. La sivyo atanyakuliwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Simbachawene ameamua kuidai Tanganyika na kutaka uwajibikaji ndani ya CCM

    Nchi imechangamka Hii kweli ni account yake?
  17. JamiiForums Tanzania Ccm ikiwa dhaifu sana basi mabadiliko ya kweli yatakuja- ikiwa imara sana ni kikwazo cha mabadiliko

    Kwa hili linalotokea la nchimbi kujiuzulu mimi sina upande wa kutetea au kuponda sababu ukweli ni kwamba ccm wote wanafanana tabia na wanatumia playbook moja kwa hiyo huo ni uogomvi wa ndugu haina haja ya kuingilia na kuushabikia Ccm ikiwa dhaifu kwa mda mrefu basi itakuwa ndo chachu ya...
  18. JamiiForums Tanzania Mchungaji Peter Msigwa Amlipua Rais Samia na CCM; Asema Utawala Unatengeneza Maadui na Hofu Nchini

    Aliyekuwa Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Simon Msigwa, amezua mjadala mkubwa wa kisiasa nchini baada ya kutoa ukosoaji mkali dhidi ya serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan na mfumo wa uendeshaji wa chama tawala cha CCM. Katika mfululizo wa maoni aliyochapisha kwenye ukurasa wake rasmi wa...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Nchimbi kujiuzulu siasa ni ujumbe kwa CCM!

    Nchimbi hata mara moja hajazungumzia CCM na amesema anajiuzulu siasa maana yake ni kwamba kapiga dongo CCM kwa kiasi kikubwa. Sasa kama wewe bado upo CCM jiulize kusudi lako hasa ni lipi! Kwa serikali hii ya wanzanibari pekee na machawa
  20. JamiiForums Tanzania Mzee Butiku: CCM na vyama vingine sio serikali muwe na mipaka

    Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Waryoba Butiku, amesema vyama vya siasa sio Serikali na wawe na mipaka kikiwemo CCM Kuhusu tofauti kati ya chama na serikali katika maamuzi: "...opposition siku hizi utadhani ni serikali lakini ni vyama vyama sio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…