Imebaki hii meza ya chakula ni nzuri sana, ina viti sita, meza bado ni mpya kabisa, katikati ina kioo.
Bei ni laki sita. Ipo Nyakato Mecco
Mawasiliano 0622723082.
Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) limeonya hatari ya kuisha kwa chakula cha misaada kuanzia wiki hii katika eneo la mapigano la Tigray nchini Ethiopia.
Zaidi ya watu 900,000 wapo katika hatari ya kukabiliwa na baa la njaa ikiwa ni kwa mara ya kwanza ndani ya kipindi cha...
Kumekuwa na mawazo mengi yanayotolewa hapa jukwaani na baadhi ya wadau kwa watu wenye uhitaji wa aina hiyo.
Moja ya wazo huwa najiuliza sana ni kwanini linatolewa sana ni hili.
Uza simu.
Uza simu kanunue karanga tembeza vyuoni na saiti.
Uza simu kanunue mitumba na viatu pale sijui wapi saa...
Katibu mkuu wa CCM hataki Tume Huru ya Uchaguzi kwa sababu haileti chakula! Hivyo anataka kuendelea na tume iliyopo ili CCM iendelee kubaki madarakani kwa sababu anadai Tume Huru ya Uchaguzi ni ya wanasiasa kuwekwa madarakani.
Kwa akili hizi za viongozi wa CCM bado tuna safari ndefu kupata...
1 Chipsi. Mtaji ni mdogo hapa unaeza anza na ndoo moja ya viazi, mafuta lita 2 vyombo vya kupikia na vyombo vya kuuzia bila kisahau genge ama banda la kupikia na kuuzia.
2 Sambusa. Mapishi ya sambusa pia ni biashara nyingine isiyohitaji mtaji mkubwa.
3 Maandazi. Biashara ya kuuza mandazi...
Mke wangu kaanza tabia nikitoka kazini ananiambia nikajipakulie jikoni. Muda huo anamjali sana mdogo wangu wa kiume kiasi hata wakati mwingine anasema chakula kimeisha nikienda kumpa hi mdogo wangu nakuta msosi wa kutosha.
Sina mengi wakuu nawasalimu.
Hii misosi ya mama nitilie ni kwa ajili ya maskini.
Mabenchi machafu
Viti vimevunjika
Meza chafu, inzi wakutosha
Msosi sometimes unanuka moshi
Wahudumu wachafu
Customer care iko chini
Kula kwa mama nitilie ni umaskini au labda ukumbwe na dharuura.
Mchele...
Hili ni kundi la watu muhim sana katika jamii kwani ukamilisha maitaji ya wafanya kazi wengi wawapo kazini bila kwenda majumbani kwao kwa kuwapatia chakula, maji na maitaji mengine kisha kuendelea na shughuli zao za ujenzi wa taifa.
Swali ni kwamba je unawajua watu hawa muhim sana katika...
Polisi wamezuia watu kugawa chakula kwa wasiojiweza kipindi hiki cha ‘Lockdown’ kwa kuwa wanakiuka miongozo ya Afya ya Kudhibiti maambukizi ya #COVID19
Wanaotaka kugawa chakula wametakiwa kuwasilisha kwa viongozi wa mkoa ambao watagawa kwa wasiojiweza. Hatua hii imekuja baada ya viongozi wa...
Nitaandika kwa kifupi sana kwa kuwa hii ni hoja isiyo hitaji maelezo mengi. Hoja yangu ya msingi ni hii Badala ya serikali kuwafungia ndani wafungwa na kuwatumia kufanya usafi mara moja kwa wiki tuwatumie wafungwa hawa kuzalisha chakula cha wanafunzi mashuleni na kitolewe bure pia, kwa wanafunzi...
Habari zenu viongozi!
Ni dhahiri Tanzania inakwenda kuwa serikali tajiri. Serikali ambayo haitakuwa tegemezi kwa namna yoyote ile.
Kuna changamoto nyingi nchini katika sekta za afya, elimu, na uchumi.
Nikianzia sekta ya elimu , serikali itoe chakula cha mchana bure mashuleni. Huku msingi na...
Habari!
Huhitaji kuwa na shahada ya taxation au uhasibu kujua kuwa pesa itakayokusanywa kupitia miamala ya simu na vocha kwa mwaka mmoja ni matrilioni.
Serikali inapaswa kuboresha sekta ya elimu kwa kuondoa ada au kuwalipia ada wanafunzi wote wa chuo kikuu huku ikiwapa angalau mlo mmoja...
Habari zenu wadau,
Naomba kuuliza namna ya kupima chakula cha biahara mfano wali na nyama au ugali na mboga zake ili kupata faida Pia juice ya parachichi na embe au embe na passion huniletea hasara sijajua kuna kitu cha nyongeza cha kuweka ili kuifanya iwe nyingi au labda natengeneza nzito...
Mimi najiuliza tu,
Nchi yangu Tanzania, inakila aina ya rasilimali ya utakachotaka, Inazo rasilimali za kila aina, ajabu hakuna chochote tunajivunia licha ya kuwepo Rasilimali nyiiingi kiasi kwamba nyingine hazijawahi kuguswa tangu dunia iumbwe..!
Najuiliza pia, Ni kwa nini Mungu alitupa Hizi...
Huu ni ugali usioharibika hata ukikaa mwezi mmoja, Ugali huu unaitwa Rowe hapa kwetu Kigoma.
Unatengenezwa kutokana na muhogo, Masharti yake usihifadhiwe kwenye jokofu ama sahani. Unaandaliwa kwa siku 4 mpaka 7.
Ugali wa Rowe baada ya kusongwa unahifadhiwa kwenye majani maalum ya mgomba...
Habari wadau.
Miezi kadhaa iliyopita nilibahatika nilipata kazi katika kampuni moja kubwa ya uzalishaji .
Nilianza kazi vizuri tu, ila siku ya kwanza tu naingia ofisini sekretari wa boss akaonyesha kunichangamkia kama tulishawai kuonana before mpaka nikaogopa, nikajitahidi kumkwepa sana...
Nianze kwa kuipongeza serikali kwa kujenga barabara nyingi na nzuri sana hapa Tabora manispaa. Kwa wale waliofika tabora miaka ya karibuni watakubaliana na mimi kwamba serikali imewekea pesa nyingi kuijenga hii manispaa.
Naomba nieleweke kwamba sina tatizo kabisa na ujenzi wa miundombinu...