chan2024

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Morocco Deserved , the Football Brain na Ndio Bingwa Mpya CHAN2024

    Habari wadau, Nimeangalia game ya Senegal Vs Morocco kiukweli Hawa jamaa wanajua ball , Wana utulivu wa kutosha. Nimeamini Kuna uhusiano wa njaa/umasikini na Wenge, wachezaji wetu Wana Wenge sana sababu ni malezi ya njaa Kali mfano mzuri Kibu D, Clement Mzize Hawa jamaa Wana Wenge...
  2. JamiiForums Tanzania TUMEPOTEZA TROPHY YA CHAN2024 SABABU VIONGOZI WAPO BUSY NA UCHAGUZI; kipindi tunaomba Watanzania kujitokeza kuna watu wamejifungia sehem wanachaguana.

    Kwenye Mada kwa ufupi, Ushahidi wa hili , siku kama ya jana ilitakiwa Taifa lote concentration iwe Kwa Mkapa maana mambo ya Maendeleo tutawapa Waarabu na Wachina kama PPP lakini cha kushangaza kuna watu walijifungia sehem kutafuta kupitishwa nafasi ya Ubunge badala ya kuhamasisha Watanzania na...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 Niliyoyaona Tanzania Ikiondolewa na Wydad, RS Berkane na Raja Casablanca michuano ya CHAN

    1. Sina wa kumlaumu kwa sababu mwenyezi Mungu asingekubali 'mitume' idhalilike kwa rangi nyeusi. 2.Sina wa kumlaumu mpira mwingi umepigwa na Stars leo isipokuwa rangi ya 'mitume' nuksi 3.Sina wa kumlaumu ila naomba kipa Yakubu Selemani apewe gari hivyo hivyo hata kama ameruhusu goli 4.Sina wa...
  4. JamiiForums Tanzania Hatimaye Wajuaji wawili wa Afrika Mashariki watema Bungo la CAF, ila kwa Sisi Waganda (Uganda Cranes) kesho ni mwendo mdundo hadi Fainali na Ubingwa

    Hovyo kabisa Kocha Hemed Suleiman Morocco yaani unaona kabisa Sopu na Nado wameshachoka na wanarukaruka tu Uwanjani unawaacha hadi dakika ya mwisho. Fei Toto alikuwa akifanya nini zaidi ya Kurukaruka tu huku akimpa wakati mgumu Kagoma kuweza Kulitawala vyema Dimba lake Kati. Hata huyu Fei Toto...
  5. JamiiForums Tanzania Taifa Stars tumepewa jaribu kubwa sana; Morocco ni Timu yenye matumizi makubwa ya akili

    Umofia Wadau! Group A: i). Kenya ii). Morocco Kenya itacheza na Madagascar hapa Kenya ina uhakika wa kucheza nusu Fainali. Ila kwa upande wa Timu yetu ambayo kiukweli Coach hajui kupanga wachezaji kwa uwezo wao pia timu yetu ina back passes nyingi with poor game control. Tuna makosa mengi sana...
  6. JamiiForums Tanzania Tunongone,kwa mpira wanaoucheza majirani (Kenya) tukikutana nao kweli tunaweza toboa?

    Kenya chini ya Ben Macchath,naiona ikizidi kuwa much strong beyond,je wakulungwa mnaionaje au mnaushauri gani? Inajivuta kwa nguvu kubwa kutoka shimoni!,we have to pull up our socks!
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 Niliyoyaona Stars Ikiiangamiza Madagascar Huku Nikihamasisha Watanzania Kulipa Kodi KWa Maendeleo Yetu

    1. Mambo 10 yasipoanza na uwezo wa Clement Mzize itakuwa sio kweli, leo ameonyesha uwezo mkubwa sanaaaa na Kama angeongeza umakini kidogo tu angeondoka na ball leo. 2. Tanzania Ina viungo wengi sana wa chini tena wana uwezo mkubwa kushinda Abdulrazak Hamza, wapo Andambwile, Mkude, Sure Boy...
  8. JamiiForums Tanzania Hongera Taifa Stars kufuzu robo fainali ni historia kubwa sana kwa Taifa

    Hongereni wachezaji, bechi la ufundi na uongozi kiujumla kwa kazi nzuri ya mliifanya hadi kufika hapa! Si kazi rahisi ni kujitoa kwa wachezaji na kujipathamani wao na kujiuza katika soka zaidi. Ule Usimba na Uyanga aupo ndani ya wachezaji wote wanajitoa kufanya walichotumwa na kocha wao na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…