Mbali na kuwa na utaratibu wa kupanga foleni lakini bado usafiri wa Mwendokasi Kituo cha Mbezi Luis Dar es Salaam bado ni changamoto sana, sijui nini kifanyike kwa kweli?
Nimepita nikaona watu wanavyopambana na kugombania kuingia kwenye usafiri hadi huruma.
MBUNGE CONDESTER NA DG RUWASA ENG. KIVEGALO WAFIKA CHILULUMO, IVUNA NA KAMSAMBA KUTATUA CHANGAMOTO YA UKOSEFU WA MAJI VIJIJINI, JIMBONI MOMBA
Mbunge wa Jimbo la Momba, Mhe. Condester Sichalwe leo tarehe 09 Disemba, 2024 ameendelea na ziara akiambatana na Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA, Eng. Clement...
Serikali imesema imeendelea kutekeleza ahadi ya kupeleka umeme wa uhakika katika mikoa ya Lindi na Mtwara, ambapo Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba ameongoza mapokezi ya mtambo wa Megawati 20 utakaozalisha umeme kwa kutumia Gesi Asilia, mchakato ambao umefanyika...
Serikali imesema miradi yote inayotekelezwa na TASAF (Mpango wa kunusuru kaya maskini) huibuliwa na jamii kwa kutumia utaratibu shirikishi unaohusisha na jamii yote na kwamba serikali itaendelea kutoa elimu kwa jamii nzima nchini kuhakikisha inaibua miradi inayotatua changamoto zao katika maeneo...
Mimi ni mkazi wa Njeteni, Kata ya Kwembe (Ubungo, Dar es Salaam) huku kwetu kuna kero ya barabara kuwa mbovu.
Changamoto hiyo inasababisha ajali na usumbufu mkubwa hasa kwa watoto wa shule, Barabara hiyo haijawahi sawazishwa kwa miaka karibu miwili sasa.
Tunaomba Serikali ya Mkoa iangalie hali...
Anonymous
Thread
barabara
changamoto
kutokana
ubovu
ubungo
watumiaji
Wakuu habari za uzima?
Najua wengi tulishapitia katika hali fulani kwenye maisha tukaona kwamba hatuwezi kuendelea na hapo ndio mwisho wetu.
Watu wengi wakiwa kwenye maumivu huwa wanachelewa kuchukua hatua muhimu za maisha. Unakuta sababu ya maumivu anakuwa ameganda na hafanyi chochote, yaani...
Ajira imekuwa changamoto kubwa kwa vijana katika siku hizi, Serikali inaendelea kuhamasisha vijana kujiajiri kwa kuanzisha biashara zao wenyewe ili kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira. Hata hivyo, licha ya juhudi hizi, vikwazo vya kifedha vinavyowakabili vijana hawa vimekuwa kikwazo kikubwa...
Bado nipo njiapanda, nimesikia kuwa mwanamke mjamzito akinywa pombe kwa kiwango kikubwa wakati wa ujauzito basi huweza kusababisha changamoto kubwa sana kwa mtoto. Kuna wajawazito kadhaa nimepata kuwaona wakinywa pombe tena kali sana lakini hizo changamoto kwa watoto wao sijaziona.
Baadhi ya...
Habari za muda huu ndugu zanguni.
Maishani mwetu wakati mwingine hutokeza changamoto na magumu mbali mbali yanayotukabili na kukabiliana nayo.
Changamoto za kimaisha na magumu kwenye harakati za maisha wakati fulani hutufanya kuvunjika mioyo na kuona kama dunia imekuelemea.
Lakini nyakati...
Wasaaaalamu
Hali ya usafiri Kigamboni imekuwa mbaya sana wananchi wanahaha na kuhangaika,kwa sasa ni kivuko kimoja tu MV KAZI ndio kinatoa huduma hii inasababisha mrundikano wa raia wanaosubiri kupata huduma ya kivuko na kuleta kero kubwa sana
Mpaka sasa hakuna kiongozi yeyote alietolea...
Kumekuwa na changamoto kubwa ya Rushwa ya ngono kwa baadhi ya vyuo vikuu na vyuo vya kati Tanzania hususani kwa watoto wanaomaliza kidato cha nne na kujiunga na vyuo kwa ngazi ya Certificate na diploma.
Wengi wao wanakua ni wadogo kiumri na kushindwa kuhimili changamoto hiyo kutoka kwa baadhi...
Naitwa Abdul-Aziz Ally Carter mwanafunzi wa mwaka wa 3 chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM), nasomea historia na sayansi ya siasa,
Namba yangu ya usajili 2021-04-01016.
UDSM tunafundishwa kwa namna 2, lectures za Darasani na seminar presentation,
Kwenye seminar presentation ndiyo sehemu pekee ya...
Kulingana na ripoti ya jukwaa la habari za biashara nchini Kenya, BusinessDaily, IMF ilifichua kuwa Kenya ni miongoni mwa wakusanyaji wakuu wa mapato yake kwani benki hiyo inapanga kupata takribani asilimia 2 ya mapato yake ya mkopo kutoka nchini Kenya.
"Income kutoka Kenya inatabiriwa...
1. Wakati unasumbuka na tatizo la ndoa, kumbe robo tatu ya watoa ushauri hawajawahi kuishi na ndoa zaidi ya kudanda danda tu hapa na pale.Kwa kifupi hawajawahi saini mkataba mbele ya mashahidi na viongozi wa dini kwamba changamoto na furaha atazikabili. Mikataba alosaini ya kisela tu. Robo tatu...
📌📌 WAZIRI AWESO AMTHIBITISHIA MWENEZI MAKONDA KUWA CHANGAMOTO YA MAJI MUHEZA INAKWENDA KUISHA HIVI KARIBUNI
Waziri wa Maji Ndugu. Juma Aweso amthibitishia Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda kuwa Serikali kupitia Wizara ya Maji anayoiongoza...
BANDARI YA DSM NA CHANGAMOTO ZA MAFANIKIO
Ni baada ya ukamilishaji wa mradi wa DMGP, uimarishaji wa mifumo na utekelezaji wa maelekezo na matamanio ya Rais Dkt. Samia katika mapinduzi ya Bandari
Sasa meli zinamiminika kila siku, wateja wameongezeka, mapato juu, mfungamano wa ajira umeimarika...
Hapo vipi,
Kwanza niseme ngozi nyeusi chini ya hii sayari ndio race inayongoza kufanya vibaya Duniani kwa sababu kadha wa kadha.
Nije kwenye mada husika, kiukweli Migration ya Arusha inatia aibu kubwa sana. Kwanza, wale watu wa mapokezi wana kauli chafu sana kwa watu wanaokuja kushughilikia...
Tuna zaliwa vizuri tunacheza na jinsia tofauti vizuri kabisa ila ikifika kipindi huwezi tena jumuika nao tena.
Matamanio ya haraka nimeyatatua kwa style hii 👇👇👇 ili kutoweka mshangao kwa watu.
Share na ya kwako ulitatua swala la mashine kudinda mahali usipo tegemea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.