Huu ni uzi maalumu wa kuelezea changamoto wanazopitia wafanyabiashara wa Maduka ya Rejareja almaarufu "Maduka ya Mangi".
Kama una Changamoto yoyote unayopitia andika hapa, hata kama wateja wanakukosea pia ongea hapa.
Asante.
Habari JF ,Binafsi nimefanya kazi na NHIF kwa zaidi ya miaka 5, kumekuwa na Changamoto nyingi ambazo zinapelekea huduma kupitia huu mfuko kudolola.
Mambo haya nimefuatilia ndio chanzo kikubwa ya Changamoto :-
1. ELIMU DUNI KUHUSU MFUKO WA NHIF (hupelekea matumizi yasiyo sahihi na kudhohofisha...
Haikuwa kazi nyepesi kuigiza movie za Yesu. Songombingo lilianza katika ile scene ya msalabani. Scenes zote ilikuwa rahisi sana isipokuwa ile ya msalabani.
Kwenye ile movie ya mwaka 1979 ya Yesu iliyoigizwa na Decon, Brian Deacon anasimulia kwenye interview kuwa wakati wa scene ya msalabani...
Hatua ya Marekani kuongeza muda wa kusamehe nyongeza ya ushuru kwa bidhaa za China chini ya ‘Kifungu cha 301’ mpaka Mei 31, 2024 imepongezwa sana na jamii ya wafanyabiashara, lakini bado kuna mapungufu, kwani hatua za Marekani katika kuboresha biashara ya pande mbili bado zina vizuizi.
Tangu...
Moja ya kitu ambacho hupaswi kukiruhusu ni siku yako kupita bila kusoma biblia yako na kutafakari.
Tumekuandalia kundi zuri la wasap la kusoma biblia kila siku na kutafakari, sio hivyo tu, unapata ufafanuzi au uchambuzi wa sura moja ya biblia kila siku.
Hii inakusaidia kuelewa kwa usahihi kile...
Kuna matatizo yanatokea. Na haya matatizo yanawahusu Waafrika kama sisi ambao wapo katika diaspora. Matatizo yao tunapswa kuyaona kwamba ni matatizo yetu.
Na tunapaswa kuona maumivu katika maumivu yao.
Nazungumza kuhusu kashfa inayolipuka kuhusu msanii Puff Daddy, Nabii T. D. Jakes.
Na...
Nimelazimika kuuliza hii kitu, ni muhimu sana kujua. Makala nzito iliyojaa critical analysis na ikapatikana kwenye national au International journals. Paper fulani hivi ya kuzungumzia changamoto mtambuka za jamii yetu ya Kitanzania.
Mambo haya yanaakisi sana uwezo wa mtu. Nafikiri ana Degree na...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kupitia Kikosi cha usalama barabarani limeyazuia mabasi matano ya abiria katika Stendi kuu Jijini Mbeya kuendelea na safari baada ya kukutwa na changamoto katika mifumo mbalimbali.
Akizungumza mapema Desemba 26, 2023 Mwanasheria Mkuu wa Kikosi cha usalama...
Heshima kwenu wakuu.
Kuna mama /dada ni mjamzito. Sio ujauzito wake wa mara ya kwanza.
Anapitia changamoto hizi.
★Tumbo kuuma chini ya kitovu, linauma baadae linaachia lenyewe na kujirudia rudia.
★ Kichwa kuuma mara kwa mara.
★ Kuhisi baridi sana mara kwa mara.
★ Kuhisi kizunguzungu...
Ikilinganishwa na sehemu nyingine haswa nchi zilizoendelea, nchi za bara la Afrika zimetoa hewa ukaa chache. Hata hivyo, bara hilo limekuwa mojawapo ya maeneo yanayoathirika zaidi na mabadiliko ya tabianchi katika miaka ya hivi karibuni. Kutokana na mabadiliko hayo, majanga kama vile ukame...
Watu wanaoishi Dar it's an asset to the Government. Lakini kwa RC Chalamila yeye hao ni liability nakwamba anatamani kuongoza watu wasiomtamkia changamoto.
Ameelekeza wanaolerwa na jiji la DSM warejee kijijini. Anatamka maneno hayo kipindi ambacho wanaomiliki mwendokasi wamedharau na kuendelea...
Salamu kwa wote,
Nia yangu siyo kumsimanga mtu bali nataka tujifunze na si vinginevyo,
Twende kwenye hoja ya msingi,
Mtu anakupigia simu kwamba amekwama kwa jambo fulani linahitaji pesa, anaomba msaada wa kifedha kwa sababu amekama,
Unamwambia haina shida ntakusaidia, unaamua kumtumia pesa...
Hi, ninavomaanisha platonic female friends namaanisha marafiki wa kike ambao sijawahi kuwatongoza, sijawahi kutembea nao, na sina mpango wa kuja kuwatongoza au kutembea nao.
Utakuta nakutana na mdada naipenda personality yake, nachukua namba yake, naamua kumfanya rafiki wa jinsia tofauti kwa...
Zipo changamoto nyingi za uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Leo ninakushirikisha baadhi ya changamoto ambazo nimeziona zinaweza kukuzuia kutoka hapo ulipo kwenda hatua nyingine ya mafanikio.
MOJA.
Upatikanaji wa hati ya umiliki wa ardhi.
Hii ni sababu kubwa ya wawekezaji wengi kukosa sifa za...
Habari za muda ndugu zangu.
Kwanza kabisa niipongeze serikali kwa juhudi za kuajiri hasa mwaka huu wa 2023, imejitahidi sana kuajiri vijana katika kada mbalimbali tofauti na za ualimu na afya sambamba na pongezi hizo naomba serikali kupitia wizara hasa TAMISEMI wawape maelekezo na miongozo...
Hapa najifanya msemaji wa Chama kwa kuwa nakipenda Chama changu, nakiamini na sina mpango wowote wa kukiacha, tunapoelekea miaka mingine mitano ya Samia, wapinzani wa ndani ya chama, mafisadi yaliyoko ndani ya chama, manyangau walioko ndani ya chama, leteni hoja zenu mapema, wanachama...
Taarifa zilizotufikia usiku huu ni kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amejiuzulu nafasi yake hiyo.
Vyanzo vyetu vilivyo karibu na CCM vimethibitisha kuwa tayari Chongolo amewasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa Mwenyekiti wa Taifa wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan...
Safari baada ya chuo kwa wahitimu inaweza kuwa na furaha na changamoto kwa pamoja. Unapojitosa katika ulimwengu wa kitaaluma, moja ya changamoto kubwa mtaani kwa wahitimu ni kazi hapa kuna vidokezo muhimu vya kukusaidia kufanya mabadiliko na kujenga mustakabali wa mafanikio.
Maisha baada ya...
Kwema ndugu zangu!!
Ninachangamoto imekuwa ikinipa mawazo Sana Kwani hii hali ilinitokea anzia mwaka jana ambapo nilikuwa mtu wa kuchoka mwili sana kwa kipindi kirefu kama miezi Kama 5 au 6 hivi, katika miezi Kama mi3 hivi nilipoanza kuchoka nilianza kuhisi labda Sina mazoezi mwilini ambapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.