Naitwa Abdul-Aziz Ally Carter Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM), jana Oktoba 20,2023 matokeo ya awamu ya 1 ya mkopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu yalitoka, Kuna idadi kubwa ya wanafunzi wamepata mkopo chini ya 20% na walikuwa na sifa na vigezo vya kupata mkopo, wengi wao...
Naitwa Abdul-Aziz Ally Carter Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam( UDSM), Jana Octoba 20,2023 matokeo ya awamu ya 1 ya mkopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu yalitoka.
Kuna idadi kubwa ya wanafunzi wamepata mkopo chini ya 20% na walikuwa na sifa na vigezo vya kupata mkopo, wengi wao...
Ikiongozwa na uelewa kuwa changamoto za dunia zinahitaji ushirikiano wa pamoja, China imefungua milango yake kwa nchi zote na mashirika mbalimbali ya kimataifa na kikanda, kupitia program na mapendekezo mbalimbali, kama Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja (BRI), na kuboresha ushirikiano wa...
Meneja wa mfuko wa bima ya afya ya NHIF Mkoani Tabora, Salum Adam amesema NHIF haina changamoto ya uchelewashaji wa vitambulisho isipokua kuna changamoto ya kimazingira na mfumo wa uwasilishaji wa kadi kwa watumishi kupitia halmashauri.
Akizungumza na waandishi wa habari meneja wa NHIF amesema...
OUR PRODUCT -BIBLE CODE (Luka 24:45)
zimekua digested kutoka kwenye biblia kwa uongozi wa Roho mtakatifu kwa lugha nyingine hazibuniwi ndo maana chini yake kuna mstari wa biblia.
PM NIMEIFUNGA
Kama una-ushuhuda Mungu amekufanyia baada ya kutumia bible code share huku usiogope., na kama una...
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefanya mkutano na Wamiliki wa Shule zisizo za Serikali kwa lengo la kusikiliza na kujadiliana kwa pamoja changamoto zilizopo katika sekta hiyo.
Akizungumza Oktoba 10, 2023 jijini Dodoma, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kushughulikia changamoto za Walimu nchini hatua kwa hatua ikiwa ni pamoja na kuwapandisha Madaraja na kutoa malipo ya stahiki mbalimbali.
Rais, Dkt. Samia ameyasema hayo tarehe 6 Oktoba 2023, alipokuwa...
Mwalimu ni mtu mwenye dhamana yakuondoa ujinga kwa wengine lakini hana uhakika kama yeye amejiondolea ujinga.
Mwalimu ni mtu yupo radhi kumchapa mwanafunzi asiyeelewa ili aelewe lakini yeye mwenyewe hana uhakika kama anaelewa anachotakiwa kukifanya kama kioo cha anaowafundiasha.
Mwalimu ni mtu...
Ďr. Julie Makani
Dr. Lisokotala
Dr. Gilbert Sanga
Dr. Ally Nah
Dr. Angela Mwakimonga
Dr. Cyprian Ellas Mayagi
Dr. David Isaya
Dr. Kache (Magu)
Dr. Masangu (Masanza Kona)
Kwa sasa Mwanza kuna tabia ya asilimia kubwa ya Daladala kutofika katika ‘ruti’ zao husika walizopangiwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) hasa zile zinazotoka Nyashishi kwenda Kisesa, nyingi zinaishia Igoma na wanasema kabisa wanaishia Igoma kama hutaki shuka.
Kwa hivyo, abiria wa...
Simu za iPhone 15 & iPhone 15 pro ambazo zimeingizwa sokoni hivi karibuni zimelalamikiwa na baadhi ya watumiaji wake kuwa na msululu wa matatizo
Watumiaji wengi wa simu hizo toka kampuni kinara Duniani kwa utengenezaji wa simujanja wameeleza kuwa simu hizo mpya zina changamoto ya kutoa joto...
Ndugu zangu Watanzania,
Leo Rais samia Amekata kiu ya watanzania na kulituliza Taifa ambapo muda mwingi walikuwa wanataka kusikia kauli yake juu ya changamoto ya kukatika kwa umeme. Kwa utulivu ,upole,uthabiti na uimara wa hali ya juu sana amelieleza Taifa sababu ya chagamoto hiyo na mikakati...
Katika siku za karibuni vyombo vya habari vya ndani na nje ya China vimekuwa vikiripoti kuhusu changamoto za kiuchumi za China zinazotokana na kupungua wa tija ya uzalishaji, kupungua kwa nguvu kazi, kuyumba kwa soko la nyumba na hata ongezeko la ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana. Changamoto...
Katika maisha yetu ya kila siku, mawasiliano hutusaidia kujenga uhusiano kwa kuturuhusu kushiriki uzoefu wetu, na mahitaji yetu, na hutusaidia kuungana na wengine. Ni kiini cha maisha, huturuhusu kuelezea hisia, kupitisha habari na kubadilishana mawazo. Sote tunahitaji kuwasiliana.
Hata hivyo...
Ndugu wana jamii tafadhali pokea taarifa hiyo yenye uchungu mkubwa toka kwa Mhe. Tabasamu ametoa machozi hadharani, mwenye video tafadhari atuwekee hapa.
Video ipo kwenye comments (Manjagata ameiweka)
Hii ni taarifa halisi isipokuwa kwa kuwa sina video ndio mana sijaweka katika uhakika wake...
Nilihitimu elimu ya juu kiwango cha shahada ya kwanza (Sheria).
Ajira zinazotangazwa sana na serikali ni za wenye cheti, na diploma haswa utendaji wa Mtaa ambapo kwa sasa wanahitaji Certificate NTA level 5.
Sasa shida inakuja kwamba, mfano, ikiwa kwenye kada ya Mtendaji Mtaa/Kijiji wanahitaji...
Toka ujana wako wote mpaka unafikia umri huo hukujenga hata kichumba na kisebule eti unasubilia kijana wako uliemzaa asome kuanzia kindigate mpaka chuo, atafute ajira, ahangaike weee!! Ndo aje akujengee??? Aaahhh! Uzembe ulioje huo?
Yaani wewe miaka yote ya ujana wako mpaka unazeeka ulishindwa...
Tanzania, nchi iliyobarikiwa na utajiri wa maliasili, ikiwemo gesi asilia ambayo kwa ujumla wake ni futi trilioni 57.25 za ujazo wa gesi .
Tanzania imepiga hatua kubwa katika sekta ya nishati kwa kuanzisha Mradi wa Tanzania Liquefied Natural Gas (LNG). Mradi huu una lengo la kuchakata gesi...
BILIONI 4.6 ZA RAIS SAMIA ZAONDOA CHANGAMOTO YA MAJI JIMBO LA HAI
Serikali imefanikisha upatikanaji wa kiasi cha Sh Bil 4.6 kwa ajili ya upatikanaji wa huduma ya majisafi na salama kwa wananchi katika jimbo la Hai kwa kuboreshaji mradi wa maji wa Hai mjini ,Upanuzi wa mradi wa maji NIre-...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.