Mimi nilikutana na matangazo haya ya ajira kwenye nguzo za umeme bhn mshahara 410k. Nikapiga simu, wakaniambia niende kwenye interview kesho yake pale Chang'ombe Junction saa 12 asubuhi na niwe smart sana, wakaniasa.
Kesho yake, kama kawaida, nikaenda kutimba pale Chang'ombe. Nikampigia jamaa...