Habari wadau.
Wazazi wengi tunasomesha watoto kwa kujibana, Tena shule za gharama. Tunakopa huku na huku tuwalipie ada. Nawakumbusha tu tukumbuke na kuwaandalia mitaji ya biashara wakimaliza kusoma.
Graduates wengi ambao wazazi wao hawajawapa mitaji wamekuwa wazururaji tu mitaani, walevi wenye...
Matokeo ya kidato cha sita yameanza kutolewa, na hawa vijana hawana mchezo—wanapata division 1 kwa wingi!
Takriban 90% ya watoto hawa wamezaliwa mwaka 2005, na sasa wanakabiliwa na changamoto mpya.
Kwa heshima zote, tunawapongeza walimu na wafanyakazi wa shule ambao wamefanikisha mafanikio...
Wakuu habari ya majukumu!
Naomba niende kwenye mada moja kwa moja.
Katika Bachelor's Degree Admission Almanac for 2024/25, TCU wametanabaisha kwamba ifikapo tarehe 30/06/2024 wataweka hadharani 2024/25 Admission Guidebook lakini mpaka kufikia leo 08/07/2024 (zaidi ya wiki moja) kwenye website...
https://www.youtube.com/live/ie3dUDq4evE
Binti aliyesadikika kulawitiwa na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu anafunguka yote amtaja RC Mwanza.
Tumsime Mathias Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza cha SAUT Mwanza anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Yahaya Newanda anafunguka...
Zaidi ya 90% ya vijana wanaokwenda chuo siku hizi wanakwenda kupoteza muda wao na kutengeneza mazingira ya kuwa frustrated siku zijazo.
Siku hizi hata ukimaliza chuo na ufaulu mkubwa unatakiwa uwe na bahati kubwa sana ili uweze kupata ajira.
Badala ya kupoteza muda mwingi na fedha nyingi...
inashangaza sana kuona mpaka sasa ukanda huu hauna chuo kikuu cha serikali licha ya kuwa sehemu inayotoa wasomi wengi na kuwa na jiji kubwa la Mwanza.
vyup utavyovikuta ni vya kati tena ni matawi yaliyojengwa miaka ya karibu, mifano tia, ifm, cbe, dit, n.k.
Chuo kikuu cha serikali hakuna, kile...
Habari wanaJF, mimi nimemaliza Form Six mwaka huu 2024.
Katika pita pita zangu nimekutana na TCU guide book mwaka Jana. Naomba UFAFANUZI kwenye hicho kipengele 👇👇 maana nimesoma sielewi.
Natanguliza shukran za dhati 🙏🙏
Amesema mtazamo wake kuhusu katiba ni kuleta nafuu kwenye maisha ya kila siku mf.
Wanawake wasio na ajira wapewe mikopo bila riba mtu akifa maiti isidaiwe chochote na kijana akihitimu masomo na serikali haijampa ajira baada ya miaka mitano ianze kumlipa nusu mshahara mpaka atakapo pata ajira.
Na Bwanku M Bwanku
🔨Kukamilika mwaka mmoja na nusu ujao, kwenda kufuta adha ya Mkoa wa Kagera kutokuwa na Chuo Kikuu.
Wiki iliyopita ilikua ya furaha na ndelemo baada ya Mkoa wa Kagera kuanza rasmi ujenzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Tawi la Kagera na kufuta changamoto ya mkoa wa...
Utangulizi 1.0 Utangulizi Tangu kuzinduliwa kwa ripoti kamili ya Mradi wa Ubora wa Vyombo vya Habari Tanzania “Yearbook on Media Quality in Tanzania” mwaka 2018, tayari ripoti tatu zimeshachapishwa.
Ripoti zote tatu, zimeelezea kwa kina ubora wa uripoti wa habari nchini na kwa hiyo ripoti hizo...
Najua maboss wa Yanga mko humu, tafadhali fungueni chuo kikuu cha soka ili kuzisaidia club mbalimbali za soka duniani kama vile Arsenal na Simba.
Asante
Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo" na vijana 4 kwa siku.
Sasa itakuwaje kwa mdogo wangu huyu asiyejua chochote ktk umri wake huu...
Wanaukumbi.
Picha za kushtua zinaonyesha maafisa kadhaa wa Chuo Kikuu cha Washington St.
Profesa wa historia wa SIUE Steve Tamari anaripotiwa kulazwa hospitalini akiwa amevunjika mbavu na kuvunjika mkono. Daktari mmoja alimwambia kuwa ana bahati ya kuwa hai.
Ikiwa haya yangekuwa matukio ya...
Katika hali inayoonekana kuongezeka kwa maandamano ya kuiunga mkono Hamas na kuilaani Israel huko chuo kikuu cha Columbia nchini Marekani,waandamanaji hao wameteka moja ya jengo la chuo kikuu hicho.
Utekaji huo ulifanyika muda mfupi kabla ya onyo lililotolewa na kuondoka kwenye mahema...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa kamili hapo chini:
Al Mustapha ambaye ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Al Taghavi Tawi la Tanzania amewaomba Waislamu wote duniani kukipenda kitabu kitakatifu cha Quraan akisistiza ni kitabu pekee ambacho waumini wote wamekubaliana kukitumia na kimetoka kwa Mungu...
Mimi ni mwanafunzi wa UDOM college of informatics and virtual education(CIVE).
Hali ya miundombinu ya college hii ni mibovu sana na hatarishi kwa afya hususani vyoo.
College ya CIVE ina jumla ya blocks 6, tatu katika hizo sita ni mbovu kupindukia. Block moja zima unaweza kukuta vyoo(matundu)...
Anonymous
Thread
chuochuokikuu
dodoma
elimu
kikuu
kompyuta
miundombinu
sayansi
ubovu
vyoo
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya ma lecturer wa chuo kikuu cha SAUT Mwanza kuwa wanapekua simu za wanafunzi upende wa messages.
Hii mara nyingi inatokea pale mwanafunzi anapoingia darasani kwa kuchelewa kidogo na hapo lecturer anamuomba mwanafunzi simu na kuanza kupekua sms, na ikitokea...
Anonymous
Thread
chuochuokikuu
inakera
kikuu
lecturers
simu
tabia
wanafunzi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Udaktari wa Heshima kutoka Chuo Kikuu cha Ankara, Uturuki, leo Aprili 18, 2024 kutambua Jitihada zake za Kuendeleza Mageuzi ya Kijamii, Kisiasa na Kiuchumi-4R.
https://youtu.be/k_A0yON0ZXg?feature=shared
Rais wa Jamhuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.