chuo kikuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. encyclopaedia Tanzaree

    KERO Chuo kikuu cha UDOM College of Education (CoED) hakina maji kwa zaidi ya wiki sasa

    Chuo kikuu cha UDOM College of Education (CoED) hakina maji kwa zaidi ya wiki sasa. Wanachuo wanateseka na adha ya ukosefu wa maji hivyo kuathiri ufanisi katika ujifunzaji. Kibaya zaidi hata vijana waliojiajiri kuwasambazia maji wanachuo wamezuiwa kwa sababu ambazo hazijawekwa wazi, kwani...
  2. B

    Msaada: Amekosa mkopo Chuo Kikuu, anahitahi angalau 50% tu

    Alisoma: Primary: English Medium. O level: private. A. Level: government Occupation: 1. Baba: mkulima. 2. Mama: mama wa nyumbani. Dogo ndio anashughulika na appeal yake now. Anataka ata least apewe hata mkopo wa asilimia hamsini tu. Je, kuna namna anaweza kusaidiwa katika hilo? Afanye...
  3. ALPHA2012

    Fomu za kujiunga Chuo Kikuu Dar es Salaam

    Ndugu, naomba kufahamu kwa anayejua hizi Joining Instructions za kujiunga Chuo Kikuu cha Dar es salaam zinapatikanaje? Muda umeenda sana na masomo karibu yanakaribia. Nimeomba online na kujibiwa kuwa nimechaguliwa na pia nime confirm kwa kutumia code namba. Kwa sasa kwenye account yangu...
  4. M

    India kujenga Chuo Kikuu Kizimkazi Zanzibar

    India inaanzisha Kampasi yenye hadhi ya juu ya Chuo cha Teknolojia (IIT) Madras, Zanzibar inayotarajiwa kuanza mwezi Oktoba. Ni Kampasi ya kwanza ya Chuo hicho nje ya India.
  5. KING MIDAS

    Uzi maalum wa kuwakumbuka Walimu waliotufundisha kuanzia chekechea hadi Chuo Kikuu

    Tukiachana na Mpwayungu Village ambaye usiku na mchana yeye ni kuwasakama walimu, tupo sisi wengine tunaoheshimu na kuthamini mchango wao kwenye maisha yetu ya kila siku. Walimu wangu wa chekechekea kuna Teacher Mary, Umoja Primary School. Mama Stambuli, mama mzazi wa Azza, amenifundisha pia...
  6. Roving Journalist

    Chuo Kikuu cha Mzumbe chakiri Wanafunzi zaidi ya 500 wanadai malipo ya 'refund' chuoni hapo

    Baada ya malalamiko kutoka kwa memba wa JamiiForums kuwa kuna Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe ambao walijilipia Ada wakati wa kujisajili kabla Bodi ya Mkopo kuingiza malipo ya mkopo wao, hivyo wakaahidiwa kurejeshewa kiasi cha fedha kilichozidi lakini hali imekuwa tofauti, ufafanuzi...
  7. Roving Journalist

    Lugha ya Kiswahili kufundishwa Chuo Kikuu Cha Havana Nchini Cuba

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Cuba zimesaini Hati za Makubaliano ya kushirikiana katika sekta ya elimu ya juu kwa kubadilishana wakufunzi na wanafunzi, kufundisha lugha ya kiswahili katika Chuo Kikuu cha Havana nchini Cuba pamoja na kutengeneza kamusi ya...
  8. ChoiceVariable

    RC Chalamila: Daraja la Saba wanaingiza mamilioni, wa Chuo Kikuu wanalaumu mitaala haiwawezeshi kujiajiri

    RC wa Dar Albert Chalamila amewashangaa watu wanaolaumu Elimu ya Chuo Kikuu Tanzania hususani graduate Kwa kulalamika na kulaumu mitaala ya Elimu na Serikali wakati Kuna mtu ana Elimu ya darasa la Saba tu anaitumia kuingiza Mamilioni Kariakoo na kwingineko. My Take: Naunga mkono...
  9. DigitalPointtz

    Changamoto ya mfumo wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kushindwa kutatuliwa takriban wiki 3 sasa

    Ujumbe kutoka kwa kati ya mwanafunzi aliyehitimu na kuomba kupaziwa sauti. "Mimi ni muhitimu wa stashahada ya computer science chuo kikuu cha sayansi na teknolojia Mbeyaa Kumekuwa na tatizo la mfumo yaani SIMS (student information management system) kwa muda wa takribani wiki 3 mpaka sasa...
  10. Erythrocyte

    Sugu aendelea Kutikisa Chunya, achambua Katiba kama Mhadhiri wa Chuo Kikuu. Wananchi waanza kumuelewa

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Joseph Mbilinyi bado yuko Chunya kwa ziara ya kikazi, ambako ameendelea kuelimisha Wananchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya ambayo itazaa Tume huru ya Uchaguzi. Sugu ambaye sasa anajulikana pia kama Jeshi la Mtu mmoja, anashangaza wengi kutokana na uwezo wake wa...
  11. A

    DOKEZO Wanafunzi Chuo Kikuu Huria: Malalamiko dhidi ya utendaji wa Wakufunzi wetu

    Wanafunzi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Kwenda kwa: Makamu Mkuu wa Chuo Chuo Kikuu Huria cha Tanzania YAH: MALALAMIKO YETU WANAFUNZI KUHUSU MATOKEO Husika na kichwa cha habari Sisi ni Wanafunzi wa Department of Mathematics, Information and Communication Technology kwa ngazi mbalimbali...
  12. Meneja Wa Makampuni

    Jinsi Chuo Kikuu cha MUST Tanzania kinavyowasaidia wanafunzi kuwa wajasiriamali

    Chuo kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (Mbeya University of Science and Technology - MUST) kimekuwa chuo cha mfano katika kuhawilisha teknolojia kwa wanafunzi. Chuo hiki kinahakikisha mwanafunzi anapoingia chuoni hapo anapeleka wazo la biashara/kampuni yake anayotaka kuifungua na chuo...
  13. B

    Chuo Kikuu cha Dar es Salaam siyo Chachu na Kitovu cha Mabadiliko tena, Imebaki Historia tu

    Habari wana JF, Kwa wale wazee wenzangu, watakubaliana na mimi kwamba wanachuo wa siku hizi wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam wamepoa sana na wengi wao hawajiamini kulinganisha na wale wa miaka ya 2005 kurudi nyuma! Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) al-maarufu kama Mlimani, ilikuwa ni kitovu...
  14. B

    Hivi ni kweli ukisomesha mtoto private kuanzia primary hadi secondary, chuo kikuu hapewi mkopo?

    Kwamba ukisomesha mtoto shule za private kuanzia primary (English medium) hadi secondary (both O level and A level) then chuo kikuu mtoto Hapewi mkopo kwa maana serikali ita assume kwamba mzazi una uwezo wa kumudu gharama za kumlipia mwanao chuo kwa sababu ada za chuo mfano (UDSM ni kuanzia...
  15. BigTall

    DOKEZO Chuo Kikuu Iringa hawalipi mishahara kwa wakati na kuna changamoto ya Mifumo ya Malipo, hivyo Watumishi wasio waadilifu wanachezea mifumo ya malipo

    Sakata la Chuo Kikuu cha Iringa roho za Watanzania zinateseka katika hicho chuo, kwanza hakilipi mishahara kwa wakati matokeo yake Watumishi wasio waadilifu ikiwepo Ofisi ya Uhasibu wanatengeneza mchezo mchafu wa malipo hewa ili kujipatia fedha. Ishu hiyo ilipokugundulika chuo bila kuchunguza...
  16. W

    Kutoka chuo kikuu hadi kuuza dagaa

    Habari yako mwanajamii, nina imani ulipo unaendelea vema, kama haupo sawa Mungu akutangulie katika jambo lako. Leo tena nimepata muda wa ku-share vitu nilivyopitia katika maisha yangu. Mimi ni mzaliwa wa Nyanda za Juu Kusini (Songwe -Mbozi) nimesoma shule ya primary Songwe Mwaka 2008 na...
  17. Roving Journalist

    Tsh. Bilioni 6.7 zatengwa kufadhili Wanafunzi 640 kwa 100%, ambaye hatafikisha GPA 3.8 ufadhili unasitishwa

    Mwaka wa Fedha wa 2022/2023 Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilianzisha ufadhili kwa wanafunzi wanaohitimu Kidato cha Sita wenye ufaulu wa juu katika tahasusi za sayansi (PCB, PCM, PGM, CBG, CBA, PMC na CBN) waliopata udahili...
  18. Mtu Mweusi I

    Ushauri wangu kwa vijana wa kidato cha 6 na wengine wote ambao bado hawajafikia elimu ya Chuo Kikuu

    Ushauri wangu kwa vijana wa form 6 na wengine wote ambao bado hawajafikia elimu ya chuo kikuu. Tanzania ya sasa haihitaji Degree, zimeshakuwa nyingi sana mtaani mpaka copy za vyeti zinafungiwa vitumbua. Yaani degree ni luxury sio hitaji muhimu. Tanzania ama dunia ya sasa inahitaji stadi na...
  19. G-Mdadisi

    Mhadhiri Chuo Kikuu SUZA: Ili Wanawake washinde Uongozi lazima wazielewe mbinu za kujenga Ushawishi Kisiasa

    Na Gaspary Charles WANAWAKE wenye nia ya kugombea nafasi za uongozi wametakiwa kuelewa mbinu sahihi za kufanya ushawishi katika siasa na uongozi ili kukabiliana na vikwazo vinavyoweza kuwakwaza kushika nafasi hizo katika ngazi mbalimbali. Wito huo umetolewa na mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Taifa...
  20. comte

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Hakuna kipengele kinachozungumzia uuzwaji wa Bandari, na hakuna mkataba wowote ulioingiwa

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali Eliezer Feleshi atoa maneno mazito mjadala wa DP World Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Dkt. Eliezer Feleshi, amejitosa kwenye mjadala wa uwekezaji wa kampuni ya Dubai ya DP World unaotarajiwa kufanywa kwenye bandari ya Dar es Salaam kwa kusema kuwa kuna...
Back
Top Bottom