chuo kikuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. displayname

    Serikali kutoitambua Shahada ya Maendeleo Vijijini (Bachelor of Rural Development) toka Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoinie (SUA)

    BURUA YA WAZI KWA MKUU WA CHUO CHA KILIMO CHA SOKOINE (SUA) SERIKALI KUTO ITAMBUA SHAHADA YA MAENDELEO VIJIJINI (BACHELOR OF RURAL DEVELOPMENT) KATIKA AJIRA ZINAZOTOLEWA NA UTUMISHI WA UMMA KITENGO CHA SECRETARIET YA AJIRA TANGU SHAHADA HIYO ILIPO ANZISHWA MWAKA 2004. Kwako Mheshimiwa Mkuu wa...
  2. B

    Chuo Kikuu cha Dar (UDSM) chajadili Mkataba wa Bandari

    Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Ndaki ya Sayansi ya Jamii Kitivo kikongwe cha chuo kikuu cha UDSM chajadili kwa pamoja na jamii nzima mkataba wa bandari Mwenyekiti wa mjadala wa leo Dr. Ng'wanza Soko Kamata wa kitivo cha CoSS UDSM aliwakaribisha wote waliojumuika ukumbini na wale walioshiriki...
  3. L

    Wanafunzi wa taasisi ya Confucius katika chuo kikuu cha Dar es Salaam Tanzania wajifunza utamaduni wa sikukuu ya Duanwu

    Tarehe 21 Juni, wanafunzi wa shule za upili wa Taasisi ya Confucius katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Tanzania (UDSM) walitembelea chuo kikuu cha wazi cha Jinhua, mkoani Zhejiang, China, ambapo walijifunza utamaduni wa sikukuu ya jadi ya China –Duanwu. Sikukuu ya Duanwu ni moja ya sikukuu nne...
  4. R

    Chuo Kikuu cha Dar es salaam kitafute mwekezaji awasaidie kuprinti vyeti vya wahitimu

    Nchi yetu kila kitu kinahitaji ubinafsishaji; mfano mdogo sana na chuo kikongwe cha Dar es salaam. Mwezi wa pili tuliona wanafunzi wakilalamika hadi kutaka kuandamana ndipo wakatoa vyeti. Leo tena kampuni yetu inafanyisha usahili wanafunzi wa UDSM wanakuja na matokeo. Ukiuliza wanakujibu...
  5. Mohamed Said

    Waliochangia Ujenzi wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam

    MWINYIMBEGU ( MWINYI) DIBIBI si jina geni masikioni mwa watu wa Tanganyika ya kale na hususan wenyeji wa Upwa wa Pwani ya Tanganyika. Huyu ni Babu yangu ambaye wanamwita kama ni uzao Mkuu ambaye alifanikisha kwa kushinda mapambano ya Uhuru wa Tanganyika katika ardhi ya asili yetu. Miongoni...
  6. Meneja Wa Makampuni

    SoC03 Maajabu ya Kitabu Kidogo cha Ajabu Kinachotawala na Kuwajibisha: Upo Umuhimu Mkubwa wa Kujifunza Somo la Katiba Toka Shule ya Msingi Mpaka Chuo Kikuu

    I. Utangulizi Katiba ni msingi wa utawala bora na demokrasia katika jamii yoyote. Inaamua muundo wa serikali, haki na uhuru wa wananchi, na majukumu ya viongozi. Katika Tanzania, kama ilivyo katika nchi nyingine, Kitabu Kidogo cha Katiba kinachotawala na kuwajibisha ni muhimu katika kuhakikisha...
  7. Donnie Charlie

    Chuo Kikuu cha Iringa chawafukuza wanafunzi zaidi ya 50 kwa kudukua Mfumo wa Malipo ya Ada

    Chuo Kikuu cha Iringa kimelazimika kuwafukuza wanafunzi zaidi ya 50 baada ya kudukua mfumo wa malipo ya ada na kugoma kulipa ada ya kozi ya teknolojia ya habari (IT). Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Ndilirio Urio amesema wanafunzi 256 walifanya udanganyifu wa malipo na Chuo kiliagiza matokeo ya...
  8. Dalton elijah

    Kenya: Safari ya saluni ilivyokatisha uhai wa mwanafunzi Chuo Kikuu

    Familia moja katika Kijiji cha Kabuboni, Kaunti ya Tharaka-Nithi, inapambana kutafuta haki ya binti yao mwenye umri wa miaka 21, aliyeuawa kikatili. Mwili wa Ann Kambura ulikutwa umetupwa kisimani huku mikono yake ikiwa imefungwa kwa nyuma wakati blauzi na sidiria yake vikiwa vimefungwa kwa...
  9. waziridagaa

    Nilivyopata shida baada ya kuhitimu elimu ya chuo kikuu na baade kupata mtaji

    Habari yako mwanajamii, nina imani ulipo unaendelea vema, kama haupo sawa Mungu akutangulie katika jambo lako. Leo nimepata muda wa ku-share vitu nilivyopitia katika maisha yangu. Mimi ni mzaliwa wa Nyanda za Juu Kusini (Songwe -Mbozi) nimesoma shule ya primary Songwe Mwaka 2008 na nikajiunga...
  10. chiembe

    UDSM, Mzumbe wana Business School lakini katika Sakata la Kariakoo wako kimya. Hapa ndio Kishimba huwa anachukua alama

    Hii nchi ina faculty ambazo zinaitwa za biashara, zikiwa na wasomi kedekede, kwa nini hawatoi muda wao kufanya research kwenye maeneo nyeti ya nchi kibiashara? Imagine, eneo linalokusanya Kodi karibu 150 billions kwa mwezi, Chuo Kikuu hakijichimbii kufanya tafiti au monitoring. Wao wanamjua...
  11. VUTA-NKUVUTE

    Waziri Mkenda, kiokoe Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwa kusimamia kauli yako

    Nakuandikia Waziri wangu wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda, Mnamo mwezi Disemba, 2022 wewe Mhe Waziri ulitoa kauli: Waziri Mkenda: Ajira ya Chuo Kikuu isiwe kuangalia GPA pekee lazima wapimwe, wafanye na usaili. Mimi ni mstaafu chamani na Serikalini. Pamoja na kwamba nami pia nimehitimu Chuo Kikuu...
  12. 44mg44

    Kulinganisha Simba na Yanga ni sawa na kulinganisha mwanafunzi wa chuo kikuu na alifeli form two

    Yanga ni mwanafunzi aliefeli form two baada ya kushindwa kufikisha "D" mbili katika masomo yake,na ikabidi arudie darasa Tena kwa Mara ya pili, hii inajidhihirisha baada ya kufeli vibaya kweny lig ya mabingwa Africa. Simba yeye ni mwanafunzi aliepass vizuri masomo yake na Yuko chuo kikuu...
  13. JanguKamaJangu

    Makao Makuu ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kuhamia Dodoma

    Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Prof. Elifas Tozo Bisanda, ametanabaisha ya kwamba makao makuu ya OUT yanatarajiwa kuhamia jijini Dodoma baada ya kupata eneo na fedha kutoka serikalini kupitia mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET). Prof. Bisanda, ametanabaisha...
  14. choza choza

    Sifa za kujiunga Chuo Kikuu

    Nimeshangaa katika pitapita zangu nimeona cheti cha mtu cha Advance katika masomo 3 ya combination ana DDF, halafu yupo chuo kikuu anasoma degree. Serikali ifute kigezo cha D mbili, ama katika hizo D mbili iwepo na sifa nyingine kwamba hupaswi kuwa na F kwenye somo lolote kati ya masomo matatu...
  15. Hot bird

    DOKEZO TCU na TAKUKURU itazameni rushwa iliyotawala Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA)

    Ninaandika mambo haya kwa masikitiko kutokana na mustakabali wa elimu ya nchi inavyoharibiwa na baadhi ya viongozi kutojali. Leo nitatoa habari za hali ya rushwa na kutojali ubora wa elimu iliyotawala SUA, hiki ni chuo kikuu kilichopo hapa Morogoro, chenye kampasi kuu Magadu na kitivo kingine...
  16. Z

    Kama lugha ya kufundishia sekondari na Chuo Kikuu ni Kiingereza basi na shule zote za msingi iwe Kiingereza

    Shule ya msingi kwa lugha nyIngine tungeiita Foundation school.Tunaweka msingi kweli. Kama lugha ya kufundishia sekondari ni Kiingereza sioni sababu kwa nini lugha ya kufundishia shule ya msingi isiwe Kiingereza. Watoto wanaotoka kwenye shule ambazo siyo mchepuo wa Kiingereza ( English...
  17. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ritta Kabati aeleza namna Rais Samia anavyowajali wanafunzi wa Vyuo Vikuu

    MBUNGE MHE. DR. RITTA KABATI AWAPA SOMO WANAFUNZI CHUO KIKUU, AELEZA NAMNA RAIS SAMIA ANAVYOWAJALI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa, (CCM) Mhe. Dkt. Ritta E. Kabati @dr.rittakabati amewataka wanafunzi wa Vyuo Vikuu kujikita katika masomo yao wawapo vyuoni na kuacha mambo ambayo yatapelekea...
  18. B

    Tundu Lissu: CCM niliachana nayo nilipojiunga chuo kikuu

    14 February 2023 TUNDU LISSU AIBUA MAPYA - ''VYUMA VIMEKAZA, CCM NILIACHANA NAYO NILIPOJIUNGA CHUO KIKUU GLOBAL TV imefanya mahojiano maalum na Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ambaye amezungumza mengi juu ya muelekeo wa hali ya kisiasa nchini akigusia vyama vya siasa, katiba mpya...
  19. Mama Edina

    Una ndoto ya kwenda kusoma Chuo kikuu Cha Harvard? Fanya haya

    Uwe na IQ ya kutosha maana Harvard si pa mchezo kama udsm...Hapana. Pale Harvard Kuna wakati IQ yako haifai chochote. Haijalishi una IQ ya 125, 135, 145, 155, 165, au 175. Vyuo vikuu vya wasomi vinataka kusajili wanafunzi walio na rekodi za mambo ambazo zinaonyesha kuwa wao ni aina ya watu...
  20. Almalik mokiwa

    Uchambuzi wa Hotuba ya Kenani Kihongosi Chuo Kikuu Mzumbe (Morogoro)

    Anaandika Almalik Mokiwa Tarehe 4/02/2023 katibu mkuu wa vijana UVCCM, Kenani Kihongosi alitembelea chuo kikuu Mzumbe kuzungumza sera na itikadi za chama cha mapinduzi (CCM) Waliohudhuria walikuwepo wanachama wa CCM na wasio wanachama. Nilikuwepo kujifunza nikiwa kama muumini wa "Nyutro gang"...
Back
Top Bottom