computer

  1. Tunatengeza Computer aina Zote

    Tunatengeneza Computer aina zote Motherboard Repair (Chip Level ). Wasiliana nasi sasa popote ulipo tutakufikia tutakuhudumia.Ushauri kwetu ni Bure... Pia tunahuduma ya On-call Support kwa msaada wa haraka na uhakika +255 746 494 637 Call+Whatsapp. Common Computers problems we can fix...
  2. Jifunze Computer na ujuzi ujiajiri

    JIFUNZE SOFTWARE ZA UCHORAJI VITU KAMA RAMANI ZA NYUMBA, BARABARA , RELI N.K TUNAFUNDISHA SOFTWARE ZIFUATAZO 1.AUTOCAD 2.ARCHICAD 3.CIVIL 3D 4.REVIT ARCHITECTURE 5.EPANET 6.PROKON 7.PROTA 8.MASTERSERIES JIFUNZE UJIAJILI , PESA YAKO ITARUDI KWA PROJECT MOJA TU WASILIANA NASI KWA SIMU 0767 267...
  3. Kozi nzuri ya computer

    habari.. Wadau kuna dogo amemaliza form 4 anadai anataka kusomea kompyuta.je ni kozi gani nzuri(inayoenda na upepo wa ajira kwa sasa) asanteni..
  4. Msaada kwa watumiaji wa computer au walio somea information and technology ( IT)

    Habari wana jukwa kama nilivo eleza apo juu mim ni mtumiaji wa computer ila sina utundu nayo sana kwa undani baada yakununua yangu nina kama miezii sita ivi natumia sana san kwa matumizi ya mtandaoni pamoja na kujisomea coz napenda kusoma san mtandaoni. 1;je application gani nizamuhimu kuwa...
  5. Je, Apple kuanza kutumia processor za ARM kwenye computer zao ndiyo mwanzo wa kuanguka kwa intel?

    Kwa miaka mingi intel amekuwa ndiye kinara wa processors inapokuja suala la Desktop Computers. Kuna kipindi intel alikuwa anashikilia zaidi ya asilimia 75 ya market share ya processor za computer. Lakini kuna hatari mambo yakabadilika. Toka ujio wa smartphones ambazo zinatumia processor zenye...
  6. T

    Kazi ya Computer application

    Anahitajika mfanyakazi awe mwanamke umri kati ya miaka 26 hadi 35 kwa ajili ya kazi ya computer application Mwenye cheti cha certificate au Diploma ya Information Technology, computer science, computer application au course yoyote ya computer. Mshahara Tsh 200,000 kwa mwezi Awe anatokea...
  7. Usilalamike unaibiwa, jifunze kubana matumizi ya kifurusshi cha data kwenye computer yako

    "Yani nimejiunga kifurushi cha gb 1 baada ya dakika 5 kimeisha, makampuni ya simu wezi" Hizo ni baadhi ya kauli za watu wanaodhani wanaibiwa bila kujua kwamba lawama zipo upande wao Computer zetu hizi za windows zimetengenezwa katika namna ya kwamba endapo kutakuwa kuna updates basi zitaji...
  8. Naomba msaada wako natafuta kazi Bsc Computer Science

    thread closed
  9. Tanzania mbioni kuwakabidhi mgodi Waaustralia wachimbe madini yanayounda vifaa vya computer na simu. Huku watanzania wakiwa hawana ujuzi wowote

    Tanzania is in the final stages of approving a permit for the country’s first rare earths mine to Australian company Peak Resources Ltd. as the government seeks a bigger share of revenue from natural resources. The state is also finalizing a gold-mining license for another Australian company...
  10. How to see the wifi password is connected on the computer and phone

    Instructions to view Wifi passwords saved on Windows / Mac OS / Linux computers, and on mobile phones using Android and iOS. When you ask for the Wifi password and connect successfully, the computer will automatically connect for the next time. On a beautiful day you want to see the password to...
  11. Naweza nikasoma Computer Engineering baada ya kuhitimu IT ngazi ya cheti?

    Kiukweli napenda sana kusoma Computer Engineering kutoka moyoni ila sikuweza kusoma sayansi o-level pia sikuweza kupata ufaulu mzuri nilipohitimu kidato cha nne. Nimepata D - 5 zote za Sanaa. Swali langu naweza nikasoma Computer Engineering baada ya kuhitimu IT ngazi ya cheti.
  12. Ugunduzi 2020: Badala ya simu moja au computer moja kuwa na betri moja sasa ziwe mbili au tatu ikiisha moja inaanza nyingine

    Nimewaza na kuligundua hili simu ikiwa na betri mbili au tatu zilizopunguzwa ukubwa ili zitoshe itakuwa safi hata wakigundua betri inayokaa siku nzima lakini zikiwa tatu maana yake ni siku tatu. Wanasheria nisaidieni ugunduzi wangu kampuni itayoanza kuzalisha wanigaie kiasi iwe...
  13. Computer yangu haiwaki

    Kwema wakuu. Naombeni msaada computer yangu ,Ilizima ghafla Jana wakati ninaangalia movie . Nikichomeka Kwenye socket plug ..inawaka button ya Turn on/off Ila system haipokei power ...fan hazirotate.. Hakuna kinachofunction . Chief-Mkwawa
  14. Computer Programmers Only: Ifahamu Application ya kubadilisha maandishi yasieleweke kwa ajili ya kuficha kilichoandikwa (cipher)

    Application hii nimeitengeneza ikiwa ni sehemu ya mazoezi ya kujifunza programming. Kwa watu wenye idea ya mambo ya cryptology watanielewa zaidi.Cipher ni maandishi ambayo yamebadilishwa ili yasiweze kueleweka ili kuficha kile kilichoandikwa. Mtu anaweza kuona maandishi haya ya mficho lakini...
  15. Software ipi nzuri kuhifadhi data na kurestore data pale computer inapocorruot ama window ku espire??

    Wakubwa, Natafuta software kwa ajili ya kuhifadhi data zikae kama mafile ya aina zote yakae humor ili siku labda PC vitu vikifutika bahati mbaya ama nikipiga window niitumie hiyo kurestore vitu vyote vya mwanzo kama kawaida. Natumia window 7 32 bit system. Pia nikiwa narestore data zote iwe...
  16. Mac Apple na Laptop nyingine zimewasili na ofa ya software ya exportation analysis

    Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei ya e-bay ,wewe utatulipa gharama za kukusafirishia hadi Tanzania. Kwa sasa tumeleta computer za kipekee, chache aina...
  17. Mtu wa computer science anaweza kujisajili na bodi ya ma-engineer upande wa computer engineer?

    Naombeni kujua wakuu. Je kama mtu amesoma computer science anaweza kujisajili na bodi ya ma engineer kwenye upande wa computer engineer?
  18. JOB: Computer Aided Design Designer

    Computer Aided Design Designer Estim Construction Co. Ltd. Company Location Dar es Salaam, Dar es Salaam, Tanzania We are looking for a qualified Civil Engineer/Software Engineer with 2-5 years of experience in Civil Earthworks design. They need to be proficient in Autodesk Infra...
  19. UHITAJI WA FUNDI WA COMPUTER DODOMA MJINI

    Ninawasalimka ndugu wajumbe. Ninatafuta mtaalamu wa Kompyuta kwa Dodoma. Komyuta yangu imekuwa na changamoto inapowashwa hai-display chochote. Kama yuko fundi humu kwa upande wa Dodoma tunaweza kuwasiliana PM, ikiwa kuna mtu anamfahamu fundi mikini nitashukuru kupata mwongozo tafadhali!
  20. E

    Ninatoa ushauri wa bure wa mambo ya Tehama

    Je, una swali kuhusu mambo ya computer? ama Tehama kwa ujumla yani (Information Technology?). Basi naomba nikukaribishe iwe maswali kuhusu printer, computer gani nzuri?, Naweza kufanyaje kwa ajili ya suala fulani? . Mambo ya website mambo ya mitandao ya jamii. Nitafurahi sana kuona maswali yako!.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…