Habari wana JF.
Nauza Gaming PC yangu Mashine pamoja na Monitor ya LG, keyboard na mouse. Unaweza itumia kwa shughuli mbali mbali za production kama Video Editing, Photo Editing, VFX, 3D Animation, Rendering, etc. Iko very powerful. Specifications hizi hapa chini.
Gaming Desktop Computer...