Wakuu me so mjuzi wala, mzoefu wa computer na kutumia natumiaga kucheki movie, Na game, sasa kuna jamaa anauza computer aina ya Dell, lakini nilivo icheki ndani inatumia Window 7 XP, afu aiwezi kusoma CD Za DVD, Na mlango wake Ni mfumo, wa zamani hata kubadirisha uweke unao weza kusoma, DVD...