Wakuu njia yangu ina rafu rodi kama km 7 baada ya hapo ni lami safi, kipato changu cha kawaida, safari yangu kwenda na kurudi home ni km 110, kati ya hizo, Corona,Carina Ti na Allex nichukue ipi?
Kipimo ni uvumilivu rafu road, ulaji kidogo mafuta, uimara wa gari, upatikanaji spea.
Imekuwa kawaida kwa mawimbi ya hii ngwengwe kukatiza duniani mwishoni mwa mwaka kuelekea mwanzoni mwa miaka mipya.
Rejea historia, mengi yanajiongelea menyewe.
Tayari nchi kadhaa zikiwamo India, Japan na Marekani zimechukua tahadhali na wasafiri ndugu zetu damu damu kutokea pande za China...
Hivi serikali kwa kimya chetu mnadhani mmetushawishi? Hivi hata haya siyo ujanja ujanja wenu usio kubalika?
1. Malipo ya shule vyuo vikuu tunakolipa kupitia loan board 100% + interest. Kwa maana vyuo vya umma havina tofauti na vyuo binafsi.
2. Malipo ya hospitali ambapo dawa, kumwona daktari...
Wiki mbili zilizopita, ghafla nilipata homa kali na maumivu makali mwili mzima. Mke wangu alikwenda katika maduka mbalimbali ya dawa karibu na nyumbani kwetu ili kutafuta dawa, lakini alirudi mikono mitupu. Siku mbili baadaye, mimi, mke wangu pamoja na mtoto wetu sote tulipatwa na virusi vya...
Ni kama watu wanajaribu kujisahaulisha Ugonjwa wa Corona. Jamani Covid 19 ipo na inaua. Tuchomeni Kinga na tusisahau kuvaa barakoa sehemu zenye mikusanyiko.
Serikali kwa upendo iliamua kusambaza chanjo. BURE KABISA. watu wanaonekana kujisahaulisha jinsi Covid 19 inavyoua. Tumeona watu...
Kwa wale waliomdhihaki Magufuli kuhusu chanjo ya Corona (planndemic disease) hii inawahusu,mkaleta ujuaji mkajidai mmesoma mnajua sana kuliko Rais wa nchi mwenye taarifa lukuki 🥺
⚫Poleni sana
Magonjwa ya ajabu ajabu yanapiga watu huko, infertility, heart attacks,blood pressure.
"Msidhani kua...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limezitaka Nchi mbalimbali kuendelea kuchukua hatua za kupambana na Ugonjwa wa UVIKO19 kwa kuwa takwimu za maambukizi zimeshuka kwa kiwango cha chini kuliko wakati wote tangu Machi 2020.
Mkurugenzi Mkuu wa WHO, Tedros Adhanom Ghebreyesus licha ya kutotaja namba...
Rais ameiagiza wizara hiyo kufanya tathmini ya hali ya ugonjwa wa UVIKO-19 nchini na kutoa utaratibu kama bado kuna haja ya wananchi kuendelea kutumia barakoa.
Amesema “Inaonyesha watu wamechoka nazo, niwaombe sasa Wizara ya Afya waangalie mwenendo huu tunaokwenda nao, lakini watathmini hali...
Dadake atoa tamko na kusema kiongozi huyo sasa yupo imara baada ya kuugua na kwamba watalipiza kisasi kwa Korea Kusini maana wanasema ni mchezo ulikua umechezwa kiaina fulani hivi.........
SEOUL (Reuters) -North Korea's Kim Jong Un declared victory in the battle against COVID-19 on Thursday...
Korea Kaskazini imetangaza kuwa inatarajia kutumia madaktari wa jeshi lake katika kupambana na maambukizi ya Virusi vya Corona katika Mji wa Pyongyang.
Agizo hilo limetangazwa na Kim Jong Un ambaye ni Kiongozi wa Korea Kaskazini ikiwa ni siku chache baada ya maambukizi kuzidi kusambaa Nchini...
Watu husema kuwa uongo ukisemwa mara nyingi watu huanza kuamini huo uongo kama ukweli!! Hivyo ndivyo ilivyotokea wakati mawakala wa corona wakitaka kupiga pesa kupitia biashara ya barakoa walipouaminisha ulimwengu kuwa, kuvaa barakoa kutamlinda mvaaji na maambukizi ya corona!
Cha ajabu hata...
Katika hili sitakuwa mnafiki kama nitapongeza sekta ya afya.Sitakuwa mnafiki kama nitampongeza mama kwa kuupiga mwingi.
Leo kuna taarifa inasambaa mitandaoni kuwa Taasisi ya utafiti ya maswala ya tiba yaani NIMR wanaendelea na utafiti wa chanjo ya covid 19.hili ni jambo jema sana na linapaswa...
Janga la covid19 lilishika kasi hapa kwetu Tanzania mwanzoni mwa mwezi wa nne 2020 hapa ndio tahadhari zikaanza kuwekwa na serikali ikiwemo mikusanyiko na uvaaji wa barakoa.
Wakati janga hili linashika kasi, kampuni ambayo nilikuwa naifanyia kazi mkataba wangu wa kazi ndio ulikuwa ukingoni...
Sasa dharau kwa mh.Rais wa JMT ,Bibi Samia Suluhu Hassan zimevuka mipaka.
Mh.Rais akiwa ziarani mkoa wa Arusha amelalamikia watu ktk mitandao wakimtuhumu kwa kumuambukiza virus vya Corona makama wa rais wa nchi ya Marekani Bibi Kamala Harris alipokutana naye alipokwenda Marekani kwa ziara ya...
Hiki hapa ni kipande kifupi cha video kutoka kwenye filamu ya Royal tour ambapo Samia anaulizwa kama Magufuli aliambukizwa Corona na yeye kujibu ndiyo.
Anakiri hilo kwenye sekunde ya 18.
NANUKUU:
Peter: In all honest your predecessor (Magufuli) was not a big friend of Vaccines and of the...
Makamu wa Rais wa USA Kamala Harris tests positive with Corona virus …
=======
(CNN)Vice President Kamala Harris tested positive for Covid-19 on Tuesday after returning from a weeklong trip to California.
"Today I tested positive for COVID-19. I have no symptoms, and I will continue to...
Hii isidingo ya corona mbona kama vile imefika tamati bila wadau kupewa taarifa rasmi?
Zile mbwembwe za machanjo na mabarakoa zimeishia wapi?
Ati ooh watu watakufa kama kumbikumbi sijui nini! Kiko wapi?
Bado kitambo kidogo tutajua tu ukweli wa hii movie ya kihindi.
Siku hizi sioni tena...
Mama Samia amejibainisha kama Rais anayeheshimu utaalamu.
Samia ni tofauti na JPM, JPM japo alisoma sayansi mpaka PhD (kama ni kweli) aliyofundishwa na waalimu wake yote aliyakataa akiwa Rais.
Nyambura Moremi ndiye alikuwa akishughulika na kupima virusi vya corona, na kutoa kwake taarifa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.