corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Candela

    Chanjo ya Covid ni uongo mtupu kwa viongozi wetu

    Siku kadhaa nyuma tuliona viongozi wakichomwa chanjo hadharani. Hivi karibuni nilimpeleka mtu kuchomwa chanjo baada ya kampuni anakofanya kazi kuamuru hivyo. Zoezi lilikuwa likifanyika hadharani na kila mtu akichomwa kwa zamu. Jamaa yangu alilipa pesa na zamu yake ilipofika nesi hakumchoma...
  2. sonofobia

    Kama alivyotuvusha kwenye janga la Corona, na hili la MAFUTA Magufuli angetuvusha!

    Kwenye ishu ya Corona wakati dunia nzima ikijifungia na kufata njia isiyo sahihi kushughulika na janga lile. Baba yetu Magufuli alisimama kama kiongozi akaja na njia ambayo dunia nzima sasa inaifata kwenye kukabiliana na corona. Naamini hata kwenye hii ishu ya mafuta, Magufuli angekuja na njia...
  3. enzo1988

    Sputnik V’s effectiveness for HIV-positives revealed

    Taarifa zinasema kuwa chanjo ya Corona kutoka Urusi (Sputnik V) zinaweza kukupa kinga dhidi ya kirusi cha H.I.V kwa asilimia sabini na tisa (79%)!!!!. Hapa Condom haina ujanja tena, Serikali tuleteeni hii chanjo haraka iwezekanavyo ili yale mambo yetu yawe bila nailoni kwani tumechoka kutumia...
  4. Roving Journalist

    #COVID19 Serikali: Waliopata chanjo ya UVIKO-19 Tanzania ni asilimia 9.81

    Kauli za Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu wakati akipokea chanjo aina ya Sinovac dozi milioni moja kutoka Serikali ya Uturuki, leo Machi 23, 2022. "Kwa niaba ya Serikali chini ya Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tunaishukuru Serikali ya Uturuki kwa kupokea ufadhili...
  5. Analogia Malenga

    #COVID19 Shirika la Afya Duniani (WHO): Vita ya Urusi na Ukraine itazidisha tatizo la Corona

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema vita kati ya Urusi na Ukraine vitazidisha madhara ya COVID-19 kwa kuwa juhudi za kupambana na Corona zinasahaulika. Japo maambukizi yamepungua nchini Ukraine, kuna hatari ya vifo au kuugua sana kutokana na utoaji chanjo kuwa chini. Pia watu milioni 2...
  6. Analogia Malenga

    #COVID19 Kenya yaondoa masharti yaliyowekwa kupambana na Corona

    Wizara ya Afya ya Kenya imeondoa agizo la ulazima wa nchi nzima kuvaa barakoa ikiwa ni mwongozo uliorekebishwa na kutolewa hii leo. Katika agizo hilo jipya, Kagwe amesema karantini ya lazima, na kutengwa kwa kesi zilizothibitishwa za Covid-19 kumesimamishwa mara moja, na kuongeza kuwa wagonjwa...
  7. T

    Kwa speed hii ya ukopaji likitokea janga lingine mfano wa corona hali itakuwaje?

    Nimekaa tu na kujiuliza kama raia wa kawaida kwamba serikali yetu inakopa na inaendelea kukopa, na inaonekana kila inapotokea uhitaji au upungufu wa aina yoyote, ufumbuzi unaowajia viongozi wetu vichwani ni kutafuta mahali pa kwenda kukopa. Huenda wako sahihi kwa sababu wao Wana wataalam na...
  8. S

    Serikali iweke msimamo wake wazi kuhusu chanjo ya Corona

    Naomba serikali iweke wazi msimamo wao kama kuchanja ni lazima au hiyari,kwani hivi sasa kuna mkanganyiko mkubwa kati ya viongozi wa kisiasa ambao wanasema kuchanja ni hiyari lakini huko mahospitalini wagonjwa wanapigiwa hadi simu kwenda kuchanja kwa lazima kwa madai kwamba kuna utafiti mpya...
  9. Suley2019

    #COVID19 Iran yarudisha chanjo za Corona 'zilizotengenezwa Marekani'

    Iran imerudisha dozi 820,000 za chanjo ya virusi vya corona iliyotolewa kama msaada na Poland kwa sababu ilitengenezwa Marekani. Televisheni ya taifa siku ya Jumatatu ilimnukuu Mohammad Hashemi, afisa wa wizara ya afya, akisema kwamba Poland ilitoa takriban dozi milioni moja za chanjo ya...
  10. L

    #COVID19 Serikali ya Tanzania yashirikiana na Kampuni ya China kujenga maabara ya kupima virusi vya Corona

    Februari 18, balozi wa Tanzania nchini China Bw. Mbelwa Kairuki alienda kwenye maabara mpya iliyojengwa na serikali ya Tanzania ili kupima virusi vya Corona huko Dar es Salaam. Hivi sasa maabara hii inafanya majaribio ya PCR na kingamwili. Serikali ya Tanzania imeiajiri Kampuni ya BGI ya China...
  11. Cannabis

    Malikia Elizabeth II wa Uingereza apata maambukizi ya Corona

    Habari za kuthibitishwa kutoka Uingereza zinasema Malikia Elizabeth II amepata maambukizi ya corona. Mpaka sasa taarifa hizo zinasema Malikia huyo ana hali ya homa isiyo kali bila ya madhara mengine na atendelea na majukumu yake madogo madogo. Malikia Elizabeth II amepatiwa dozi tatu za chanjo...
  12. beth

    #COVID19 Ujerumani na Austria zalegeza kanuni za kudhibiti mlipuko wa Corona

    Kansela Olaf Scholz amesema Ujerumani italegeza Kanuni hizo kufuatia Wimbi la Maambukizi kutokana na Kirusi cha Omicron kuonekana kupita kilele chake Hata hivyo, ameonya Mlipuko bado haujaisha Kwa upande wa Austria, Kansela Karl Nehammer amesema Serikali yake italegeza asilimia kubwa za Kanuni...
  13. beth

    #COVID19 Maambukizi ya Virusi vya Corona ulimwenguni yapungua

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Maambukizi vya Virusi vya Corona yamepungua kwa 19% Wiki iliyopita ikielezwa Visa vipya vipatavyo Milioni 16 na Vifo 75,000 viliripotiwa kuanzia Februari 7 hadi Februari 13, 2022. Imeelezwa, aina nyingine zote za Virusi zikiwemo Alpha, Beta na Delta...
  14. Analogia Malenga

    #COVID19 WHO yasema janga la Corona bado lipo na aina zaidi ya virusi vya Corona zitajitokeza

    Mwanasayansi mkuu wa Shirika la Afya Duniani,WHO Soumya Swaminathan, amesema ulimwengu bado haujafikia mwisho wa janga la COVID-19 kwani aina zaidi za virusi vya corona zitaendelea kujitokeza. Swaminathan aliwaambia hayo waandishi wa habari nchini Afrika Kusini, ambako alikuwa ametembelea...
  15. M

    Nikiulizwa Rais Magufuli ametuachia nini kikubwa, nitasema "Ametuachia ujasiri dhidi ya corona", hofu ya corona hakuna kabisa Tanzania.

    Wakati Hofu kuu ilipokuwa imeikumba dunia kutokana na corona, Magufuli alituongoza watanzania kumtanguliza Mungu kwa maombi na Mungu alituponya na kuiondolea mbali kabisa hofu ya corona. Na mawakala wa corona walipotaka kutupandikizia hofu ya corona baada ya kifo cha Magufuli kwa gia ya mawimbi...
  16. Suley2019

    #COVID19 Dar yaongoza kwa visa vipya corona

    MKOA wa Dar es Salaam umetajwa kuongoza kwa idadi kubwa zaidi ya waliothibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa UVIKO-19 ukiwa na wagonjwa wapya 184 kati ya visa vipya 252 vilivyoripotiwa. Visa hivyo vimeripotiwa katika kipindi cha Januari 29 hadi Februari 6...
  17. beth

    #COVID19 Wizara ya Afya: Watu 2,117,387 sawa na 3.67% wamepata dozi kamili ya chanjo dhidi ya Corona

    Kuanzia Januari 29 hadi Februari 6, 2022 visa vipya 252 vya COVID19 vilibainika kati ya watu 8,529 waliopimwa huku Dar es Salaam ikiongoza kwa kuwa na maambukizi 184. Tangu Mlipuko kuripotiwa Machi 2020 hadi kufikia tarehe Februari 6, 2022 jumla ya watu 33,482 (7.6%) kati ya 442,566 waliopima...
  18. beth

    #COVID19 WHO: Corona imeathiri huduma za msingi za afya kwa kiasi kikubwa

    Huduma za Msingi za Afya zikiwemo programu za Chanjo na matibabu ya magonjwa kama UKIMWI ziliripotiwa kuathiriwa kwa 92% katika Nchi 129. Utafiti wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kuhusu athari za janga la COVID-19 uliofanywa kati ya Novemba - Desemba 2021 umeonesha huduma ziliathiriwa kwa kiasi...
  19. Analogia Malenga

    #COVID19 Mawakili 65 wafariki kutokana na Corona

    Chama cha Mawakili wa Tanganyika(TLS) kimeripoti jumla ya wanasheria 65 kufariki kwa kipindi cha kuanzia Machi 2020 kutokana na janga la virusi vya Corona Mratibu wa TLS mkoani Njombe, Innocent Kibadu amesema COVID19 haiishii kuchukua Maisha ya watu bali pia huathiri uchumi wa wanafamilia wa...
  20. Analogia Malenga

    #COVID19 WHO: Corona inaweza kuisha mwishoni mwa 2022

    Mkurugenzi mkuu wa Shirika la afya duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema kwamba corona inaweza kuisha mwishoni mwa mwaka huu iwapo nchi zote duniania zitachukua hatua kabambe za kukabiliana na maambukizi. Kiongozi huyo wa WHO alilkuwa akizungumza kakitaka kikao cha 150 cha shirika...
Back
Top Bottom