corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dam55

    #COVID19 Waziri wa afya wa Uingereza: Corona ni kama mafua tu tutaishi nayo milele

    Waziri wa Afya wa Uingereza @sajidjavid amesema kuwa corona inaweza kuwepo milele hivyo inatubidi tuanze kuiona kama mafua na kujifunza kuishi nayo. Aidha Javid amesema "inasikitisha lakini ni ukweli kuwa kuna miaka mingine huwa tunakumbwa na wimbi la mafua makali sana nayo huwa yanaua watu...
  2. beth

    #COVID19 Ujerumani yarekodi maambukizi mapya 112,323 ndani ya saa 24

    Idadi hiyo ya maambukizi imetajwa kuwa kubwa zaidi kurekodiwa tangu kuanza Mlipuko wa COVID-19, pia Vifo vipya 239 vimerekodiwa kwa mujibu wa Takwimu za Taasisi ya Robert Tech (RKI). Jumla ya Visa ni 8,186,850 huku Vifo kutokana na Corona vikifikia 116,081. Waziri wa Afya, Karl Lauterbach...
  3. W

    #COVID19 Wanafunzi waanza kufaidi madarasa yaliyojengwa kwa Pesa za Tozo na mkopo wa COVID-19

    Wanafunzi wa Kidato cha 1 kwa mwaka wa masomo 2022 ambao wameanza kutumia madarasa mapya yaliyojengwa kutokana na fedha za mpango wa maendeleo kwa Taifa na mapambano dhidi ya Uviko 19. Tukio tukio limefanyika katika Shule ya Sekondari Karibuni ambapo DC Jokate ametumia fursa hiyo kumshukuru...
  4. comte

    #COVID19 Ulaya inaelekea kushusha hadhi ya Omicron Corona kutoka janga kuwa ugonjwa ambao tujifunze kuishi nao

    LONDON — In Britain, France, Spain and other countries across Europe, politicians and some public health experts are pushing a new approach to the coronavirus pandemic borne of both boldness and resignation: that the illness is becoming a fixture of daily life. Governments are seizing a moment...
  5. M

    #COVID19 Kirusi kipya cha Corona, Deltacron chagunduliwa

    Kirusi kipya cha korona kilichotokana na muunganiko wa virusi vya delta na omicron kimegunduliwa huko nchini Cyprus Kirusi hicho kipya kilichopewa jina la Deltacron mpaka sasa kimegundulika kwa watu 25 tu huko Cyprus na bado haijawa wazi uhatari wa kirusi hiki ukilinganisha na virusi vya delta...
  6. M

    #COVID19 Ya mapapai kukutwa na Corona yaibuka upya China

    Katika hali ya kuonesha jinsi Dunia inavyotumia mbinu za yule shujaa wa Afrika kukabiliana na Maladhi yenye utata yaliyopewa jina la Covid19 nchi ya China imefanikiwa kubaini matunda yenye virus vya korona yaliyokuwa yanaingizwa China kutoka nchi ya Vietnam Mpaka sasa supermarket kadhaa...
  7. Analogia Malenga

    #COVID19 Aina mpya ya Kirusi cha Corona kiitwacho IHU chagundulika Ufaransa

    Ufaransa imeripoti aina mpya kirusi cha corona ambacho ni B.1.640.2 au IHU ambacho kina mabadiliko 46 Kama Shirika la Afya Duniani (WHO) litathibitisha uwepo wa kirusi hicho kitaweza kuitwa ' Pi' kwani ndio herufi inayofuata baada ya Omicron IHU kimethibitishwa kwa watu 12 nchini ufaransa...
  8. beth

    #COVID19 Hong Kong yahofia Wimbi la Tano la Corona. Yapiga marufuku ndege kutoka Nchi 8

    Hong Kong imetangaza marufuku ya wiki mbili ya Ndege kutoka Nchi 8 zikiwemo Canada, Marekani, India na Ufaransa kutokana na hofu ya Wimbi la Tano la COVID19 katika Jiji hilo Mbali na marufuku hiyo, Mamlaka zimetangaza kufungwa kwa sehemu za kuogelea, baa, klabu, makumbusho na vituo vya michezo...
  9. Analogia Malenga

    #COVID19 Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi na mke wake Isaura Nyusi wamekutwa na virusi vya corona

    Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi na mke wake Isaura Nyusi wamekutwa na virusi vya corona na wamejitenga kwa sasa. Kwa mujibu wa taarifa kutoka ofisi ya rais Bw. Nyusi na mke wake wameamua kujitenga kwa kuzingatia muongozo wa afya baada ya kupatikana na virusi , ijapokuwa hawakuonesha dalili...
  10. beth

    #COVID19 Afrika Kusini yalegeza kanuni za kudhibiti Corona

    Taifa hilo limeondoa marufuku ya watu kuwa nje kuanzia saa saa sita usiku hadi 10 alfajiri. Vilevile, mikusanyiko ya ndani haitakiwi kuzidi watu 1,000 na ya nje watu 2,000 Pia, Serikali imeashiria kuruhusu uuzaji wa pombe baada ya saa tano usiku, hatua inayotoa ahueni kwa Wafanyabiashara ambao...
  11. beth

    #COVID19 Ufaransa yatangaza kanuni mpya kukabiliana na ongezeko la maambukizi ya Corona

    Kanuni mpya za kukabiliana na ongezeko la maambukizi ya COVID19 yatokanayo na Kirusi cha Omicron zimetangazwa Nchini humo Waziri Mkuu wa Ufaransa, Jean Castex amesema kuanzia Januari 03, kufanyia kazi nyumbani itakuwa lazima kwa angalau siku 3 kwa wiki kwa wale wanaoweza. Mikusanyiko ya ndani...
  12. MK254

    #COVID19 Madaktari 38 wakutwa na COVID-19 Zanzibar

    Chukueni tahadhari, hiki kitu kimebeba hadi marais... ========= Eighty nine people have on December 24 tested positive for Covid-19 including 38 doctors and nurses at Mnazi Mmoja Referral Hospital in Zanzibar. This was said by the hospital's director Dr Marijani Msafiri while briefing the...
  13. sabuwanka

    Wabunge 38 wa Uganda wakubwa na corona baada ya kutoka Tanzania

    Wabunge 38 wa Uganda wakutwa na corona baada ya kutoka Tanzana, Safari ya wabunge wa Uganda zaidi ya 200 na wafanyakazi wa bunge 125 imeingia doa baada ya kurudi kutoka kwenye mashindano ya wabunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki, mjini Arusha Tanzania na kukutwa wana maambukizi ya uviko19. Kwa...
  14. Cannabis

    Kampuni ya Disruptive Subdermals nchini Sweden yatengeneza chip itakayowezesha kuhifadhi taarifa za chanjo ya Corona ndani ya miwili wa binadamu

    Sweden, Kampuni ya DSurptive Subdemals nchini Sweden imetengeneza chip itakayoingizwa mwilini mwa binadamu ili kuweza kuhifadhi na kuhakiki taarifa za muhusika kuhusu kupokea chanjo dhidi ya ugonjwa wa Covid-19. Teknolojia hiyo inatumia NFC, ambayo pia hutumika kwenye mifumo mbali mbali ya...
  15. Vandetta

    #COVID19 Wabunge 38 wa Uganda waliokuwa Arusha wakutwa na Corona, waliobaki waambiwa wajitenge

    Safari ya wabunge wa Uganda zaidi ya 200 na wafanyakazi wa bunge 125 imeingia doa baada ya kurudi kutoka kwenye mashindano ya wabunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki, mjini Arusha Tanzania na kukutwa wana maambukizi ya uviko19. Kwa mjibu wa msemaji wa bunge la Uganda Chris Obore amefahamisha...
  16. J

    #COVID19 Ujerumani yamwaga zaidi ya bilioni mbili kwa Tanzania kwa ajili ya mapambano dhidi ya Corona

    === Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania Mhe. Regina Hess, ameipongeza Serikali ya Tanzania kwa juhudi inazochukua kupambana na ugonjwa wa Uviko-19 ambazo zimezaa matunda kufuatia uwepo wa visa vichache vya ugonjwa huo vilivyorekodiwa wimbi lililopita. Mhe. Hess amesema Serikali ya Ujerumani...
  17. F

    Siasa za Chanjo za Uviko (Politics of Covax)

    Kwakuwa chanjo ni vijidudu vilivyofubazwa nguvu vinapandikizwa mwilini ili viishi na wewe milele, sasa je, nisipochanja Corona alafu mtu aliyechanja akaniongezea damu wakati nilipohitaji damu je, vijidudu vile (chanjo yake) haviwezi kuhamia kwangu kwenye damu yake ile aliyoniongezea na kwamba...
  18. B

    #COVID19 Corona: Baada ya Marekani, kwa Urusi nako "ban" Inatuhusu

    Serikali imekuwa ikijinasibu kuwa hatuna mgonjwa hata mmoja wa variant mpya: Lakini kote kushoto na kulia "ban" zinatuhusu: Russia completely bans travel from Botswana, Zimbabwe, Hong Kong, Lesotho, Madagascar, Mozambique, Namibia, Tanzania, Eswatini and South Africa Ramaphosa tayari...
  19. B

    Vita vya Kiuchumi dhidi yetu, Adui Nani?

    Pichani amenukuriwa akiiongelea tena vita hii tuliyokuwa tunaanza kuisahau: Ikumbukwe kinara wa vita hii alikuwa hayati Magufuli. Bila shaka safari hii hatutaachana gizani, bali tutafikia kufahamishwa mbaya wetu huyo hasa ni nani? Watuonyeshe mbaya wetu. Zikawe ama zake ama zetu!
  20. Kasomi

    #COVID19 Omicron: Maswali matano kuhusu kirusi hatari cha corona

    Mara tu omicron kilipotajwa kuwa aina ya kirusi kipya tarehe 26 Novemba, mjadala kuhusu kiruisi hiki ulichacha kwenye mitandao. Kulingana na ripoti za GOOGLE omicron lilikuwa neno lililotafutwa sana kwenye mitandao. Baada ya kugunduliwa nchini Afrika Kusini kurudi hiki tayati kimeripotiwa...
Back
Top Bottom