corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    #COVID19 Prof. Makubi: Wanasayansi Wazalendo wanakaribia kutengeneza Chanjo ya Corona ya Kitanzania

    Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof. Makubi amesema kama taifa tunakaribia kupata chanjo yetu ya Corona. Prof Makubi amesema wanasayansi wazalendo hawajalala katika utafiti na wako mbioni kutupatia chanjo ya Corona ambayo itakuwa ni ya kwetu wenyewe. Source: ITV habari ============= Katibu...
  2. Cannabis

    Jeshi la Madagascar lavamia hoteli wanayokaa Taifa Stars kwa madai ya kutaka kuwaondoa wachezaji wenye maambukizi ya Corona

    TFF imethibitisha kuwa wanajeshi wa Madagascar, wamevamia hoteli iliyofikia Taifa Stars huko Antananarivo na kukaa kwenye korido ya vyumba vya wachezaji wakiwa na bunduki kabla ya mechi ya kufuzu kwa Kombe la Dunia dhidi ya wenyeji Madagascar. Askari walidai wanataka kuwatoa wachezaji wa Taifa...
  3. I wish i have

    Luck Dube alitabili Corona (Barakoa)

    MZIKI ULINIAJILI... NI KAMA LUCK DUBE ALITABILI CORONA (ALIVAA BARAKOA KWENYE WIMBO WAKE WA THE WAY IT SI)... NA KUKATALIWA NA WAZUNGU. Je, Generation yake inatabili janga gani la Dunia?
  4. beth

    #COVID19 China yakosoa Ripoti ya Marekani kuhusu asili ya Virusi vya Covid-19

    Taifa hilo limesema Ripoti ya hivi karibuni ya Marekani inayosema huenda janga la COVID-19 lilianzia maabara sio ya kisayansi na inakosa uaminifu. China imekuwa ikikataa madai kuwa Virusi vilitokea Maabara katika Mji wa Wuhan ambapo COVID-19 iligundulika kwa mara ya mwanza mwaka 2019...
  5. beth

    #COVID19 Uingereza kutambua Vyeti vya Chanjo ya Corona vya Tanzania kuanzia Novemba 1

    Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, David Concar amesema kuanzia Novemba 01, 2021 Uingereza itatambua Vyeti vya Chanjo dhidi ya COVID-19 vilivyotolewa na Serikali ya Tanzania Hatua hiyo itaruhusu waliopata Chanjo hapa Nchini kusafiri Uingereza bila kukaa Karantini au kulazimika kujitenga...
  6. B

    #COVID19 Hayati Magufuli alificha taarifa ya Vifo vya Corona at our Risk

    Salim Ahmed Salim foundation imetoa mchango wa 100m/- MUHAS kuunga mkono jitihada dhidi ya UVIKO-19. Hatua ya kupongezwa kabisa yenye kustahili kuungwa mkono bila kujali nani haoni umuhimu huo. Hata hivyo wakfu huo wamesema walisukumwa kutoa pesa hizo katika kuyaenzi maisha ya marehemu mke wa...
  7. Miss Zomboko

    Rais wa Brazil kushtakiwa kwa makosa ya Uhalifu Dhidi ya Binadamu

    Brazil's president will be accused of a series of crimes over his handling of the country's COVID-19 pandemic, a draft of a major inquiry report says. The report is the culmination of a six-month inquiry that has revealed scandals and corruption in government. President Bolsonaro has been...
  8. beth

    #COVID19 WHO yasema inaweza kuwa nafasi ya mwisho kubaini asili ya Virusi vya Corona

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Timu yake mpya iliyoundwa kubaini asili ya Virusi vya Corona linaweza kuwa fursa ya mwisho kupata majibu hayo, huku ikisisitiza China kutoa Data za Visa vya mwanzo Mapema mwaka huu timu iliyoongozwa na WHO kwa kushirikiana na Wanasayansi wa China ilisema...
  9. beth

    #COVID19 Urusi yarekodi vifo 984 ndani ya saa 24 zilizopita

    Urusi imerekodi idadi kubwa ya vifo vinavyotokana na Virusi vya Corona kwa siku ya pili mfululizo. Nchi hiyo inakabiliwa na Wimbi la maambukizi na vifo, hali iliyopelekea Serikali kuamuru kasi ya utoaji Chanjo kuongezwa. Vifo 984 vimerekodiwa leo na idadi hiyo ni kubwa zaidi ndani ya siku moja...
  10. beth

    #COVID19 Ripoti: Wabunge wakosoa namna Serikali iliyoshughulikia janga la Corona mwanzoni mwa mlipuko

    Katika Ripoti iliyotolewa leo, Wabunge wameikosoa Serikali kwa namna ilivyoshughulikia mlipuko wa CoronaVirus katika hatua za mwanzo, ikisema ilishindwa kuchukua hatua za haraka na kupelekea maambukizi na maelfu ya vifo. Vilevile Ripoti hiyo imesema kulikuwa na nia ndogo ya kujifunza kutoka kwa...
  11. Pascal Mayalla

    #COVID19 Leo ni siku ya Afya ya Akili, Je Watanzania tutumie chanjo ya Corona kama kipimo cha utimamu wetu?. Wapinga chanjo, sio wazima! Je ni vichaa?

    Wanabodi, Leo October, 10 kila mwaka ni siku ya Afya ya Akili, kuna ule utafiti, ulioonyesha kuwa kwenye kila Watanzania 4, mmoja ana tatizo la Afya ya akili. Matokeo ya utafiti huo, umerudiwa leo asubuhi kwenye TBC na daktari mmoja Mtaalamu wa Afya ya akili kwenye mahojiano ya kipindi cha...
  12. Analogia Malenga

    Safari zimemfanya Tyson apate chanjo ya Corona

    Gwiji wa ngumi za kulipwa, Mike Tyson amepata chanjo dhidi ya ugonjwa wa virusi vya corona, Covid-19, lakini amesema hakufanya hivyo kwa hiari akieleza kuwa umuhimu kusafiri ndio umemlazimisha. "I didn't do it willingly," Tyson alisema bondia huyo mwenye miaka 55 akikaririwa na tovuti ya...
  13. M

    #COVID19 Hadi 07/10/2021 wananchi wa Marekani waliochanja ni 65%. Lakini maambukizi mapya ni 102,000 na vifo kwa jana ni 1,709!

    Hapo ndkpo mjue hii chanjo ya corona haisaidii kitu. Marekani ni moja ya mataifa ya kibeberu yaliyofanikiwa kuchanja zaidi ya asilimia 60 ya watu wake. Kiwango hicho kinadharia kinapaswa kuikinga jamii na maambukizi mapya kwa kuleta kitu kiitaacho "herd immunity", Lakini kwa corona hakuna...
  14. beth

    #COVID19 Uingereza yaiondoa Tanzania kwenye 'red list'

    Tanzania ni miongoni mwa mataifa yaliyoondolewa katika orodha ya Mataifa hatari kwa maambukizi ya Corona. Serikali imesema orodha hiyo imepungua kutoka Nchi 54 hadi 7 Waziri wa Usafirishaji, Grant Shapps amesema mabadiliko hayo yataanza Jumatatu (Oktoba 11, 2021) Hatua hiyo inamaanisha...
  15. beth

    #COVID19 IMF: Uchumi wa Dunia umeendelea kuathiriwa na Corona

    Mkuu wa Shirika la Fedha (IMF) Kristalina Georgieva ameonya kuwa Uchumi wa Dunia umeendelea kuathiriwa na janga la Virusi vya Corona Amesema kikwazo kikubwa ni mgawanyo wa Chanjo kati ya Mataifa tajiri na masikini, na kwamba katika miaka 5 ijayo Uchumi unaweza kuathiriwa kwa kiasi kikubwa ikiwa...
  16. F

    #COVID19 The following countries of the world have no record of Coronavirus

    The following countries of the world have no record of Coronavirus:- Kiribati Marshall Islands Micronesia Nauru North Korea Palau Samoa Solomon Islands Tonga Turkmenistan Tuvalu Vanuatu SOURCE: AL JAZEERA
  17. Suley2019

    #COVID19 Simiyu: Itilima yamaliza dozi za corona ilizopewa

    Itilima yamaliza dozi za corona ilizopewa. Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, imefanikiwa kumaliza dozi zote za chanjo 3,320 za Covid -19 ambazo ilipewa na Serikali kwa ajili ya kuwachanga wananchi wa wilaya hiyo ili kujikinga na ugonjwa huo. Mkuu wa Wilaya hiyo, Faidha Salim amethibitisha hayo...
  18. J

    #COVID19 Fahamu masuala mbalimbali kuhusu chanjo ya COVID-19

    Wizara ya Afya imetoa ufafanuzi wa kina kuhusu masuala mbalimbali yahusuyo chanjo ya COVID-19. Tazama uone namna chanjo inafanya kazi na masuala mengine muhimu. Je, Vijana wanaweza kulazwa kwa Covid-19 DKT. ISAAC MARO: VIJANA HUWEZA KULAZWA AU KUFARIKI KWA #COVID19 Daktari Isaac Maro...
  19. beth

    #COVID19 Tanzania kupokea dozi milioni 2 za chanjo aina ya Sinopharm

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi Milioni 2 za Sinopharm kutoka Nchini China. Kwenye chanjo hiyo, mtu atapokea dozi mbili tofauti na Johnson & Johnson ambayo inachomwa mara moja Akizungumza kutoka Mkoani Singida, Msigwa ameeleza kuwa idadi ya...
Back
Top Bottom