corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Memento

    #COVID19 Watakaochanja chanjo ya Corona kesho kuingia bure uwanja wa taifa, hii sio siasa?

    Wizara ya Afya kesho watatoa tiketi za bure za mechi ya Simba na Yanga kwa wale watakaokubali kuchanja siku ya kesho. Kwanza kabisa naipongeza Wizara ya Afya kwa ubunifu huu, ila kuna jambo litaonekana haliko sawa. Chanjo ya corona ikiendelea kuwekewa zawadi hizi ni kutengeneza zaidi mashaka...
  2. beth

    #COVID19 UNGA: Afrika yaeleza ukosefu wa usawa chanjo za Corona

    Viongozi wa Afrika wameelezea ukosefu wa usawa katika usambazaji wa chanjo za Covid-19, wakati walipohutubia kikao cha 76 cha Baraza kuu la Umoja wa Mataifa, mjini New York. Katika hotuba yake ya kwanza kwa Baraza kuu la Umoja wa Mataifa, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema ukosefu wa...
  3. E

    #COVID19 Corona ni ugonjwa halisi

    Corona, au uviko ni ugonjwa halisi na upo duniani kote hadi sasa umeingia hadi Alaska nchi zenye baridi sana. Magonjwa yote yatokanayo na virusi hukabiliwa(huzuiwa) na Chanjo (vaccine) tangu enzi za Nuhu. hakunaga anti-virus kama vile Anti-biotics ambazo huuwa Bacteria. Baadhi ya magonjwa...
  4. Slowly

    Hii Corona ifikie hatua tusibebeshane mzigo

  5. beth

    #COVID19 WHO: Maambukizi na vifo vya Corona vyapungua

    Shirika la Afya Duniani, WHO limesema idadi ya wagonjwa na vifo vitokanavyo na COVID-19 vimeendelea kupungua ulimwenguni katika wiki iliyopita. WHO imesema leo kuwa zaidi ya visa milioni 3.6 na chini ya vifo 60,000 vimeripotiwa kati ya Septemba 13 na 19. Kupungua kwa kiasi kikubwa cha visa...
  6. Fundi Madirisha

    Polisi acheni kutumika kisiasa kuwalinda CCM, Corona ipo Upinzani tu, CCM hakuna?

    Nina mashaka kabisa kama kweli tuna jeshi la polisi hapa Tanzania kama siyo sehemu ya chama cha mapinduzi. Kwa sasa polisi bila haya wanatumika kisiasa kuilinda na kuitetea CCM huku wakikandamiza vyama viingine vya kisiasa. Kama CCM wanakagua utekelezaji wa Ilani yao, ni kazi ya upinzani pia...
  7. hermanthegreat

    Nick Minaj amekataa kuchanjwa chanjo ya Corona

    Msanii au rapper maarufu duniani Kwa jina la Nick minaji amegoma yeye na familia yake kupatiwa chanjo ya Korona. Source: Twitter.
  8. beth

    #COVID19 Urusi: Rais Putin ajitenga baada ya wasaidizi wake kupata Corona

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin anajitenga kama tahadhari baada ya Wasaidizi wake wa karibu kuugua Ugonjwa wa COVID19. Imeelezwa, Rais huyo mwenye miaka 68 hana maambukizi. Kwa mujibu wa Ikulu (Kremlin) Putin kwa kushirikiana na Wataalamu alifikia uamuzi wa kujitenga baada ya kukutana na Rais wa...
  9. S

    #COVID19 Wizara ya Afya isiache ukutoa mrejesho wa chanjo ya Johnson&Johnson

    Tunaomba wizara ifanye yafatayo 1. Itoe ratiba nzuri na itoe orodha ya vituo vya kutolea huduma maeneo ya vijijini. 2. Wizara ituambie J&J iliyoingia nchini inamaliza lini mda wake wa matumizi maana sasa ni mda ila taarifa za kuwa lini chanjo hiyo itamaliza mda wa matumizi haijatolewa. 3...
  10. beth

    #COVID19 Afrika Kusini kulegeza kanuni za kudhibiti janga la Corona

    Rais Cyril Ramaphosa amesema Kanuni zilizowekwa kudhibiti mlipuko zitalegezwa kuanzia leo Septemba 13, 2021 kutokana na maambukizi kupungua. Amesema japokuwa Wimbi la Tatu ambalo limechochewa na Kirusi cha Corona aina ya Delta halijaisha, Taifa hilo limeshuhudia maambukizi yakishuka katika wiki...
  11. maatope

    Mkuu wa Mawasiliano wa Rivers Utd ashambuliwa Dar, wachezaji watano waliokutwa na corona waahidi kisasi

    Yes msemaji wao alipigwa na kitu kisichojulikana na wachezaji wao watano wa kikosi cha kwanza walikutwa na corona masaa mawili kabla ya mechi ingawa siku tatu zilizopita walipimwa mara mbili na kukutwa NEGATIVE. WAPOPO wameahidi REVENGE ya kutisha huko river state kwamba utopolo players kumi...
  12. M

    Wachezaji Nyota 3 wa Rivers Plate Walizuiwa kucheza kwa Siasa za Corona

    Masaa mawili kabla ya mechi ya leo .wachezaji 3 tegemeo wa Timu yw Nigeria walizuiwa kucheza . Kisingizio ni Covid. Yanga mjiandae kwa shughuli kamamlioifanya kwa Mkapa leo!
  13. Hardlife

    TANZIA Zacharia Hanspope, Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba afariki Dunia kutokana na Covid-19

    Aliyekuwa mjumbe wa bodi ya wakurugenzi ya Simba, Hans Pope amefariki usiku huu katika Hospitali ya Aga Khan alipokuwa akipatiwa matibabu. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya UVIKO-19 na alinukuliwa na kituo cha E-FM akisema alikuwa ICU akipambana na maradhi hayo. Marehemu Hanspope...
  14. M

    Kwa Mbumbumbu mnaojitoa ufahamu na kudai kupinga chanjo ya corona ni "uharibifu" uliofanywa na serikali ya awamu ya 5. Cheki hapa!

    Nyomi hii ya maandamano ya kupinga corona mjini London Uingereza. Sipuka Ndugayi waite na hawa kwenye kamati ya maadili!! Waliharibiwa pia na JPM!! Watu wanafiki wanatia kichefuchefu sana!! Alipokuwepo ndio walioongoza hoja ya kuvunja katiba ili aongezewe kipindi cha kutawala zaidi ya miaka 10...
  15. M

    #COVID19 Nyomi ya maandamano kupinga chanjo nçhini Uingereza: Kwa wale mbumbumbu wanaodhani upinzani wa chanjo ya corona upo TZ tu!!

    Kuna watu wa ajabu sana ambao hudhani kuwa watu wanaopinga chanjo ni watu wa hapa Tz tu "walioharibiwa" na uongozi wa awamu ya 5! Watu wakipinga chanjo lawama anatupiwa marehemu, eti aliharibu sana watu!! Inabidi watu waelewe kuwa upinzani wa chanjo ya orona upo duniani kote!! Ona nyomi hii ya...
  16. Sam Gidori

    #COVID19 Zimbabwe: Wafanyakazi wote wa Serikali watakiwa kupata chanjo, la sivyo wajiuzulu

    Wafanyakazi wa Serikali nchini Zimbabwe wametakiwa kupata chanjo ya COVID-19, vinginevyo wametakiwa kujiuzulu. Waziri wa Katiba wa Nchi hiyo, Ziyambi Ziyambi amekiambia kituo cha Redio cha Kibinafsi nchini humo, ZiFM Stereo, kuwa Wafanyakazi wa Umma wana wajibu wa kuwalinda wengine dhidi ya...
  17. Analogia Malenga

    #COVID19 Vietnam: Afungwa miaka mitano kwa kusambaza Virusi vya Corona

    Mwanaume mmoja huko Vietnamese amehukumiwa kifungo cha miaka mitano gerezani kwa kosa la kukiuka masharti dhidi ya kujikinga na Covid-19 na kusambaza virusi vya Corona. Mahakama imemkuta na hatia bwana Le Van Tri kwa kusambaza maambukizi ya ugonjwa hatari kwa watu nane , ambapo mmoja tayari...
  18. Lady Whistledown

    #COVID19 Imani Potofu na Ukweli Kuhusu Chanjo ya COVID19

    Chanjo ya COVID-19 inaweza kuathiri uzazi wa wanawake Chanjo ya COVID-19 haitaathiri uzazi. Ukweli ni kwamba chanjo ya COVID-19 inahimiza mwili kuunda nakala za protini ya spaiki inayopatikana kwenye uso wa coronavirus. Hii "inafundisha" kinga ya mwili kupambana na virusi ambavyo vina protini...
  19. U

    #COVID19 Covid-19 hii ni vita ya kiroho zaidi kuliko ya kimwili

    Kuna kitu hapa, hii ni vita ya kiroho zaidi kuliko ya kimwili. Kuna video na picha za matukio mbalimbali tutakua tunayajadiri humu kuhusu hili swala na kuzifafanua kwa ajili ya afya ya kwenu, watoto wenu na WAJUKUU wenu. Vijana wengi hawakubaliani na maamuzi ya wazee na hawana nguvu na mali ya...
  20. Red Giant

    #COVID19 Hoja ya Polepole na hoja ya Gwajima juu ya chanjo ya Covid-19

    Polepole: Moja, Polepole yeye anasema kuwa corona ni ugonjwa uliotengenezwa na big pharma ili yapige pesa. Kuwa mabeberu wanaachana na kuvamia nchi kuiba mafuta na sasa wanatengeneza magonjwa ili kupiga pesa. Pili, Anasema kuwa kasi ya kirusi kubadilika(ku-mutate) inatia shaka, si ya kawaida...
Back
Top Bottom