“You can be wrong if you’re dealing with information that is evolving.” The data about covid-19 and the vaccines seems to change nearly every day; for those of us with potentially confounding conditions, we carefully monitor that changing and updating data" (Anthony S. Fauci, infectious-disease...
Kipindi hayati JPM anapinga chanjo alisimama kidete haswa haswa, akapiga marufuku na fumigation na akaagiza mtu yyte atakayefanya fumigation eneo lolote akamatwe.
JPM kafariki
Amekuja mama Samia yeye kaagiza chanjo sasa hapo kuna kazi kubwa ya kuwaamisha wananchi kutoka kwenye idea za...
Baada ya kuchomwa chanjo ya COVID-19 Jana mida ya saa5 asubuhi, ilipofika mida ya saa12 jioni nikaanza kujisikia vibaya yaani homa ilinivamia ghafla usiku mzima nilikuwa najisikia kichwa hakipo sawa macho yanauma, ila kwasasa najisikia fresh Niko salama hali iko shwari, je hiyo hali inatokana...
Tumeya Usuluhishi na Uamuzi wa Migogoro ya Ajira imesema baada ya kuibuka kwa mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19 imepokea migogoro inayofi kia 18,222 kuanzia mwaka jana hadi mwaka huu.
Kaimu Msemaji wa tume hiyo, Nahshon Mpula alisema hayo alipozungumza na televisheni ya Azam.
Alisema ongezeko la...
Duniani kote kuna vurugu patashika nguo chanika!! Kisa!! Watu wameishtukia chanjo ya corona!! Hali ni mbaya !! Watu wako tayari kufa kuliko kuchanjwa!! Vyombo vya habari vimezuiwa kutangaza hali halisi ilivyo lakini watu wamejitolea kupita mitaani na magari ya matangazo kuhusu athari za...
Jana nilimskiliza tena askofu Gwajima! Matamshi yake yanaungwa mkono na watu wengi sana kuliko hata watu waliopewa ubalozi wa Corona. Nashauri yafuatayo:
1. Serikali iongeze elimu juu ya chanjo
2. SerikaLi imuombe Gwajima abaki na msimamo wake lakini asiongelee chanjo
3. Itangaze chanjo kuwa...
Ninachofahamu kwa uhakika wa 100% ni kwamba janga hutiliwa mkazo endapo tu kuna manufaa yanapatikana kwa kupitia Janga hilo, iwe ni magonjwa, matetemeko, mafuriko nk.
- Mfano kwa magonjwa, ukiona NGO inapigia sana kelele masuala ya Ukimwi kwa mfano, basi tambua kuna manufaa wanapata toka...
Nimesali leo Kanisa Katoliki Ngaranaro (kwa Babu) ibada ya misa ya kwanza. Nimesikitika sana hakuna tahadhari yoyote kuhusu corona hakuna hata tangazo zaidi ya vindoo vya maji ambavyo hakuna kuhimizwa watu kunawa.
Ibada ni ndefu bila sababu kuanzia saa 12.30 asubuhi mpaka saa 2.20 asubuhi...
Mfano huyo mama mtu mzima kabisa, kama analazimishwa si alipaswa ajiuzulu? Hiyo ndio maana ya kukomaa kisiasa, kitu hukubaliani nacho unajitoa, kwani lazima uwe kwenye hiyo nafasi? Enzi za JPM alitoa video ya nini kifanyike (mazoezi, matunda, kupiga nyungu nk.),na walikataa chanjo kwa sauti...
Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kimesema Wanawake Wajawazito wanaweza kupata Chanjo dhidi ya COVID19 ikisema hakuna hofu yoyote ya usalama wao katika Uchambuzi mpya uliofanyika.
CDC imesema inatambua kauli kuhusu uzazi ambazo zimekuwa zikisambaa, lakini maneno hayo hayana ushahidi...
Watu 15 wamefariki na wengine 24 wamelazwa hospitali wakiendelea kupata matibabu kutokana na virusi vya ugonjwa wa Corona Zanzibar.
Hayo yamebainishwa na Waziri wa Afya wa Zanzibar Mhe Nassor Ahmed Mazrui wakati akitoa takwimu za ugonjwa wa Corona kuanzia Juni 25 hadi Agosti 10.
Waziri Mazrui...
Nianze kwa kusema kuwa wenzetu ambao ni jirani zetu hapo kenya nao walianza kwa kusema kuwa chanjo ya Corona ni hiyari na sio lazima , lakini tamko lilitoka jana kutoka serikalini ni kwamba kila Mkenya ambaye ni mtumishi wa Umma lazima apate chanjo ndani ya wiki mbili zijazo na mwisho ni tarehe...
Serikali makini mna habari kwamba huku mitaani kundi la watu wanaovuta sigara wanapezana sigara kwa kuwa uchumi sio mzuri?
Mtu Winston moja wanavuta watatu sasa wameshazoea wakaona Corona hamna maana wanadai hawajaona ishara za hao washikaji zao kufa kwa wingi.
Ndugu zangu Serikali kuweni...
Umoja wa Falme za Kiarabu umerekodi maambukizi mapya 1,334 ndani ya saa 24 zilizopita huku wagonjwa 1,396 wakipona na wanne wakipoteza maisha.
Tangu kuanza kwa janga la COVID-19 watu 1,982 wamefariki dunia na idadi ya visa imefikia 695,619. Zaidi ya 80% ya watu UAE wamepata angalau dozi moja ya...
Nilitegemea wataalam wetu wa afya pamoja na washauri wa Rais waliomshauri kuagiza chanjo ya corona watakuwa mstari wa mbele kujibu hoja za askofu badala yake wamekuwa watu wa kumshambulia yeye binafsi na kumpa vitisho badala ya kujibu hoza zake kitaalam.
Katika hoja ya kwanza, Askofu gwajima...
Jambo la kheri kuwa sherehe za nane nane zimefutwa kimya kimya.
Juzi kati Mwenge wa Uhuru ulikuwa Morogoro nao kimya kimya.
Mambo ya mbuni yametufikisha hapa.
---- extracts tokea kwake Zitto Kabwe.
Kwamba tunapoteza watu si chini ya 2,000/mwezi kwa Corona. Hali hii si ya kufumbiwa macho...
Gwajima anasema viongozi na wataalamu wetu ni vigeugeu na hawafai kuongoza, Wanafanya mambo kwa kuangalia upepo na sio utaalamu
Anasisitiza wajiuzulu mapema kwenye suala la covid-19
Akihutubia maelfu ya waumini wake leo Gwajima amesema wataalamu wetu ndio hao walijenga pale Muhimbili jiko la...
Niseme tu mimi binafsi sina tatizo lolote na chanjo. Yaani kama ingekua sio huu uoga uliopitiliza wa sindano, mimi ningekua kati ya watu wa mwanzo kabisa kuchanjwa! Lakini mpaka leo bado nambwelambwela kwenda kuchanjwa kisa tu naogopa ile sindano. Kama mliona ile video ya mwanajeshi aliepelekwa...
Mnakuwa neutral sana.
Wakati tunashambuliwa mara ya Kwanza, mlikaa kimya hadi Rais alipoingilia kati kazi zenu za maombi.
Sasa Serikali inatumia Muda mwingi kueleza kisayansi jinsi Corona inavyoweza kuua watu na jinsi ya kuukwepa, lakini sisikii viongozi wa kidini wanavyotuaminisha uwezo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.