corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. beth

    #COVID19 Botswana: Waziri Msaidizi asimamishwa kazi kwa kukiuka kanuni za kupambana na Corona

    Rais wa Botswana amemsimamisha kazi kwa mwezi mmoja Waziri Msaidizi wa Afya, Sethomo Lelatisitswe, kwa kukiuka taratibu zilizowekwa ili kudhibiti maambukizi ya COVID19. Serikali Nchini humo ilipiga marufuku mikusanyiko yote kutokana na ongezeko la Visa vya Corona na miongoni mwa mikusanyiko...
  2. beth

    #COVID19 Shirika la Afya linachunguza aina mpya ya Kirusi cha Corona kiitwacho 'Mu'

    Shirika la Afya Duniani (WHO) linachunguza aina mpya ya Kirusi cha Corona kinachofahamika kama Mu au B.1.621 ambacho kwa mara ya kwanza kiligundulika Januari 2021 Nchini Colombia. Kwa mujibu wa WHO, Kirusi hicho kina mabadiliko yanayoashiria kinaweza kuwa sugu kwa Chanjo, lakini tafiti zaidi...
  3. comte

    Janga la Corona limeifanya Ulaya itambue kuwa kuna utalii bora na utalii usio bora

    https://www.bloomberg.com/news/articles/2021-08-17/amsterdam-prague-and-barcelona-see-tourism-silver-lining-in-covid-lockdowns?utm_medium=cpc_social&utm_source=facebook&utm_campaign=BLOM_ENG_EDITORL_COALL_FB_SO_WTRF_ADSALEINIT_KEYCO_00XXXXCPC_2PFB_XXXX_BUSFINLUXREAD_X1854_COALL_XXXEN_ALLFOA_ASP3_...
  4. H

    #COVID19 Faida ya chanjo kwa ujumla wake

    Upotoshaji mkubwa kuhusu chanjo ya COVID-19 unaonyesha jinsi jamii ilivyo na uelewa mdogo kuhusu chanjo zote kwa ujumla. Hii jamii isiyojua pia inapotoshwa na wenzao wasiojua. Unakuta mtu ame google na kusikiliza clip za wasiojua wenzake sasa anadhani anajua kuliko wenye taaluma yao ya chanjo...
  5. Sam Gidori

    #COVID19 Wanasayansi wanatengeneza Chanjo ya Corona inayoweza kuliwa kwenye Nyanya

    Wanasayansi nchini Uzbekistan wanatengeneza chanjo dhidi ya virusi vya corona inayoweza kuliwa ndani ya nyanya, Wizara ya Ubunifu ya nchi hiyo imeeleza. Wanasayansi kutoka Chuo cha Sayansi wamefanikiwa kuweka sehemu ya kirusi hicho ndani ya seli ya nyanya ambapo seli hiyo imegeuka kuwa chanjo...
  6. Poppy Hatonn

    #COVID19 Leo nimekwenda Muhimbili kuchanja Corona halafu nimeogopa, nimerudi

    Leo, yaani jana Jumamosi nimekwenda Muhimbili kuchanja Corona. Nimeingia katika geti, nilikuwa nashangaa shangaa pale akaja mwanamke mmoja akaniuliza, "Kwani ulikuwa unataka kwenda wapi?" Nikamwambia nataka kuchanja Corona. Akaniambia pita pale hospitali ya Jakaya, halafu mbele kule kuna jengo...
  7. C

    Fast and Furious 9 'F 9' imetangazwa kuwa filamu iliyoingiza pesa nyingi zaidi kutoka kwenye majumba ya sinema toka kuanza kwa janga la Corona Virus

    Fast and Furious 9 'F 9' imetangazwa kuwa filamu iliyoingiza pesa nyingi zaidi kutoka kwenye majumba ya sinema toka kuanza kwa janga la Corona Virus duniani. Mpaka sasa F9 Imetengeneza dola milioni 700, huku dola milioni 200 zikitoka kwa watazamaji nchini China. Studio za Universal...
  8. beth

    Serikali ya Ethiopia yalaumiwa kwa hali mbaya ya Tigray

    Wakati Ethiopia ikiwalaumu Waasi kwa hali inayoendelea Tigray, Waasi hao wamesema vizuizi vilivyowekwa na Serikali ndiyo sababu ya hali mbaya ya eneo hilo wakisisitiza Jamii za Kimataifa kukwama kuchukulia hatua dhidi ya Waziri Mkuu kumeongeza tatizo Wamesema Mfumo wa Huduma za Afya umeharibiwa...
  9. beth

    #COVID19 WHO: Idadi ya maambukizi ya Corona duniani inaonesha ongezeko la maambukizi ni dogo ikilinganishwa na miezi iliyopita

    Baada ya Visa duniani kuongezeka kwa kiwango kikubwa kwa takriban miezi 2, Shirika la Afya (WHO) limesema hivi sasa takwimu zinaonesha ongezeko la maambukizi lipo kwa kiasi kidogo. Visa vipya zaidi ya Milioni 4.5 na vifo 68,000 vilirekodiwa wiki iliyopita ikilinganishwa na Visa zaidi ya Milioni...
  10. Suley2019

    #COVID19 Mzee Hashimu Rungwe aiunga mkono chanjo ya Covid-19. Agusia suala la tozo na katiba mpya

    Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe, amezungumzia mvutano uliojitokeza kati ya Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, na Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, akimtetea waziri huyo kuwa hahusiki na...
  11. R

    Corona yatajwa kambi Yanga

    KLABU ya Yanga imesitisha kambi yake nchini Morocco kwa sababu mbalimbali na baadhi ya wachezaji wakirejea Tanzania jana huku wengine wakilazimika kusalia nchini humo. Miongoni mwa sababu zilizotajwa na uongozi wa Yanga ni idadi ya wachezaji kupungua baada ya baadhi kwenda kujiunga na timu...
  12. beth

    #COVID19 Indonesia yaanza kulegeza kanuni za kudhibiti Corona baada ya maambukizi kupungua

    Kutokana na kupungua maambukizi ya CoronaVirus Taifa hilo litaanza kulegeza Kanuni kuanzia kesho Agosti 24 ambapo maeneo ya kufanya manunuzi na nyumba za ibada katika baadhi ya Miji zitaruhusiwa kufunguliwa. Maeneo ya Ibada na Migahawa itatakiwa kufanya kazi kwa kiwango cha 25% na maeneo ya...
  13. beth

    #COVID19 Lockdown kuendelea Nchini New Zealand, visa vya Corona vyafikia 107

    Waziri Mkuu wa New Zealand, Jacinda Ardern amesema Lockdown Nchini humo itaendelea kuwepo hadi Agosti 27, na huko Auckland ambapo ndipo kitovu cha maambukizi, Kanuni za tahadhari zitadumu hadi Agosti 31. New Zealand ni moja kati ya Mataifa yanayosifika ulimwenguni kwa kudhibiti janga la Corona...
  14. S

    #COVID19 Kwa data hizi hongera Raisi Samia Corona tumeidhibiti

    https://covid.2gis.ae/advice?utm_source=online&utm_medium=mapcontrol&utm_campaign=firsttry
  15. F

    #COVID19 Kama sanitizer inauwa virus wa Corona kwenye mikono, kwanini zisiwepo santizer za kunywa Kama maji au juice?

    Wakuu habari, samahan kuuliza si ujinga na kama ni ujinga basi ukinipa jibu utakuwa umenipunguzia ujinga. Tunashauriwa kunawa mikono kwa maji tiririka. Iman yangu naamini tukinawa virus wanaondoka na maji, hiyo sawa. Tukitumia sanitizer, tunapaka kwenye mikono na kuhamin virus wamekufa. Sasa...
  16. L

    #COVID19 Kama hali yako ipo hivi, taafadhali kapate chanjo ya COVID-19

    Huu ni ushauri tu, unaweza chukua au kupuuza Kama uko hiv nenda kapate chanjo ya corona haraka 1. Umekaribia kustaafu 2. Una madeni mengi sana unayoshindwa kuyalipa 3. Mwenye uzito uliopitiliza 4. Una tatatizo la kiafya la muda mrefu mf. Kisukari, BP, HIV nk 5. Unafanya kazi...
  17. J

    #COVID19 Wizara ya Afya: Wananchi wasiache kutumia tiba za asili zinazotambulika kukabiliana na Corona!

    Kaimu Katibu mkuu wa wizara ya afya bwana Mbanga amewataka wananchi kutoacha kutumia tiba za asili zinazotambulika katika kukabiliana na Corona kwani zimesaidia wengi. ========= Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Edward Mbaga ametoa wito kwa Watanzania kutoacha njia za asili za kupambana na...
  18. World Logistics Company

    #COVID19 Mchango wetu kwa Watanzania katikati ya wimbi la Corona

    Wakati dunia bado inahangaika na janga la corona au UVIKO19, nasi tumeona tutoe mchango wetu kwa wanaotafuta riziki kupitia biashara zao hususan wale wanaofuata bidhaa zao huko China, Uingereza, Uarabuni na mataifa mengine. Siku hizi kusafiri imekuwa shida sana, shida zaidi ni kuagiza na...
  19. B

    #COVID19 Waziri Gwajima, takwimu za Covid-19 mnaandaa au mnapika?

    Amesikika waziri Gwajima akisema wanaandaa takwimu za hali ya ugonjwa wa Corona nchini. Watu wanapoendelea kufa huku takwimu zikiendelea kuandaliwa bila mwisho, ina maana gani? Inachukua muda gani kujua idadi ya wagonjwa waliolazwa mkoa kwa mkoa, vifo au waliopona? Hapa tuna mwenzetu mwingine...
  20. MKILINDI

    #COVID19 Serikali bado ina nafasi ya kushawishi Watanzania chanjo ya Corona

    Kwa muelekeo wa ugawaji na uchanjaji wa chanjo ya UVIKO19 Tanzania na malumbano kati ya viongozi wa serikali wenyewe kwa wenyewe kuhusu kuchanja Corona yaonekana wazi kuwa serikali yaweza kushindwa vita hii, kwa kuwa, kwanza ni hiari lakini pia ilishajikwaa mwanzoni kuhusu chanjo hiyo kwa awamu...
Back
Top Bottom