Anga la Tanzania limefunguliwa takribani wiki 2 zilizopita na nchi kuruhusu Watalii kuingia nchini.
Utaratibu wa watalii kuingia nchini utahusisha upimaji wa joto wakiwa Uwanja wa Ndege na kisha kuruhusiwa kuendelea na shughuli zao za kitalii. Njia hii ya upimaji wa joto pekee ndiyo...
ACCORDING to former Conservative Leader and now Tory peer, Lord William Hague, lockdown is a "disaster for our society."
Lord Hague’s reasoning is down to the fact the lockdown measures the UK has been experiencing will cause an “economic crisis” for hundreds of thousands of people. As...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema hadi kufikia leo mchana, kulikuwa na wagonjwa 66 wa #COVID19 katika mikoa 10 hapa nchini.
Akihutubia Bunge JijinI Dodoma, Waziri Majaliwa amesema mikoa 16 ikiwemo Arusha, Pwani, Manyara, Katavi, Rukwa na Kagera haina mgonjwa wa Corona.
Ameongeza...
Mimi ni daktari bingwa wa magonjwa ya ndani na pia ni mkufunzi wa kitaifa wa magonjwa ya mlipuko ikiwapo COVID. Na nimekuwa nikitibu wagonjwa wengi wa COVID toka huu ugonjwa uje nchini kwetu na ningependa kuwapa ushauri ufuatao.
Naamini unafahamu dalili za ugonjwa huu kwakuwa zimetangazwa sana...
Habari!
Katika hali isiyo ya kawaida, watu wenye ualbino waishio barani Afrika wamekuwa wakilaumiwa na kushutumiwa kwa kuenea kwa maambukizi ya virusi vya corona barani humo, mtandao wa Business Insider umeripoti.
Kumekuwa na taarifa kuwa watu wenye ualbino wamekuwa wakipachikwa majina kama...
Katika ripoti ya uchumi iliyotolewa na Benki Kuu ikionyesha hali ya uchumi kwa mwaka ulioisha mwezi wa Aprili imeonyesha kuwa #COVID19 imesababisha uchumi kufanya vibaya
Ripoti imesema #COVID19 imeharibu ualishaji na uhitaji (Supply and Demand) kutokana na hatua ambazo zimekuwa zikichukuliwa na...
A mysterious disease has killed 50 camels in 1 month in Mandera County, Kenya.
=======
Mysterious disease kills camels in Mandera
Some pastoralists in Mandera are counting loses as a mysterious disease continues to kill camels in the county.
At least 50 camels have died in the last one...
George Floyd, ambaye kifo chake huko Minneapolis wiki iliyopita kilisababisha maandamano makubwa juu ya udhalilishwaji wa watu weusi unaofanywa na polisi, alipatikana na virusi vya Corona wiki chache kabla ya kifo chake, ripoti ya uchunguzi wa mwili ya siku ya Jumatano imeonesha.
Hati yenye...
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema idadi ya wagonjwa wa Corona nchini waliobaki kwenye vituo vya matibabu imepungua mno.
Akizungumza Leo mkoani Tanga wakati wa ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mkoani humo amesema:
“Tanga hatuna mgonjwa wa Corona, Amana wamebaki 3, Mloganzila 1, Kibaha 0...
Wafungwa 31 wamekutwa #CoronaVirus katika gereza lililoko Nairobi. Idadi hiyo imethibitishwa baada ya sampuli 59 kupimwa kwenye gereza hilo Jumapili, Mei 31
Timu ya Uokoaji na Dharura ya Nairobi imewachukua wafungwa hao ili kupata matibabu katika vituo vilivyoko nchini humo
Jumamosi...
Waziri wa Afya ametangaza visa vipya 147 vilivyothibitika baada ya sampuli 2,831 kupimwa ndani ya saa 24 zilizopita.
Maambukizi mapya yamerekodiwa kutoka kaunti 11 ambapo Nairobi ina visa (90), Mombasa (41), Kiambu (3), Nyeri (2) na Uasin Gishu (2). Vingine vimetokea Kajiado, Kilifi, Embu, Homa...
Hayo yamesemwa na Dr. Elisha Osati, Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) leo Mei 27, 2020
FULL TEXT:
Leo tumekuja kuzungumza nanyi Waandishi wa Habari kuhusu tathmini ya Corona hapa nchini. Ikumbukwe tangu Corona imeingia hapa nchini Mwezi wa tatu kumekuwa na mambo mengi yakiwa...
"He's a fool, an absolute fool, to talk that way," Biden said. "Every leading doc in the world is saying you should wear a mask when you're in a crowd."
Mshindani wa Trump katika kinyanganyiro cha urais Mr. Joe Biden amemuelezea Trump kama "mpumbavu wa kiwango cha juu-absolute fool - kwa...
=======
NAIROBI, Kenya May 25 – Several people were affected after consuming relief food distributed in Kikuyu Constituency on Sunday.
The food, branded William Ruto Foundation and Kimani Ichung’wah, also had labels of “Stay Safe
Ichung’wah, who is the area MP, has however, issued a statement...
Ni kwamba Coronavirus imegundulika kuwa 98% inawauwa sana Wanaume na kwa Wanawake ni kwa Kiwango cha chini. Hata hivyo imegundulika ya kwamba hizi Lockdown hazipendwi (hazitakiwi) kabisa na Wanawake kwakuwa wanasema uwepo wa Wanaume Majumbani 24/7 umesababisha Majanga, Matatizo na Mateso makubwa...
There is only a 50% chance of the Oxford coronavirus vaccine working because cases in the UK are declining so fast, one of the scientists behind it has warned.
The University of Oxford's Jenner Institute and the Oxford Vaccine Group began developing a COVID-19 vaccine in January using a virus...
A 107-year-old Iranian woman who was infected with the new coronavirus has recovered, Iran’s semi-official Fars news agency reported on Sunday.
The woman, Saltanat Akbari, was admitted to the Khansari hospital in the central city of Arak. She was released from the hospital after spending “some...
Sao Paulo, Brazil (CNN)In Brazil's largest and most badly infected city, coronavirus has yet to peak, yet already the healthcare system is crumbling visibly around us. As doctors struggle valiantly to save lives, the country's President, Jair Bolsonaro, seems more focused on another sick...
The continent has so far been spared in comparison with others but the worst could still be to come.
Africa has now recorded more than 100,000 infections of the novel coronavirus, the Centers for Disease Control and Prevention (CDC) said Friday.
More than 3,100 people have died from COVID-19 as...
Health CS Mutahi Kagwe said the youngest case is a 6 month-old baby
“We have increased our testing capacity and the 80 new cases are from 3,102 samples that were tested in the last 24 hours,” he said
So far, cumulative samples...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.