Nimekuwa nikijifunza kutengeneza Music ArtWork Cover kwa miezi miwili sasa kwa kutumia android apps. Cha ajabu ninapo-upload on YouTube, zinakuwa na quality duni sana ingawaje wakati nasave project huwa nachagua High Quality, 30fps.
Tatizo linaweza kuwa wapi? Au ni kwa sababu natumia simu...