Kwa Mil 6 Unapata iPhone 17 Pro Max Bila Charger wala Cover au BMW 3 Series na chenji ya Service!

Kwa Mil 6 Unapata iPhone 17 Pro Max Bila Charger wala Cover au BMW 3 Series na chenji ya Service!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Maisha yako speed.

iPhone 17 Pro Max 512 GB pale iStore Mlimani City inauzwa Mil 6.
IMG_4500.jpeg

Kwenye package unapata iPhone, USB C, pini ya kutolea laini na Makaratasi. Hamna kichwa cha chaja, hamna protector, earphone wala kava.
IMG_4498.jpeg

Ila kwa iyo iyo bei unapata BMW E90 2007 namba D na inabaki pesa ya service na mafuta full tank.

Fanya maamuzi sahihi.
 
Maisha yako speed.

iPhone 17 Pro Max 512 GB pale iStore Mlimani City inauzwa Mil 6.
View attachment 3524192
Kwenye package unapata iPhone, USB C, pini ya kutolea laini na Makaratasi. Hamna kichwa cha chaja, hamna protector, earphone wala kava.
View attachment 3524193
Ila kwa iyo iyo bei unapata BMW E90 2007 namba D na inabaki pesa ya service na mafuta full tank.

Fanya maamuzi sahihi.
Dah unyama huu
 
katika vitu ambavyo watu wanauliza si wezi kununua simu,gari za bei na mambo ambayo mwisho wa siku target yako utashindwa kumfanya mwanao kushindwa kusoma urubani.

bora kununua cow wa maziwa sio simu wala gari la ajabu ambalo matuta ya tanzania utazani mkandarasi alijua anapanda viazi.
 
Back
Top Bottom